generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 405
- 668
amani ni sawa na bikra ya mwanamke ikiondoka kurudi kwake ni vigumu sana so kwa hapa tulipofikia tutarajie machafuko zaidi ya haya
Wahamasishaji waje na mbinu mpya, hizi za kuharibu mali ni upuuzi kabisa.
Shida ni kua wameharibu za watu hata wasiohusika na ccm, aloo watu wametiwa hasara mno ndgu yangu.Target ni kuharibu mali za mafisadi wa sisiemu ,chawa wa mama ,wasanii wasaka tonge ,polisisiemu etc
Ni kweli kwasasa hauwezi kutamka kwamba TZ ni kisiwa cha amani.
Ni kweli hasara ni kubwa mno ,mali zinatafutwa ila uhai haununuliwi sehemu yeyote!! Hasara kubwa ni kwamba tumepoteza nguvu kazi kubwa kama taifa! Lakini tujiulize kwanini tumefika huko?Shida ni kua wameharibu za watu hata wasiohusika na ccm, aloo watu wametiwa hasara mno ndgu yangu.
Ukisema utaonekana huna huruma kwa waliouawa ila mitaa ya ubungo, buguruni, kigogo hao waandamanaji walichofanya ni hasara juu ya hasara.
Wahenga wanasemaga vita haina macho, panapotokea vita ama vurugu basi usichague madhara, kikubwa ni kuwaasa watu waepuke kuingia kwenye machafuko maana madhara yake huwa ni makubwa mno, lakini pesa wanazokwiba mafisadi na kwenda kuficha nje na huo uharibu nadhani ni chamtoto, tuusiane amaniWahamasishaji waje na mbinu mpya, hizi za kuharibu mali ni upuuzi kabisa.
Ili tuwe kitu kimoja basi tusihatarishe amani ya wengine pia.Ni kweli hasara ni kubwa mno ,mali zinatafutwa ila uhai haununuliwi sehemu yeyote!! Hasara kubwa ni kwamba tumepoteza nguvu kazi kubwa kama taifa! Lakini tujiulize kwanini tumefika huko?
Maandamano ni kwamba wananchi walikuwa wanataka reforms kabla ya kuingia kwenye uchaguzi ,na ukweli umejulikana wazi wazi kwamba hakukuwa na uchagzui wowote ,matokeo walikuwa nayo miezi mitatu nyuma ,nchi ilikuwa kwnye vurugu kuanzia saa tatu kwenda saa nane halafu Mkurugenzi wa NEC anasema walijitokeza kupiga kura ni zaidi ya asimia 90 kweli? Huo si uhuni? Uchaguzi wa sasa hauwezi kupata kiongozi unaomtaka wewe maana NEC imeunganisha na mifumo ya NIDA na SISIEMU ,kwahiyo SISIEMU ndiyo wanaamua nani awe kiongozi.
Kwahiyo kama vita haina macho unajustifie vifo na uharibifu wa mali?Wahenga wanasemaga vita haina macho
Mkuu umesahau kwamba kwenye msafara wa MAMBA na KENGE pia wamo.Ili tuwe kitu kimoja basi tusihatarishe amani ya wengine pia.
Maana hao waliokua wanavunja maduka ya watu, ukiwaingilia pia unauawa vilevile.
Ndio maana maandamo yajayo yanapaswa kua na mkakati sio vurugu zisizo na mpango ni hatari ka wengine wasioshiriki hasa watoto na wengine wasiojiweza.
Ile haikua vita, hayakua machafuko ila ni watu kujitoa ufahamu tu.Wahenga wanasemaga vita haina macho, panapotokea vita ama vurugu basi usichague madhara, kikubwa ni kuwaasa watu waepuke kuingia kwenye machafuko maana madhara yake huwa ni makubwa mno, lakini pesa wanazokwiba mafisadi na kwenda kuficha nje na huo uharibu nadhani ni chamtoto, tuusiane amani
Hii ndiyo mbinu nzuri. Safari hii tutatembea na petroli mkononi.Wahamasishaji waje na mbinu mpya, hizi za kuharibu mali ni upuuzi kabisa.
Wanapata sababu ya kuwamiminia risasi, ndio hizo propaganda uchwara za kua ni wageni zinaibuka.Hii ndiyo mbinu nzuri. Safari hii tutatembea na petroli mkononi.
KwakweliWahamasishaji waje na mbinu mpya, hizi za kuharibu mali ni upuuzi kabisa.
Yaani wewe huwezi kuanzisha vurugu za uhalifu kama zile alafu ukachagua madhara, cha msingi ni kuzuia kwanza hizo vurugu, ndio hoja yanguKwahiyo kama vita haina macho unajustifie vifo na uharibifu wa mali?
Ilikuwa ni nini?Ile haikua vita, hayakua machafuko ila ni watu kujitoa ufahamu tu.
Uhuni tu, sidhani kama kilichotegemewa kilifikiwa.Yaani wewe huwezi kuanzisha vurugu za uhalifu kama zile alafu ukachagua madhara, cha msingi ni kuzuia kwanza hizo vurugu, ndio hoja yangu
Ilikuwa ni nini?