Katika vitu vinasababisha na kupunguza muda wa kuishi na afya ya akili ni masuala ya siasa. Kila siku ni kusababisha presha na hasira zisizo na maana. Utasikia mafuta yamepanda, umeme umekatika mara bomba la maji litatoa upepo, shule michango nk.
Huku kauli zao zikipandisha zaidi hasira na...