biashara

  1. notyfeky

    JamiiForums Tanzania Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje?

    Habari. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje? Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tunaomiliki daladala Dar upepo wa biashara utaathiriwa sana na Mwendokasi

    Kwa kasi ya ujenzi wa barabara za mwendokas kuna root zitaenda kufa au kususuasua route za Bunju - Ubungo. Bunju - Makubusho Goms - Kariakoo Mbagala - Kariakoo. Hizi routes mapato /hesabu ya boss itapungua by half yani 50%. Ni vyema kuanza kuinvest kwenye sector nyingine.
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta kwenye biashara ya daladala

    Haya nimetulia sasa niwaambie yaliyonikuta kwenye biashara ya daladala🤣basi baada yakuona dereva na konda wake wananizingua sikuhiyo nikaamua niingie mzigoni mwenyewe nikae mlangoni nikusanye hela nione mpaka jion gari itakufa nini au tutapata shilingi ngap ✍️ Jioni dereva kaleta gari...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu nataka kufanya biashara ya viatu vya kike. Naombeni ushauri

    Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
  5. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuanza biashara ya real estate Kwa mtaji wa viwanja nilivyo achiwa na Mzee ?

    Wakuu habari Kuna viwanja vitatu Mzee kanipa, Kimoja kipo Mlandizi ndani ndani huko porini, kama unaenda bagamoyo Kingine kipo ubungo external Cha mwisho kipo kimara mwisho Na Sina mpango wa kuuza hata kimoja , ila mpango mkubwa ni kuanza biashara ya Real Estate Sasa, swali la msingi...
  6. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Usajili wa majina ya biashara na kampuni BRELA

    Kama unahitaji kusajili kampuni au jina la biashara Kubadili jina la biashara au kampuni n.k. Nitumie ujumbe whatssap au piga simu 0765991551. Nikufanyie mchakato hadi kazi yako ikamilike.
  7. innocentmark

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Misikiti mingi inakodisha Frame za biashara na kulaza Magari katika maeneo yao ya msikiti?

    Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu? Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti huwa ni kweli au imani anakaa juan kuanzia asubuhi hadi jion au ni imani imemtuma?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Najutia kufuata ushauri mlionipa kumuonea huruma muuza duka auze bidhaa zake, wachache mlionishauri niweke huruma pembeni mnajua biashara

    Kuna uzi niliweka humu jamiiforums Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani? Summary / Muhtasari: Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, Sina uzoefu sana kwenye biashara niliona nitakuwa kauzu nikimkatalia, nilitaka kuonekana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nilimkuta hana kitu tukafungua biashara mpaka ikafika milioni 100 lakini akanifukuza

    Nilimkuta hana kitu, tukafungua biashara ikafikia Milioni 100, akanifukuza! **** Sasa Hivi Nina Biashara Yangu Ananiheshimu! “Huna akili mjinga wewe mwanamke gani matako yako mgongoni, sijui hat aukinya inakuaje, hembu angalia, mimi wanawake wananipenda, nina akili na usidhani haya mafanikio...
  10. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Ulijipata kimaisha ukiwa na miaka mingapi?

    wakuu kama mnavyoona zimebaki siku mbili tu kuumaliza mwaka 2024 na kuanza mwaka mwingine 2025, watu wengi hua wanajiwekea malengo mbalimbali wakiamini mwaka mpya unavyoanza ni rahisi zaidi kuanza mambo mapya au kubadikisha lifestyle ya zamani na kuanza mpya. inaonekana ni rahisi kuliko kuanzia...
  11. Rdj Shibo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary

    Naomba msaada wa kupata mawasiliano na connection ya kupata bidhaa za kuuza vya stationary Naomba hili kwakuwa nipo kwenye mpango wa kufungua Stationary Natanguliza Shukrani
  12. Mr Ebora

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo

    Habari za humu Wana familia,Mimi ni mgeni humu ndani,Nina mtaji mdogo Sana kima cha laki3 ndoto yangu nifanye biashara ya kununua na kuuza nguo na viatu vya kike,,nimejaribu za kutembeza napata faida kidogo ila changamoto NI wateja wachachenachoka Sana,nilitaka nifungue office ila vitu vya...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ninatangaza kuuza Avatar yangu!

    Karibuni! Niwatakie Heri ya mwaka mpya 2025
  14. MEK_TZ

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima. Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe. Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
  15. 3

    JamiiForums Tanzania Hii biashara imekaaje wakuu?

    Habari za muda huu, Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo. Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki...
  16. Wimbo

    JamiiForums Tanzania SGR ianze biashara ya mizigo

    Baada ya kupokea mabehewa ya mizigo, ni suala la muhimu sana ma container ya mizigo yanayokwenda ushoroba wa Kati yaanze kusafirishwa Hadi Dodoma kwa SGR na mamlaka iandae bandari kavu Dodoma ili maloli yote yaendayo Rwanda na Burundi yaanze kuchukulia Dodoma badara ya Dar. Hii itasaidia...
  17. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa ya biashara (Mabasi dhidi ya SGR)

    Habari wanajamvi, Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja itaanza jioni ya leo. Krismasi kwangu ni fursa ya kuwasaidia wahitaji). Leo nlikuwa mtandaoni, nikaona...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Biashara /uwekezaji wa Watanzania/Wazawa hautupi nafasi ya kuja siku moja kushindana huko Duniani

    Watalawa hawawaambii ukweli huu kwamba Hizi aina ya Idea/wekezaji/biashara zetu wabongo hazitupi nafasi hata kidogo ya kuja kushindana huko Duniani one day yes. Huwezi kuja kushindana Duniani kwa; Kuwekeza kwenye pub kari kari Hoteli Duka la Uchuuzi Guest house Mabasi Car wash na kadhalika...
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA nayo ni biashara ya Mbowe?

    I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance. Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha. Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu...
  20. Gloria EM

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nafaka - Masoko

    Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!!
Back
Top Bottom