biashara

  1. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Barbershop kwa mtaji wa milion 20 inalipa sana

    Huu ndo mchanganuo kwa wanaotaka kufanya barbershop kwa mtaji wa miti 20(2M) 👉Utengenezaji wa frame ndani na nje (unakuta labda furniture tu mule ndani kama miti 5 hivi (5M), tuseme labda (decoration ya jengo Mti NNE(4M) hujanunua madryer labda (2M na vifaa vingine Miti 2(2M),hujaweka bhango...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

    Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
  3. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania OFA KWA WAJASIRIAMALI, TUNACHAPA(PRINTING) PRODUCT LABEL KWA GHARAMA NAFUU

    Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na ubunifu(design) wa label za bidhaa za aina zote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu. LABEL NI...
  4. BATULUNGE

    JamiiForums Tanzania Eneo kubwa la biashara linauzwa Goba

    Eneo linauzwa lipo Goba njia nne barabara ya kuelekea Madale lina faa sana kwa ajili ya kujenga sheli ya mafuta au Kujenga maduka makubwa. Eneo lina ukubwa wa sqm 4800 na ndani ya eneo kuna nyumba 1 imejengwa na fremu 2 za biashara Bei yake ni Tsh 500 mil Kwa mawasiliano zaidi piga 0656077998
  5. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  6. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Tanapa na wizara ya mali asili na utalii mna mpango gani na biashara ya utalii?

    Salamu kwa wote. Kutokana na kuporomoka kwa dollar, wafanyabiashara ya utalii wamejikuta wakipata hasara kubwa kutokana na exchange rate ya Tanapa kubaki kuwa 2609 Tzs huku thamani ya dollar sokoni ni 2300$. Pamoja na serikali kusisitiza matumizi ya shillingi bado kwenye biashara ya utalii...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Chongolo aongoza mkutano wa nane wa Baraza la Biashara

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo ameongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo. Mkutano huo umefanyika Jumanne Disemba 11, 2024 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Nselewa Wilayani Mbozi. Katika Mkutano huo Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa...
  8. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Nimfuate vigezo gani ili niwe mfanya biashara mkubwa Afrika?

    Nini nifanye niwe mfanya biashara mkubwa kama moo dewji, Bakhressa n.k, niwe na kiwanda kinachozalisha products zangu zenye brand yangu barani Afrika ambazo zitafanya vizuri sokoni, at the end niwe tajiri kupitia biashara?
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Eneo la Ilala Sokoni karibu na Ofisi ya RC na DC hali ni mbaya, maji ya kinyesi yanatiririka eneo la kufanyia biashara

    Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo. Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
  10. FOX21

    JamiiForums Tanzania Nampango wa kumfungulia shemeji yangu biashara ya Sabuni kuimarisha maisha yake

    Nisipoteze muda naomba niingie ndani ya lengo . Ndugu zangu nina mpango wa kumfungulia shemeji yangu wakike biashara ili na yeye awe anajipatia mahitaji yake madogo madogo kuliko kuwa anashindia ndani akifatilia tamthilia na kunipiga vizinga vya hapa na pale. Na biashara nilio iona haitampa...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma waislam waliofariki wakidhan wanapigania dini kwenye biashara za watu.

    Masheikh na vijana wa kiislam walioingia kichwa kichwa wakidhan maeneo mbali mbali ni vita ya dini ila ukweli. Leo ni ajabu neno jihad na friendly linawekwa kwenye sentence moja Wito wangu kwa vijana wa kiislam, 1. Fanya ibada zako. 2. Tenda haki, usidhulumu wala kudhulumiwa 3. Jiimalishe...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara tunaochanganya biashara ya chakula na vile tunaomba leseni zetu

    Kuna utaratibu mpya wamekuja nao binafsi naona kwa sisi wananchi wengi wa kitanzania 70% ambao tuna uchumi mdogo naona hawatufanyii fair kwa kutokutusikiliza tunakuwa kama tupo ugenini kumbe ni nchini mwetu.. Hii ishu ya LESENI wameigawanya 1: Leseni ya Vileo hii ni elfu 40 mara 2 kwa mwaka...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti sana kati ya biashara inayomilikiwa na muajiriwa na biashara ya mtu aliyejiajiri pekee

    👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo 👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki 👉 Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya barbershop

    Mwenye uhitaji wa hiki kiti tuwasiliane,kipo mbeya mjini,hakijawi tumika bado kipo kwenye box lake kutoka kiwandani
  15. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji na Rushwa ya ngono vinawaathiri Wanawake Wafanyabiashara Stendi ya Kuu ya Magufuli (Dar), Serikali ifuatilie haya madai

    Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
  16. eric mwakapango

    JamiiForums Tanzania Biashara ya studio

    Mimi ni mkazi wa Dodoma mjini,nina camera cannon mark 3 nina kamtaji kadogo ninataka kufungua kabiashara kadogo ka studio. Ni vifaa vipi vichache vya muhimu naweza kuanza navyo au kama kuna mtu anauza used naweza kuelekezwa kwa ajili ya kubana bajeti. Cont. Call/whatsapp +255 743 796 975
  17. Father TZA

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza daftari kwa bei ya jumla

    Habari za Kazi ndugu wadau..? Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla.. Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia naomba kujua Nini changamoto kubwa hasa katika biashara hiyo.
  18. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Siri iliyopo nyuma ya mafanikio ya Mwamposa na jinsi unavyoweza kuitumia kwenye biashara yako

    Tunasema ili uweze kufanyikiwa kwenye kitu chochote kile ni lazima uwe na “Model ya kujirudia inayokupa MATOKEO wanayoyataka walengwa wako kila mara” Yaani… Lazima uwe na kitu, bidhaa, huduma au mfumo flani ambao kila ukiutumia unakupa matokeo yale ambayo walengwa wako wanayahitaji. Mfano…...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Supplement, za bodybuilding na kawaida, hakuna udhibiti?

    Habari katika Jamvi hili? Ni kweli tunatambua Watanzania wengi wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali, yanayoanzia uzazi, unene ulipitiliza, misuli, nyonga, vidonda vya tumbe, BP, sukari, cancer, tezi dume. Sasa kutokana na matatizo ya watanzania na wananchi kuwa na uelewa finyu juu ya Afya zao...
  20. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Pata QR Code za Instagram au biashara yako

    QR Code inaweza kumrahisishia mteja wako kupata taarifa za biashara yako kwa haraka zaidi ukilinganisha na kutafuta kawaida. Mfano; Unaduka lako, na umechapisha karatasi yenye jina lako la instagram ya biashara kisha ukabandika ili mteja aone, kuna wakati mteja anaweza kukosea herufi moja tu...
Back
Top Bottom