bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  2. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bila kitambaa hutoboi

    Aisee! Hii hali kwa sasa katika jiji hili pedwa ni hatari sana. Dar es Salaam kwa sasa kuna hali ya jua na joto kali sana, kuna joto ambalo ni zaidi ya joto lenyewe. Yaani bila kitambaa mkononi hutoboi salama unapo kwenda. Inabidi uwe na vitambaa viwili mikino yote miwili yaani unajifuta jasho...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana kufanikiwa kisiasa bila kuwa "mjanja mjanja"?

    Japo siamini kama ni wote, lakini inaonekana kama vile wanaofanikiwa kwenye siasa wana tabia za kipekee kama: • Bingwa wa kusema uongo • Mbabe • Majuzi wa kuiba kura • Mpenda ushirikina Ni kama vile wengi wa wasema ukweli na wapenda kufuata njia halali huwa hawakubaliki. Je, ni lazima...
  4. JamiiForums Tanzania Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

    Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka. Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
  5. JamiiForums Tanzania Jeuri za masetela hawa wa kiyahudi ndio zinazohalalisha walichokifanya Hamas 7/10/2023 na kuwafanya wawe wakali kupigana bila kusalimu amri

    Mawaziri wakuu wastaafu wamekuwa mstari wa mbele kutafuta suluhu katika mapigano yanayoendelea. Wameungana na maraisi na viongozi mbali mbali duniani kuhimiza kuwepo kwa taifa la Palestina sambaba na Israel. Lakini bado kuna mawaziri ndani ya serikali ya Benjamin Netanyahu wanaungana na...
  6. JamiiForums Tanzania Shirika la umeme mnatukatia sana umeme bila kutuandaa bila kujali

    Leo ni 26 JAN lakini Wiki Yote hii nimekuwa wa kupishana na umeme kila siku wanatukatia Umeme Usiku saa 1 kurudi had saa 6 kila siku, yani tunarudi majumbani hakuna kitu tunafanya na Giza ni kulala tu, inakwaza mnoo, na mchana huwa wanakata basi vitu vinaaribima kwenye Friji, yan hata kutuandaa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bila katiba mpya nzuri, wawekezaji watatukimbia!

    Bila katiba nzuri wafanyabiashara ambao mnakaa na kuona katiba haikuhusu unajidanganya kwa sababu hii hapa ya msingi. 1. Kwanza maandamano ya juzi sio kwamba serikali ilipenda bali umma umepata nguvu zaidi na viongozi wa upinzani wako serious sana. 2. Wamesema “watakinukisha” maana yake ni...
  8. JamiiForums Tanzania Nimemuelewa muha ila anajaza ndugu kwake bila kujali uwezo

    Bila salamu! Sifa nyingi anazo, msikivu, mtamu, ana tako, mpambanaji, ana heshima, mvumilivu na kadhalika. Na mimi hapa nimemuelewa, ila kwa sasa tatizo naloliona ni moja tu. Anajaza ndugu sana kwake. Ananishi chumba na sebule lakini wageni hawakauki. Kwa wiki mara 2 mpaka tatu. Kuna nyakati...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kutangaza bei elekezi ya sukari bila kuweka consequences za wauzaji watakao kiuka hakusaidii

    Mnajua kabisa kuwa hakuna mfanyabiashara atakayeshusha bei ya sasa 3800-5000 Tsh per kilo. sasa muuzaji asiyefuata bei hiyo namshitaki wapi/natoa taarifa wapi? Au nyie mamlaka ya sukari nachukua tahadhali gani kukabiliana na watakaokiuka bei elekezi. Short of that mnakuwa wasanii nyie mamlaka...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

    SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maalim Seif alivyoitisha maandamano Zanzibar watu wakauawa, kwenye muafaka alijikumbuka yeye, waliouawa na kujeruhiwa waliachwa bila fidia

    Akili za kuambiwa changanya na zako. Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa. Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu. Lakini kwa nini hakuwakumbuka...
  12. JamiiForums Tanzania Moja ya dalili kuwa hujitambui na hujiamini ni kutuma nauli kwa mwanamke ambaye ndio kwanza mnaanza mahusiano

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini. Wewe umemtongoza Binti au mwanamke labda kwenye Daladala, au mtandaoni,au umekutana naye mtaani au Kanisani au popote. Ni...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nina kopi moja tu ya picha private, video private, pdf za mali, vyeti, leseni, n.k. njia gani nzuri ya kufanya backups mpya kila wiki bila bando?

    Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja kuzipata tena. Najua kuna online back ups lakini hizi kila mwezi inabidi ulipie na pia unahitaji...
  15. JamiiForums Tanzania KWELI Rais Daniel Arap Moi alihudumu nafasi ya Urais bila kuwa na First Lady

    Kuna kijiwe huku Bonyokwa tunapiga stori za kawaida kuhusu nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Sasa kuna jamaa kasema kuwa Rais wa awamu ya pili nchini Kenya, Hayati Daniel Arap Moi wakati anaingia madarakani hakuwa na mahusiano kabisa na hakutaka kujihusisha nayo kabisa. Nguvu kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Suala vifurushi vya huduma za simu kupanda bila taarifa, nani anafaidika?

    Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka. Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima ni waziri anayefanya mambo makubwa mno bila kelele,sifa za kijinga na majivuno!

    Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!. Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia wanasiasa baadhi wenye mambo ya ovyo na ambao wanadhani baadhi ya watanzani ni wapumbavu kwa kukubaliana na...
  18. JamiiForums Tanzania Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

    Wanaukumbi. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
  19. T

    JamiiForums Tanzania Bila shaka huu siyo msimamo wa TBC

    Hbr wanajamvi, Jana timu yetu ta Taifa pamoja na kufungwa na Morroco lakini walijitahidi kwa kadri ya uwezo waliokuwanoa. Kitu kilichonisikitisha ni mtangazaji mmoja wa TBC kutoa maneno ya kashfa kuhusu eneo moja la nchi yetu linaloitwa Mbagala. Eneo hili nadhani liko katika mkoa wa Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zarejesheana Vibali vya Safari za Ndege

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeruhusu tena vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) vya kuendesha safari za ndege za abiria kati ya Nairobi na Dar es salaam chini ya vifungu vya Haki za Uhuru wa Trafiki namba tatu na nne kuanzia January 22, 2024 na imetengua uamuzi wake wa jana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…