biashara

  1. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Biashara noma sanaa, unataka kujiona hufanyi kitu kwenye biashara? Ingia Instagram cheki biashara za wenzako..!!!

    INTRODUCTION:- Wananchi salamaa? Wale wanayanga wenzangu tusijali TUTAVUKA BILA CALUCULATOR zao..!!! BODY:- Ukiachana na utumishi wa umma, Mimi bwana ni mfanyabiashara ninaye miliki kampuni inayofanya biashara aina tatu tofauti. Ashukuriwe Mungu mauzo kwa siku hayawi chini ya Mil 2 kama siku...
  2. Joseph Kadasula

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

    Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Huku Watanzania tunajisifu ujinga kila mtoto ajipambanie from scratch, kijana wa kisomali miaka 25 anasimamia malori 90 biashara iliyoanzishwa na babu

    Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia. Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud Ni boss...
  6. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Wafanyabiashara Mbeya acheni kuajiri Watoto kwenye biashara zenu, wasaidieni wapate elimu

    Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
  7. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Binti kani-approach tufanye biashara ya pamoja (business partnership), je nimkubalie?

    Huyo sio waifu ni mdau tu wa maendeleo. Wakuu chochote mtachosema mimi nitakuwa mtekelezaji mwaminifu. Mimi naliamini sana hili jukwaa halijawahi kuniangusha hata siku moja. Mnasemaje wakuu Mnanipa grini laiti au?
  8. Ma mee

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ukifanya Tanzania unaweza kuwa millionaire au billionaire

    Habari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏
  9. A

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Nina frame ya biashara eneo zuri lakini sina mali. Mwenye mali njoo tufanye kazi

    Habari Wadau, Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili. Tatizo sina mtaji wa kutosha kama wanaonizunguka… nakuita wewe mwenye mali, njoo tushirikiane, lete mali...
  10. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mtaala mpya wa kidato cha kwanza 2025; Somo la Biashara ni lazima kwa wanafunzi wote nchini?

    Wajumbe nimepitia mtaala mpya nikakuta masomo 6 ya lazima moja wapo ni somo business studies ikielezwa kwamba ni mbadala wa commerce. Somo hili linaambatana na hesabu, historia ya Tanzania 🇹🇿 , Kiswahili, Kiingereza na Jiografia. Masomo 6 ya lazima, kama business studies(commerce) zamani ni...
  11. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ufagaji wa nguruwe

    Wengi Tumekuwa Tukipambana Maishani Tukifikiria Kuwa Biashara Au Ajira Ndo Vinaweza Kututoa Maishani Mwetu Huku Tukisahau Au Kudharau Baadhi Ya Fursa Zilizopo Mbele Yetu Nikuombe Kijana Mwenzangu Mwaka 2025 Jaribu Kufanya Ufugaji Wa Nguruwe Kama Sehemu Ya Fursa Namba 2 Ukiacha Hicho...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuna binti anataka kufanya partnership (biashara) na wifi yake (mke wa kaka yake)

    Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka. Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye partnership. Watu wenye uzoefu na biashara za kufanya na ndugu hili swala mnaweza kushauri vipi.
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Dhuluma ya viwanda vya kufungasha mitumba China, sababu kuu ya kumzuia mke wangu kufanya biashara ya mitumba

    Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili achague nguo za kufanya usafi ili aanze kuuza huwa alikutana na taka nyingi sana za matambara...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la biashara Dar es Salaam

    Natafuta eneo la kuweka mwamvuli mahali palipochangamka kwa Dar kwa ajili ya biashara ya kukaanga kuku. Ipo 20k. 0678225164
  15. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Viongozi hawajui Biashara, ndio mana Wabunge wakistaafu Wanapata 'Stroke'

    Wabunge WENGI WAKISTAAFU WANAPATA ‘STROKE’ - DKT. MSUKUMA Ijumaa Ya Leo Ndani Ya Kipindi Cha JANA na LEO, Dr Joseph Kasheku Musukuma MBUNGE wa GEITA amesema hata suala ka kufeli kwa mradi wa Mwendokasi ni kutokana na kuwaamini Wasomi
  16. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifaa hivi vya gari kwa mwenye navyo

    Wadau nataka taabya mbele kubwa ya spacio new model upande wa kushoto,bampa la mbele zima,side mirrow kushoto, kioo cha mbele na kijioo kile kidogo cha kushoto. KAMA UKO UNAWEZA PATA NITAFUTE NIKUPATIE PESA
  17. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuchochea kuimarika kwa biashara ndani ya kundi la nchi za Kusini

    Wakati changamoto za uchumi duniani zikiendelea kuonekana, na wanasiasa wa mrengo wa kulia katika nchi za magharibi wakiendelea na hata kutamka maneno mbalimbali yenye viashiria vya kutatiza biashara huria duniani, takwimu zilizotolewa na Jarida la Guancha la China, zinaonesha kuwa biashara...
  18. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  19. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  20. notyfeky

    JamiiForums Tanzania Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje?

    Habari. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje? Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
Back
Top Bottom