bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni bidhàa, uaminifu ni pesa, vijana kuweni waanifu mtafanikiwa mno

    Uaminifu ni bidhàa inayoadimika miongoni mwa Watanzania. Kwenye maisha ili ufanikiwe uaminifu ni kitu cha thamani ambacho unatakiwa kuwa nacho Watu wengi tumeimiliki hii bidhaa iliyoadimika mtaani na umetupa matunda mazuri Mfanyabiasha unakosa uaminifu, unauza bidhaa mbovu, unauza bei kubwa...
  3. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bidhaa ipi ni bora katika ku skimu ndani na eneo la copro(dirishani)

    Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA -kongowe Coral decor Wallputy Gypsum power Na unazo zijua nyingne, napenda kujua na bei elekezi pia...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kitanzani: Kodi ya Ushuru wa Bidhaa ya Tanzania na Nafasi ya Mahakama ya EACJ

    Na Dkt. Kirimi Wanjagi Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani Tanzania zina msamaha wa kodi ukitaka kuagiza kutoka nje ya nchi?

    Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana. Naomba wakuu mnisaidie hili. Nawasilisha "Ndonger,mkongwe kwenye jukwaa"
  6. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Afichwa kama bidhaa za magendo

    Hehee! Watia ndimu kwenye ulojo wee. Wasema bidhaa ya magendo yafichwa hehee. Nye nye Nye. Sasa mtamficha mpaka lini mwee! Awa kama mjusi atoka kuota jua. Walahi haramu ni mateso. Miye shasamehe. Naludi chama la wanywa damu. Ole wenyu mtoe pua zenyu D9 tapasua bichwa lenyu. Twataka bibiye aishi...
  7. Flame Interiors

    JamiiForums Tanzania Kwenye uzi huu utajipatia bidhaa za mapambo majumbani & Households

    Habari mdau, Jina langu halisi naitwa Lasco na inajishughulisha na uuzaji wa mapambo ya majumbani & Households mbalimbali baadhi yake ni pamoja na;- -Mashuka (All types) -Mapazia (All types & its rods) -Mosquito nets -Rugs -Coffee tables etc Under Flame Interiors...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Tuanzeni kususia bidhaa za mafisadi

    Kuna tetesi kwamba waliokufa Ni 3500 na majeruhi Ni 15000. Hivyo tuchukue hatua zifuatazo 1: Hakuna kupanda gari ya fisadi 2: Hakuna kujaza mafuta kwenye Kituo Cha mafuta Cha fisadi. 3:Hakuna kununua bidhaa ya fisadi. 4:Hakuna kuudhuria show za wasaniii machawa lakini pia tumaweza organize...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

    Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism. Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex au za high tech wengi hubisha. Uzuri ni kuwa Trump ni kama saa mbovu kuna wakati huwa inasema...
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Bandari bubu Ununio-Chimbo la bidhaa nafuu toka Zanzibar

    Wale risk takers chimbo la bidhaa nafuu njooni hapa Ununio Majahazi wanaleta bidhaa toka Zanzibar niwendo wa kupiga pesa tu. sukari kilo Tsh 800
  11. Whitney Houston

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kulangua Bidhaa za Kuuza Stationery

    Habari za weekend wanajamvi. Nipo katika mchakato wa kufungua biashara ya Stationery,nipo mkoani ila nataka kuwa nalangulia Bidhaa Mkoani Dar. Naombeni mnitajie machimbo nitakayolangua Bidhaa kwa bei rafiki ya chimbo. Bidhaa kama madaftari,counter book,gundi,marker pen,ribon za mapambo kwenye...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Unaagiza bidhaa online wanachokileta

  13. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Siri za Masoko: Jinsi ya Kufanya Bidhaa Zako Zinunuliwe kwa Faida Kubwa

    Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika. 👉 Siri ni hii: Soko si mahali, ni maarifa. Ukiwa na taarifa sahihi za bei na mahitaji, hupotezi...
  14. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Je Kwanini Maelekezo ya kiusalama yanayowekwa kwenye bidhaa hayazingatiwi Tanzania?

    Ni kawaida kukuta mtu anatembeza vinywaji mtaani na ata stendi au Mwingine anauza vinywaji kama soda na Energy zikiwa zimerundikwa nje tena juani Lakini ukisoma maelekezo kwenye zile bidhaa utakuta zimeandikwa store in a cool & dry place au Keep away from direct sunlight Je kwa kupuuza...
  15. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Kemikali zinazowekwa katika bidhaa za viwandani hutolewa wapi?

    Kwenye vyakula, vinywaji, vitafunwa nk, huwekwa kemikali kwa sababu fulani, moja wapo ni visiharibeke kwa haraka. Sasa swali langu ni kwamba hizi kemikali au malighafi yanayotumika kutengeneza hizi kemikali kutolewa wapi? Kwenye miti, ardhini, majini ama ni wapi? Mkawe na asubuhi njema.
  16. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Siri za Kariakoo: Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya jumla bila kupoteza muda

    Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara Tanzania — bidhaa zikishafika Kariakoo, unaweza kupata kila kitu kutoka bei ya jumla, hadi bidhaa...
  17. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi maduka yanayouza bidhaa za JamiiForums zipo?

    Yeah, namaanisha vitu kama t-shirt, kofia au hata kofia zenye logo ya jf. Tujuzane wadau. Nahitaji hata t-shirt moja tu.😎
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumteua mtu anayetegemea kuuza bidhaa za China kuendeleza biashara ya Tanzania ni kukosa maono

  19. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya bidhaa online ni wizi mtupu sisimizi anauzwa kwa bei ya tembo je hii ni biashara au utapeli?

    Naomba tu kusikia kwenu wadau! Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery" Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili kupata oda! Bidhaa nyingi za namna hiyo zipo hapa hapa Tanzania kariakoo na Sinza! Mfano wa bei...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Maboss zangu, karibu kwa bidhaa na biashara safi!

    HABARI ZA MDA HUU NDUGU ZANGU WAPENDWA... Nauza vitu hivi tayari kwa matumizi: 1. TV ya Solar 32 inch – , bei: Tsh 170,000 ✅ 2. Kioo cha Computer HP 24 inch – Safi, nzuri kwa kazi yoyote, bei: Tsh 110,000 ✅ 3. Computer Kali ya Kusimama HP – Core i5-2400CPU @ 3.10GHz, RAM 8GB, Harddisk...
Back
Top Bottom