biashara

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu machinga kufanya biashara barabarani sio kuwapenda

    Machinga wapo kila pahala Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road Hizi ni sehemu hatarishi Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo na msingi Watu wa mpango mji mnafanya Nini ofsini Tunajua hawa ndo wapiga kura ila serikali ni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya usambazaji bidhaa za dukani.

    Habari wakuu, Husika na kichwa Cha habari, Tumekuwa tukifanya usambazaji wa bidhaa za dukani(pipi,tomato,n.k) kwa kutumia mfumo wa store, Yani unaingiza mzigo store Kisha unapita maduka ya jumla kutafuta oda za vitu mbalimbali ili uweze kumpelekea mteja. kwa ufupi Ni Kama distributor lakni Katka...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh (the international conversation and exhibiti

    Ubalozi wa Saudi Arabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Kituo cha Kuendeleza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) wameandaa na kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh yaani (the international conversation and...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda: Pikipiki ipi ni nzuri kwa biashara

    samahani wadau naomba kujuzwa kuhusu pikpiki ipi nzuri kwenye biashara ya bodaboda kati ya hizi hapa;- 1. Sanlg 2. Tvs 3. Boxer Nasubiri kutoka kwenu jamani asanteh.
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Tupambanie familia zetu, siasa ni biashara za watu

    Hii nchi usimtegemee Mwanasiasa na Pia ukiwa Mwanasiasa usimtegemee kijana mwenye njaa kwenye harakati zako..
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro Kariakoo watimuliwa

    Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro wameitaka serikali kuingilia kati mgogoro unaoendelea kati yao na uongozi wa msikiti huo ambapo umewataka wafanyabiashara kuondoka eneo la barabara ambalo wanafanyia biashara kabla na baada ya matengenezo ya barabara. Akizungumza...
  7. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Biashara za Wanandoa: Kufanikiwa Pamoja au Kuachiana Majukumu?

    Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi. Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya kuimarisha uhusiano wa kifamilia na kifedha. Lakini wakati ndoto hiyo inaweza kuonekana kama...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa biashara Ilala wanashurutusha wafanyabiashara kulipa fine kwa kutumia nguvu

    Hii imenitokea Niliandikiwa fine ya laki 3 Nikaomba control number Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo. Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu na kunipeleka stakishari police huku njian nikipewa vitisho na kuwekwa ndani usiku kucha bila utetezi...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  10. Now and then

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job kwa wadau wa kilimo, biashara n.k.

    Habari, Leo nipo hapa kuomba fursa ya ajira, Kazi au part time job. Kuhusu Mimi Mimi ni ME Umri 26 Elimu form six Napatikana DSM Sifa zangu Mchapa Kazi Mwaminifu Mtu wa kujituma kazini Aina ya Kazi ambazo nipo na uzoefu nazo. -Mimi nina uzoefu wa kuuza na kununua mazao Kama middle broker...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mahitaji mdau wa kufanya nae Biashara au anikopeshe au Ushauri

    Wana JF natumaini mko salama. Naomba kushirikisha suala moja hapa, Katika kupambana kwangu na harakati za kujikwamua, nikafanikiwa kununua Kiwanja na kujenga nyumba. Pia nikafungua biashara ya bidhaa za Jumla jumla za Dukani. Nilianza na Mtaji wa milioni 4, Baadae Mtaji ukafika mpaka milioni...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoboa kupitia biashara ya mazao (nafaka)

    Nitaelezea zaidi Kanda ya ziwa, hasa mkoa wa Kagera Biashara ya mazao hasa nafaka ni biashara ambaya haimtupi mtu, yaani hapa faida inayoweza kuji double ni uhakika Usichukue mtaji ukawekeza kulima kama kijana unayejitafuta maana kilimo kina risky zake Kwa sisi Africa tunaotegemea mvua ya...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zinazolipa ila sio rafiki sana kwa mfanyabiashara anayeanza kujitafuta.

    Watu wengi tumekuwa tukipeana ushauri wa biashara zinazolipa hasa kwa wale vijana wadogo wanaoanza pilika baada ya kutoka masomoni. Nimekumbuka biashara kadhaa nzuri ila sio rafiki kwa anayeanza biashara ambaye bado mtaji wake ni mdogo. Haya ni maoni yangu ila sio sheria. 1. Biashara ya...
  14. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania BIASHARA YA MOVIES LIBRARY

    Mm n kijana wa kitanzania, npo maeneo ya Nyegezi Mtaa wa Nyamazobe, ninahitaji kufungua biashara ya kuweka movies na nyimbo mbalimbali, 1. Naombeni ushauri wenu wadau kuhusu vitu vya msingi vya kuzingatia. 2. Sehem gani hapa mwanza naweza nkapata CD za kuanziakwa bei ya jumla.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
  16. ramadhani kimweri

    JamiiForums Tanzania FURSA YA USHIRIKIANO BIASHARA

    FURSA YA USHIRIKIANO: NATAFUTA BIDHAA ZA KUUZA KWA MAKUBALIANO YA MALIPO BAADA YA MAUZO Maelezo: Habari, Jina langu ni Ramadhani Juma Kimweri, mjasiriamali mwenye nia ya kuendeleza biashara kwa kushirikiana na wafanyabiashara wenye bidhaa mbalimbali. Natafuta wafanyabiashara wanaotaka kuongeza...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Huwezi Pinga Kuwa Dini (madhehebu yote) yamegeuka kuwa biashara zinangonya waumini. Kama una hoja utasikilizwa na kujibiwa

    Nipo tiyari kukosolewa lakini Kwa uthibitisho tu na sio mbwembwe zingine. Kwanza hakuna kwenye biblia sehemu yoyote Ile watu walifanya harambee ya kumnunulia mtume ama nabii punda ama farasi Kwa Wakati huo maana hapakuwa na magari Wala pikipiki. Hivyo usafiri wao ulikuwa Punda,Ngamia au...
  18. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

    Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇 Biashara yenyewe ni hapa Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box HUDUMA HIZO NI Post Paid Bundles 5G...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Lema : Siasa sio biashara turudi kwenye kusudio letu

  20. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata connection ya Ajira , Biashara, n.k. kimasihara ? aliekupa hakuhitaji chochote, mtu ambae hukumtegemea, n.k.

    katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k. Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k. Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
Back
Top Bottom