Kupona bila dawa

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
Sio kila magonjwa katika miili yetu ,huwa hanataka tiba. Miili yetu inazo njia mbalimbali za kupambana na maradhi ,na njia hizo ni Bora zaidi kuliko kutumia dawa.

MAGONJWA MENGI KAMA VILE MAFUA NA FLU, HUPONA BILA DAWA


NJIA ZENYEWE NI ZIPI?
Ili kusaidia mwili kujikinga na maradhi kwa kutumia kinga yake yenyewe, nilazima:-

a. Kujiweka katika hali ya usafi.

b. Kula chakula bora, Balanced diet.
- Na kula chakula bora sio ngumu , waweza pika ugali wako, Yai lako moja au samaki kama huwezi kupata nyama mara kwa mara, Tunda hata moja na Maji safi.

c. Pata muda wa kupumzika.

d. Fanya mazoezi hata ya kutembea ili misuli iwe active.

Matatizo mengi ya ki afya husababishwa na mitindo mibaya ya maisha. Mfano mzuri ni hili la Upungufu wa nguvu za kiume.

Hivyo sio lazima kutumia dawa za kigeni kila unapo umwa au kupata maradhi, kama ukitumia njia tajwa hapo juu, waweza kupona na hata kama utatumia dawa ,zitakuwa zinasaidia tu.

#Usafi, kula chakula bora, Fanya mzoezi, pata muda wa kupumzika.
Husaidia Hata kuongeza uwezo wa kufikiri (IQ)
 
Back
Top Bottom