bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Picha: siagizi tena bidhaa kutoka china

    Hii brender nimeagiza kutoka china kupitia kikuuu Thamani yake ni 45000/= Ile nimepokea Toy
  2. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa Anazonunua Marekani toka Russia na thamani

    List of items US imported from Russia 🇷🇺💪
  3. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nchi za kiafrika zilikuwa zinashirikiana na china kwenye kukwepa kodi kwa bidhaa zinazoingia USA

    Wakuu mimi sio mchumi ila nimeumia akili za kawaida Wakati wa utawala wa Clinton kulianzishwa ushirikiano kitu kinaitwa Goa yaani ushirikiano wa USA na nchi zinazoinukia kiuchumi za africa na asia Hii ilisababisha viwanda vingi kuanzishwa hasa vya nguo vikawa vinatengeneza nguo na kuingiza...
  4. X

    JamiiForums Tanzania China yaongeza kodi kwa 34% kwenye bidhaa za Marekani kufuatia Marekani kutangaza ongezeko la tariffs kwa mataifa mbalimbali duniani. The game is on!

    Baada ya uongozi wa Trump jana kutangaza kuongeza tariffs kwa mataifa mbalimbali dunia kutia ndani China, leo pia China nayo imetangaza kuongeza tariffs kwa 34% kwa bidhaa zote za Marekani. Mwanzoni China ilikuwa ikiongeza tariffs kwa baadhi tu ya bidhaa za Marekani ila tangazo la leo limegusa...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara/serikali wanatumia mabilion kuagiza bidhaa nje wakati bidhaa kama hizo zinapatikana nchini

    Wachumi naomba mnisaidie, nimeona juzi diamond platinum anajisifu ameuza kontena 30 za sabuni ndani ya week, at the same time ukienda kigoma- sido wanazalisha sabuni zenye mfanano kama ulivyo, na ukienda utakuta godown yamejaa sabuni za kutosha, soko lake likiwa dogo, ivi kwanini tusikuze uchumi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Trump ameivuruga dunia nzima na import tarrifs alizoziweka kwa bidhaa zinazoingia USA. Je dunia ikimsusia anaweza ku survive peke yake?

    Suppose, china and his allies and the world in general wakimsusia USA anaweza ku survive peke yake? 1. Industrial products zake ataziuza wapi? 2. Raw materials za viwanda vyake atazipata wapi? 3. etc etc Wataalamu wa uchumi tuelewesheni
  8. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bwawa la umeme la Nyerere na DP World havijasaidia bidhaa na huduma kushuka bei ?

    Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!
  10. youngkato

    JamiiForums Tanzania Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?

    Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza? Tuangalie the power of Patnership Katika online business Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Agiza bidhaa mbalimbali kutoka Dubai – Salu DXBTZ General Trading

    KWA MAHITAJI YA SIMU,LAPTOPS NA SPEA ZA MAGARI KAMA INJINI,GEARBOX,TAA,INJECTORS,SPARK PLUGS ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KUTOKA DUBAI NJOO UAGIZE NASI. SALU DXBTZ GENERAL TRADING NDIO SULUHISHO. TUMEKUWA TUKIFANYA SHUGHULI HII KWA MUDA WA MIAKA 4(MINNE) HADI SASA KWA UAMINIFU WA KIWANGO CHA JUU...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
  13. Yofav

    JamiiForums Tanzania Usipite: Hapa unajipatia bidhaa mbalimbali za majumbani na maofisini kwa bei nafuu sana

    Je, unatafuta bidhaa bora za nyumbani kwa bei nafuu sana? Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya households na furniture! Tunauza bidhaa mbalimbali kama meza, viti, kabati, mapambo ya nyumbani, vifaa vya jikoni, na vingine vingi – vyote kwa bei rafiki unayoweza kumudu. Kwa nini...
  14. Poker

    JamiiForums Tanzania Wabongo tupunguze kuweka mafaida makubwa katika bidhaa tunazouza

    Jana kuna sehemu nimeenda, nikakuta ndala zile kandambili za 2000 zinauzwa 5000, kuuliza haipungui nkaambiwa haipungui alafu muuzaji akaendelea kujisnap. Kuna maduka ukienda, bidhaa ambayo kariakoo kwa mchina unaipata labda kwa 5000 huko unaikuta 10,000 haswa maduka ya sinza. Unaenda lodge...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Veta itaondoa udalali wa bidhaa za China na Uturuki

    Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina. yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama choma na anaingiza mzigo wa nguo kutoka china.
  16. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Kimarekani walalamikia majibu ya China ya nyongeza ya ushuru wa 15% kwa bidhaa

    Baada ya China kujibu mapigo kwa nyongeza ya ushuru wa 15% kwa bidhaa za kimarekani baada ya serikali ya Donald Trump kuiwekea ushuru kwa bidhaa za China zinazo ingia marekani athari za majibizano ya nyongeza za ushuru kati ya serikali ya Washington na Beijing za wakumba wakulima wa kimarekani...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfanyabiashara kuwa makini na wale jamaa wanaokuja na kujitambulisha kuwa ni mawakala wa kampuni fulani na wanasambaza bidhaa

    Utapeli mwingine na namna hii. Either anakuwa tapeli ahusiki na kampuni hio au ni winga wa kukusanyia bidhaa ila anajitambulisha kuwa ni wa kampuni husika. Unakuta hadi bizness cards wameandaa either ikiwa na jina ya kampuni maarufu au kampuni feki alioitunga. Then anakuambia tumepita...
  18. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wekeni bei za bidhaa na huduma zenu kwenye matangazo yenu ya biashara

    Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ambapo wanatangaza bidhaa na huduma zao, lakini hawaweki wazi kuhusu...
  20. 2019

    JamiiForums Tanzania Biashara za Mo ngumu mpaka ameamua kuwa wakala wa bidhaa za wenzake sasa

    Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa.... 1. Boxer, bajaji 2. Betri 3. Nyembe za Dorcco. Kinachosikitisha zaidi huenda uwakilishi wake kwenye bidhaa hizo pia ukawa mgumu, kama ubora utabadilishwa. My take. mo ajiri...
Back
Top Bottom