bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za Afrika zaoneshwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE

    Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE). maparachichi ya Kenya pilipili ya Rwanda kahawa ya Ethiopia asali ya Zambia divai ya Afrika Kusini
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni makubwa ya kimataifa yanayouza bidhaa za rejareja yanaondoka Tanzania?

    Katika siku za hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia maduka makubwa kadhaa yakifungwa, huku la hivi punde zaidi katika orodha likiwa ni Game Stores, ambalo kufungwa kwake kutaathiri vibaya zaidi ya kazi 100 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Kuondoka kwa Game kunaikumbusha nchi ya...
  3. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuagiza bidhaa kutoka Marekani kwa kutumia kampuni ya Myus

    Habari wakuu. Poleni na majukumu. Ni mara ya tatu Naagiza bidhaa mbalimbali kutoka ebay kupitia kampuni ya myus. Mara mbili nimepokea bidhaa nilizoagiza bila changamoto yeyote. Mara hii ya tatu bidhaa inaonekana imefika dar es salaam na inaleta meseji ya Clearance delay- import. Clearance...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania

    Rais wa Kenya Dkt. Ruto amesema ukweli ni kwamba Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania Hivyo tutaondoa vikwazo ili biashara ifanyike kwa uzuri zaidi Chanzo: TBC
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mnyororo wa thamani uko wapi; Malighafi za Tanzania au bidhaa zinazozalishwa Kenya?

    MNYORORO WA THAMANI UKO WAPI; MALIGHAFI ZA TANZANIA AU BIDHAA ZINAZOZALISHWA KENYA!? Je, ni kweli kilimo ni biashara kichaa!! Jibu ni hapana. Je, hakuna masoko ya Kilimo!? Jibu ni hapana, wapo watakaokushawishi kulima lakini mazao yakikomaa watakukwepa!! Hii ni sababu ya mnyororo wa thamani...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto aondoa zuio la mazao ya GMO, aruhusu bidhaa na kilimo cha mahindi yake

    Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012. Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya kusaidia kuongeza mavuno wakati ambao nchi inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40 na kuacha...
  7. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

    Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani tunayopeleka nje(export) kama bidhaa iliyokamilika (finished product).

    Inafahamika, kupeleka vitu vyetu tulivyovitengeza sisi wenyewe katika masoko ya nje, vitatuingizia fedha za kigeni, pamoja na kuimarisha uchumi. Tuna baadhi ya viwanda hapa nchini, ila sijajua ni bidhaa zipi wanazozalisha na kuzipeleka kwenye masoko ya nje, kama; Ulaya, Urusi, Marekani, China...
  9. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Nilivyotengeneza Soko Pekee (Lisiloingiliwa) la Bidhaa Zangu

    UTANGULIZI Watu walio wengi kwa sababu moja au nyingine huwa hawawezi kutengeneza fursa za biashara kutokana na kuanza kwa biashara moja kupitia Mnyororo wa Thamani. Fuatilia Makala hii kwa makini uone jinsi unavyoweza kufanya hivyo kwa biashara yoyote. Mnamo mwaka 2019 nilianzisha na kusajili...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hapa wilaya ya Ngara umeme ni bidhaa ya anasa yapata miezi sasa

    Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na viunga vyake hakika umeme umekuwa ni bidhaa ya anasa na aghari mno kuipata! Kuanzia Benaco, Ngara yenyewe hadi Rusumo umeme umekuwa ukiwaka kwa masaa yasiyozidi manne tena usiku tu na kosa kuche wenye umeme wao huuchukua. Mfano muda huu Benaco na Ngara yote...
  11. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi stendi ya daladala Sabasaba Dodoma wameshindwa kuwatenganisha wauza bidhaa za sokoni na parking za daladala?

    Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk. Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili. Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
  12. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Vipodozi Bidhaa Inayopendwa Na Watu, Tushughulike Na Wanunuaji

    Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV vipondozi vinatekezwa na mamlaka husika. Ninavyojua mtu hawezi kuweka bidhaa kwenye duka lake ikiwa haina soko, tena bidhaa ambayo ni hatari kwake akikutwa na serikali. Vipodozi hivi vinanunuliwa sana na watu ndio maana vinajazwa kwenye maduka. Leo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.

    Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Watu Maarufu na Bidhaa za Wanyonge

    DHANA YA UMAARUFU Jamii ni mkusanyiko wa watu wenye hali na mitazamo tofauti wakiwa chini ya mamlaka moja ambapo kila mmoja ana mchango kwa maisha ya mwingine. Katika jamii zilizoendelea, hali ya kutegemeana ni kubwa kutokana na kila mwanajamii kuwa na shughuli halali inayoathiri maisha ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za Akili Bandia katika maonyesho ya biashara ya Huduma ya mwaka 2022 zawavutia watazamaji wengi nchini China

    Septemba Mosi, bidhaa za akili bandia katika maonyesho ya biashara ya Huduma ya mwaka 2022 ziliwavutia watazamaji wengi mjini Beijing, China.
  16. J

    JamiiForums Tanzania TBS yateketeza Vipodozi vyenye viambato sumu na bidhaa zingine zilizokwisha Muda wa matumizi zenye thamani ya takribani Sh. Milioni 400

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yateketeza bidhaa zenye thamani ya takribani Sh Milioni 400 bidhaa hizo hazikidhi Viwango vya ubora na kuisha Muda wake wa matumizi. Kwa upande wa Vipodozi ni vile vyenye viambato sumu zisizofaa kwa matumizi kwa binadamu. Dk. Kandida P. Shirima (Kaimu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bidhaa ya mawazo

    Ninayoimani kubwa kuwa Tanzania tumepoteza hazina kubwa ya ubunifu, maarifa na mapato kwa kukosa watu sahihi wa kuyaibua na kuyaendeleza mawazo ya kibunifu. "Siku neema ya kuweka alama kwenye makaburi ya watu waliokuwa na mawazo bunilizi na yenye tija kwa taifa ikishuka wengi wetu tutatoa...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa za kuanzia kiasi gani zinastahili kutolewa risiti hapa Tanzania?

    Naomba kujuzwa suala hili? Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza...
  19. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kuifungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi: Uingereza yafuata China kuruhusu bidhaa za Tanzania kwenye soko lake

    Nawasalimu kwa jina la JMT, na ni matumaini yangu Kazi inaendelea. Mwezi uliopita China ilitoa certificate of clearance kwa makampuni zaidi ya 300 ya Tanzania kuingiza na kuuza bidhaa mbalimbali Nchini mwao bila kikwazo na ushuru wowote. Uingereza nayo imeungana na China kwa kuruhusu asilimia...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za taulo za kike kutolewa bure kwa Wanawake wote Scotland

    Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
Back
Top Bottom