Rafiki
Sasa ivi ni saa 9.30 asubuhi.
Ndio muda ambao nimeamua kukuandika makala hii fupi na kwanini nimekuandika makala hii muda huu. Nimekuandika makala hii wewe mjasirimali, Mfanyabiashara unayehangaika kupandisha mauzo ya Biashara yako upate kujifunza na kufahamu moja ya mbinu ya siri...
Habari wana JF
Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.
Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.
Mfano:
•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna...
Mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, bidhaa za China hazijadhibitiwi tu kwenye maduka halisi, kwani zinaonekana kwa wingi katika skrini za simu za mkononi, zikijaza vikapu vya manunuzi, na kupelekwa moja kwa moja mlangoni kwa wateja kupitia mtandao unaoendelea kupanuka wa maduka ya mtandaoni...
Ninaweza kusaidia biashara yako kupata wateja kwa ajili ya bidhaa au huduma zako kupitia lead generation na B2B sales/outreach. Nitakutafutia wateja wa uhakika wanaoweza kuwa na uhitaji halisi wa kile unachouza, badala ya kupoteza muda kwa watu wasio na interest.
Kwa wanaotaka kuanza, kuna...
Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na Shule ya Nyanza English Medium kwa Mwaka wa masomo 2026, hususan kwa Madarasa ya awali na Darasa la Kwanza.
Awali, uongozi wa shule hiyo ya Serikali ambayo...
Anonymous
Thread
bidhaa
english
english medium
hewa
malipo
manunuzi
nyanza
shule
Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
Uaminifu ni bidhàa inayoadimika miongoni mwa Watanzania.
Kwenye maisha ili ufanikiwe uaminifu ni kitu cha thamani ambacho unatakiwa kuwa nacho
Watu wengi tumeimiliki hii bidhaa iliyoadimika mtaani na umetupa matunda mazuri
Mfanyabiasha unakosa uaminifu, unauza bidhaa mbovu, unauza bei kubwa...
Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA -kongowe
Coral decor
Wallputy
Gypsum power
Na unazo zijua nyingne, napenda kujua na bei elekezi pia...
Na Dkt. Kirimi Wanjagi
Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana.
Naomba wakuu mnisaidie hili.
Nawasilisha
"Ndonger,mkongwe kwenye jukwaa"
Hehee! Watia ndimu kwenye ulojo wee. Wasema bidhaa ya magendo yafichwa hehee. Nye nye Nye. Sasa mtamficha mpaka lini mwee! Awa kama mjusi atoka kuota jua. Walahi haramu ni mateso. Miye shasamehe. Naludi chama la wanywa damu. Ole wenyu mtoe pua zenyu D9 tapasua bichwa lenyu. Twataka bibiye aishi...
Habari mdau, Jina langu halisi naitwa Lasco na inajishughulisha na uuzaji wa mapambo ya majumbani & Households mbalimbali baadhi yake ni pamoja na;-
-Mashuka (All types)
-Mapazia (All types & its rods)
-Mosquito nets
-Rugs
-Coffee tables etc
Under Flame Interiors...
Kuna tetesi kwamba waliokufa Ni 3500 na majeruhi Ni 15000.
Hivyo tuchukue hatua zifuatazo
1: Hakuna kupanda gari ya fisadi
2: Hakuna kujaza mafuta kwenye Kituo Cha mafuta Cha fisadi.
3:Hakuna kununua bidhaa ya fisadi.
4:Hakuna kuudhuria show za wasaniii machawa lakini pia tumaweza organize...
Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism.
Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex au za high tech wengi hubisha.
Uzuri ni kuwa Trump ni kama saa mbovu kuna wakati huwa inasema...
Habari za weekend wanajamvi.
Nipo katika mchakato wa kufungua biashara ya Stationery,nipo mkoani ila nataka kuwa nalangulia Bidhaa Mkoani Dar.
Naombeni mnitajie machimbo nitakayolangua Bidhaa kwa bei rafiki ya chimbo.
Bidhaa kama madaftari,counter book,gundi,marker pen,ribon za mapambo kwenye...
Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika.
👉 Siri ni hii: Soko si mahali, ni maarifa.
Ukiwa na taarifa sahihi za bei na mahitaji, hupotezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.