bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ally Happy naye ashindwa kumjibu Lissu, apuyanga bila kujibu hoja

    Akiwa mkoani Iringa, Ali Hapi alimjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kufuatia kauli yake ya kuwa Rais Samia hana haki ya kutoa maamuzi ya kinachoendelea bara kwa kuwa yeye ni Mzanzibar. Hapi alidokeza kwamba kwa kuwa mchakato wa kuhalalisha mfumo wa vyama vingi pamoja na mapinduzi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanachama wa CCM wamewaacha viongozi wao akiwemo Kinana kushambuliwa mitandaoni bila kuwatetea?

    Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa uhuru siku chache na wanahubiri chuki. Katika haya yote hakuna linaloonekana kuungwa mkono X na...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kutaka kuhamisha familia 400 zinazozunguka eneo la kimondo cha Ndolezi Mbozi bila fidia ni cha kishenzi

    Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee kulinganisha na mawe mengine yaliyopo kijijini hapo. Baada ya uthibitisho huo wanasayansi, watalii, na watu...
  4. JamiiForums Tanzania Mke anapaswa kujali uwepo wa mumewe bila hivyo mwanaume kimbia usigeuke nyuma

    Mwanamke aliye kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 na bado ana vigezo hivi ama mojawapo ya hivi Dharau Majibu ya hovyo Kiburi Muongo Mgomvi mchawi Infidel Hakikisha unakimbia, achana naye maana hakuna anayeweza kumbadilisha zaidi ya yeye mwenyewe kuamua kubadilika. Hakuna lugha nyepesi ninayoweza...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari bila Uhuru wa Kiuchumi wa Waandishi wa Habari

    Wanabodi, Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu madhara ya kunywa pombe bila kula

    Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali inakuhusu hii. Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula kwani huchangia mnywaji kula chakula kidogo kuliko mahitaji ya mwili au kuharibu kuta za utumbo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwani, wachungaji wa sasa hawawezi kuhubiri au kumwombea mtu bila kumuomba Muumini Sadaka!? tena anakupangia kiasi cha kutoa.

    Hallo wana JF. Nimekuja na hoja binafsi, Kwanini sasa hivi kumeibuka wimbi la wanaojiita wachungaji, pale wanapofanya maombi either kwa njia ya hadhara au kwenye TV au Radio na mitandao ya Jamii, hutanguliza mbele Sadaka ili waweze kukuombea matatizo yako!? Naomba nitoe mfano ili niweze...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Biashara nyingi zinazofanikiwa Tanzania ni ushirikiano wa familia na ndugu wa karibu, bila hii silaha unaweza kuichukia biashara, heri ujaribu ajira

    Mifano ni matajiri wengi tunaowajua kina Mo, Bakhresa, GSM, ni biashara za familia na ndugu wa karibu, ni team work. Pia kwa upande wetu watanzania wa asili ukienda kwenye masoko makubwa utawakuta wengi wanaofanikiwa ni biashara za familia na ndugu wa karibu wanapambana pamoja, ukienda ofisi...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Wadudu-Msitumike Bila Manufaa

    Habari za wakti huu; Kwanza niweke wazi kwamba Mimi Nimekulia Arusha. Ninafahamu Fursa na Changamoto zilizoko Katika Mkoa wa Arusha na Ninatambua tabia na Hulka za Vijana wa Arusha.Kimsingi katika Mikoa Yote Tanzania Ukiondoa Wamasai Vijana wa Arusha ndio Jamii Pekee ambayo imeweza kutengeneza...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi wakaazi wa Dunia wanavyotumikishwa na kutawaliwa bila kufahamu. (Hiii ni watu wote, Tajiri mpaka masikini mweupe mpaka mweusi, msomi asiyemsomi

    Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao. So wana vitendea kazi ama...
  11. JamiiForums Tanzania Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

    Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaofanya tuchepuke ni wadada wanao tukataa bila sababu

    Mtu kama Mzigua90 akinikubalia ntachepuka ili iweje? Kazi yangu itakuwa ni kutafuta hela na kumletea, nayeye kazi yake itakuwa kuhakikisha napata raha. Nasema uongo ndugu zangu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bank imeuza dhamana(gari) bila kumpa taarifa mmiliki

    Ndugu wanasheria, rafiki yangu anaomba msaada wa kisheria ili apate haki yake. Alichukua mkopo bank na kuweka gari yake kama dhamana, ila kwa bahati mbaya akachelewesha marejesho mpaka dhamana yake ikakamatwa na madalali. Hiyo gari yake imeuzwa bila yeye kupewa taarifa ya mnada, anakuja...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nashauri mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo iweje wao?

    Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeona Serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yaani kujibebesha mzigo juu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Shetani ananiandama bila sababu za msingi

    Nimehamia mtaa wa pili baada ya sinto fahamu iliyotokea mtaa wa kwanza ambapo mke wa mtu alinizoea sana mpaka watu wakahisi vinginevyo, kuepusha shari nimehamia mtaa wapili, huku nilipo hamia kwenye chumba cha upande wa kulia kuna subwoofer yamaana, upande wa kushoto subwoofer ya kuunga unga ila...
  16. JamiiForums Tanzania Ungekuwa na Mamlaka Serikalini, ungefanya nini kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumuongezea mzigo mwananchi?

    Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa au kuja na mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi? Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu mzigo wa kodi au tozo kwa wananchi, huku watu hao wakiwa na hoja ya Tanzania ni nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Kaka na Dada wawa Wapenzi bila kujua huko Kenya, mama yao awaunga mkono

    Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano. Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kama umeweza kupunguza stress zako bila kilevi tusaidie mbinu uliyoitumia

    Umeshindwa kulipa deni, benki wanakuja kuchukua nyumba Magonjwa yasiyo na tiba unasubiri kifo Kufilisika na huna ujuzi wala mtaji Kugundua watoto sio wako kuingia 18 za vyombo vya dola, N.k. Wengi kimbilio la kupunguza stress huwa ni pombe, ngono, bangi, madawa, n.k. na mwishowe huwa waraibu...
  20. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi wa Kenya alitaka azikwe bila Jeneza na asicheleweshwe kuzikwa

    Mkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…