1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.
2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.
My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya...
Wakuu amani na iwe nanyi. Nahitaji mtu wa kushirikiana naye katika biashara. Awe na mtaji wa fedha kwa ajili ya kununulia bidhaa mimi ninao wateja na connection ya kuupata mzigo. Mahali pa kuupata mzigo ni popote pale ndani ya Tanzania.
Kwanini natafuta partner? Sababu ni kuwa nimeyumba mtaji...
Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2?
Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi)
Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile inayoonekana ya kifahari sana na decorations nzuri
Biashara ni mizunguko,faida💵.
Hizi biashara Zina...
Mashine ni mpya kabisa, imetumika kwa miezi miwili tu. Unafaa kwa matumizi ya ofisi, chuo, Stationary na biashara.
Bei poa 2,000,000/- karibu tuongee.
0712302556, 0684240927
Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa kupitia wazo la biashara kutoka Jukwaa hili la biashara kutoa ushuhuda wa wazo na namna alivyofanya...
Wachina wanatupeleka kasi kivitendo sana.
Mfumo wa alipay umesaidia sana kulipa wachina kwa haraka bila kutumia njia za kwenda benk kutrans pesa kwa njia nyengine.
Usalama ni mkubwa kwenye matumizi kama ikitokea lolote ni rahisi kupata msaada wa pesa zako.
Alipay imewezesha mfumo wa kulipa kwa...
MHADHARA (92)✍️
Ndoa nyingi za watanzania zimegeuka kuwa makampuni ya biashara. Siku hizi wasomi ni wengi lakini hawana ajira wala mitaji ya kuanzisha biashara, hivyo wamegeukia kutafuta mitaji kupitia ndoa. Hata ambao hawakubahatika kupata elimu pia wameshafahamu kuwa ndoa ni njia nyingine ya...
Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Viet Nam, Mhe. Le Thi Thu Hang...
Ndugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda.
Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi.
Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii biashara anipe mwongozo.
Naomba uwe unafanya hiyo biashara kwa sasa ili kupata uhalisia kamili wa...
Habari wakuu naomba wataalam au waliowahi kufanya, wanatarajia wanafanya Biashara hii ya lodge au maarufu kama bandas. Zinakuwa kama kota, zenye mazingira tulivu yenye garden kiasi na sehemu ndogo ya chakula na vinywaji kama picha inavyoonekana hapo..Tupeane tips kidogo uendeshaji wake...
Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni mara wanapofikia kiwango cha kulipa VAT ni pamoja na:
1. Mzigo Mkubwa wa Kodi
• Kodi ya VAT ni...
Wanabodi,
Niko hapa jengo la Acacia, kwenye Stanbic Biashara Incubator, kuhudhuria debate ya Policy Forum kwenye Breakfast kujadili kuhusu kitu kinachoitwa Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget.
Hapa tunajadili jinsi Tanzania tunavyoibiwa mi fwedha ya kutosha kupitia...
Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa.
Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na taifa kwa ujumla. Usalama Kariakoo umeimarishwa kwa kufunga taa, kamera na kuwa na walinzi wa watu...
Naombeni msaada jinsi ya kupata soko la viazi mviringo mkoan , Lakini pia gharama za usafirishaji kuja dar es salaam . Gharama zake zimekaaje . Naombeni msaada wa mawazo
1. Website ya ofisi/kampuni/binafsi: Tsh 600,000
- Inakuwa tayari ndani ya wiki mbili.
30 Business emails (mfano: info @ biasharayako . com)
Free SSL certificate
Up to 50GB storage
Unlimited bandwith
Up to 2 sub-domains: mfano 👇
Domain: www . biasharayako . com
Subdomain. www . huduma...
Kuna baadhi ya watu wameumbwa kupinga Kila kitu, kuna Uzi mmoja wa jamaa anazungumzia bishara zinazo lipa zaidi kuliko baadhi ya watumishi serikalini.
Ajabu nikwamba, mtu anatokea kupinga bishara flani kutolipa wakati idea za bishara zinazo lipa kazikumbatia kwapani.!
Tunona Kila siku...
Kila Kona Kuna biashara, watu wanahangaika sana kwa sababu ya pesa.
Halafu hiyo pesa wanatumia ikulipa ili waishi Katika sayari yao wenyewe.
Dunia imekuwa kama jenehamu, biashara zinahharibu radha ya jiji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.