bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam kuwa kitovu cha bidhaa za refurbished

    Kama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED The global refurbished electronics market is experiencing substantial growth, with a projected market size...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba na nanenae lazima zitakuwa made in Tanzania na sio vinginevyo

    Itakuwa ni lazima kwa bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba kuwa made in Tanzania, sio sawa hata kidogo kuchukua bidhaa China au India na kwenda kudisplay kwenye maonyesho ya sabasaba hilo sio Lengo Na pia kwenye maonyesho ya nane iwe ni tractor lazima liwe made in Tanzania na sio assembly...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Motivational Speakers wako sahihi: Bidhaa yao ni hayo maneno yao

    Kuna vuguvugu la kuwaponda wazungumzaji wahamasisha maisha " motivational speaker '' KWA Wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajayafanya". Nimegundua wako sahihi. Wao hayo maneno wameyatafuta na ni Bidhaa kama zilivyobidhaa nyingine sokoni. Hawana haja ya kufanya, wewe unayesikia ndio...
  4. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo”

    JINA LA KITABU: “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo” UTANGULIZI: Kariakoo ni kama mgodi wa biashara Tanzania — lakini si kila mtu anajua mahali pa kuchimba. Wengi wanapoteza muda, hela, na nguvu wakizunguka Kariakoo bila mafanikio — wananunua bidhaa ghali, feki, au kutoka kwa...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa mtandaoni (wauzaji wezi Instagram)

    Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
  7. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda mpira kipindi mnangoja bonanza la trh 15 uefa wanakupa bidhaa Bora kabisa kesho

    Mpira ulizaliwa ulaya na umeendelea kutunzwa na kuhifadhiwa na wazungu wenyewe huku wakiangalia vituko na maigizo kutoka pande zingine za dunia Hapo kesho Portugal ya Ronaldo itataka kumpa heshima huyu mwamba wa soka pale watakapopambana na Spain iliyo mabegani kwa kijana mdogo Lamin Yamal...
  8. kintu

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa wafanyabiashara wanaoagiza Bidhaa China

    Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam Hasa Mwasiti na Biashara zake. Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania MSD yaidai Serikali TSh 434.2 bilioni kwa huduma za bidhaa za afya vituoni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kukamilisha mchakato wa kuandaa sheria itakayosimamia huduma ya uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa chembechembe na viungo vya binadamu ili kuweka msingi madhubuti wa utoaji wa huduma hiyo kwa wananchi. Akizungumza...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutokana na taka

    Habari wadau. Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata taka mbalimbali kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali(recycling) Ninaomba kwa mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu wazo hili anisaidie orodha ya baadhi ya bidhaa zinazoweza kuzalishwa kutokana na taka(recycling)kwa gharama ndogo...
  11. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Bidhaa ya Aina Yoyote Mtandaoni (Mwongozo wa 2025)

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, kuuza bidhaa si lazima uwe na duka la kupanga — simu yako na intaneti inatosha kabisa kuendesha biashara yenye mafanikio. Haijalishi unauza nini: iwe ni bidhaa za mikononi, ebooks, huduma, nguo, vyakula, au kozi — kanuni hizi hapa zitakusaidia kuuza kwa...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la bidhaa feki nchini kuuzwa kwa bei sawa na bidhaa halisi; Mamlaka husika zinawalindaje walaji?

    Je, umewai kuuziwa bidhaa feki au bandia kwa bei ya bidhaa halisi? Uchunguzi uliofanywa na 'wazalendo' umebaini kuongezeka kwa bidhaa feki sokoni ambazo zinauzwa kwa bei sawa na zile halisi jambo ambalo ni kilio kwa walaji. Uchunguzi huo ambao unawasilishwa kwenye andiko hili kwa ufupi...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bidhaa yenye thamani zaidi: PESA au MUDA?

    Pesa ina kupa security na guarantee ya kuvuka mipaka mingi sana. Muda unakupa nafasi na fursa zaidi na zaidi. KARIBUNI.
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya bidhaa za Tanzania Soko la Ulaya yameongezeka

    MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA SOKO LA ULAYA YAMEONGEZEKA Kwa Mwaka 2024 thamani ya mauzo ya bidhaa katika soko la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikuwa dola za Marekani millioni 686.3 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.6 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 633.5 mwaka 2023. Ongezeko hilo...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina amvaa Waziri Jafo Bungeni: Wizara ifutwe, bidhaa Feki zimejaa, ni huzuni!

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameibua taharuki bungeni leo Mei 14, 2025, baada ya kumvaa vikali Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara hiyo. Mpina amesema wizara hiyo imekuwa ikishindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, hususan katika...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Lazima bidhaa zote za plastic zitakuwa zinazalishiwa hapa Tanzania. Nia ni kuteka soko la dunia la plastic

    Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama Ndoo, vikombe, mifuko n.k matanki nguo asilimia kubwa sana ya nguo zinatumia polyester nyuzi za plastics Mazulia -mazulia kama makapeti...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu wachina kuuza bidhaa kutoka China kunaweza kusababisha matumizi ya dolla kuongezeka (Import itakuwa kubwa)

    Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya: 1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports); Bidhaa...
  19. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kibiashara, njia bora ya kuuza bidhaa si kwa kushinikiza watu kununua, bali kwa kuwapa thamani kwanza. Hii ndio maana halisi ya Value-Based Marketing — mbinu ya kuuza kwa kutoa elimu, maarifa, na suluhisho...
  20. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara tambua bidhaa ya kwanza kabisa niwewe binafsi

    Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni. Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu ,mavaz yako n.k Mfano jana usiku jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27...
Back
Top Bottom