biashara

  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Itakuwepo changamoto ya kulinda biashara katikati ya Jiji watu wakiandamana kesho kutwa

    Maeneo yale ya Maktaba ni katikati ya Jiji. Na watu wengine ikitokea vurugu huwa hawaoni haya kupora vitu. Kwa maana hiyo watu wengi wakikusanyika pale amani lazima idumishwe.
  2. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Ushawai kufanyia kazi ushauri wa kibiashara kutoka kwa mtu ambaye biashara hiyo haifanyi wala hana ujuzi nayo ?

    MIMI PIA 🥺 tena nikaumia sana kuja kuona mtaji wangu ndio wa majaribio.Hiyo ilikuwa 2024 kariakoo. Hapa kuna mfano mwingine wa ujumbe wa kuhamasisha watu kununua kitabu chako: Nikasema imetosha kama hivi leo ambavyo utasema imetosha .Twende na mradi bomba sana huu hapa chini ujifunze kwanza...
  3. Kaiche

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la ushirikiano wa Biashara ununuzi wa ufuta

    1. Utangulizi Mimi naitwa Ibrahimu Juma, mkazi wa wilaya ya Masasi, mkoa wa Mtwara. Ninatafuta fursa ya kushirikiana na mfadhili katika biashara ya ununuzi wa ufuta — zao muhimu linalopatikana kwa wingi katika eneo ninakoishi. Lengo langu ni kuwa wakala wa ununuzi kwa niaba ya mfadhili...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza. La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani au uwekezaji gani una failure rate kubwa hapa Tanzania?

    Ni biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana. Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni mradi na biashara gani ambayo ina failure rate ndogo ndani ya mwaka mmoja?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua mashamba na kukata viwanja kisha kuuza

    Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1. Mfano ukinunua heka 1 kwa shilingi million 22, eneo hilo(Kibaha) viwanja vinauzwa kuanzia million 3.5 vya mbele na vya nyuma ni million 3.3, kwenye heka 1 unaweza toa viwanja 10...
  7. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kazi gani ukiifanya lazima kichwa kiwake moto?

    Habari wakuu Kuna biashara ukizifanya lazima akili kidogo icheze, uwe kama dish limeyumba hivi! Biashara gani ulishawahi kuifanya ukahisi kabisa kichwa kinawaka moto! Sio kwamba unamwa ila tu kwa uzito,ugumu na changamoto za biashara yenyewe. Hii haikuwa biashara rasmi ila nilipomaliza Form...
  8. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa millioni 10 nafikiria kufanya hizi biashara wenye uzoefu naomba mawazo yenu

    Wadau nina mawazo haya ya biashara 1. Mini_Supermarket 2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe 3. Duka la rasta la jumla 4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
  9. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa milioni 10, biashara ipi inafaa kati ya urembo au pharmacy?

    Wakuu, Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy. Kwa Dar es salaam. Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
  10. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Vijora na Vitambaa, karibu uulize chochote kuhusiana na hiyo biashara

    Karibuni sana wakuu! Mimi ni mfanyabiashara wa vijora na vitambaa. Mnaweza kuuliza chochote kuhusu biashara hii niko hapa kwa ajili yenu.
  11. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Niulize lolote Kuhusu Biashara Ya Library Ya Movies

    Karibuni wakuu....
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ruto kama Kikwete akataa kusaini Sheria ya Viongozi wa Umma na Familia zao kuruhusiwa kufanya biashara na serikali, muswada warudi bungeni

    Kuna wakati Rais mstaafu Mzee Kikwete aligoma kusaini muswada wa sheria ya kinyonyaji uliosainiwa na wabunge wore kasoro Dr Slaa peke yake Huko Kenya Rais Ruto amelataa kusaini muswada wa sheria ya Conflict of Interest na kuurejesha bungeni Ruto anaiga sana Siasa za Tanzania Mlale unono 😁
  13. nipo online

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu inachanganya mfanyakazi (fundi) anaenda kusoma Nimebaki njia panda

    Dogo amefaulu form 4 miez ijayo anatarajia kuondoka, na lazima aondoke, Mwaka jana mwezi wa 12 nilifanikiwa kufungua salon, ndipo nikamwita dogo aje apige kazi. Kabla hajaanza kazi nilimpeleka kwa fundi apate kozi fupi bada ya siku 12 nikamwachilia aje aanze kazi, Mwanzoni alipata changamoto...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe itanie Simba uwezavyo ila usilete utani kwenye Brand za biashara za watu, utapotea

    Ukiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana sana,jasho,machozi na damu. Hakuna mtu mnyonge anayeweza kumiliki kampuni yenye thamani ya mabilioni. Company owners wengi ni mafia, kukupoteza wewe kiumbe mdogo ni sekunde. Mtu amemtoa kafara mzazi wake, mtu ameroga...
  15. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Site ya biashara Kahama

    Khabari wakuu! Nipo Kahama mjini natafuta site iliyochangamka Nataka nifungue duka la viatu. Yeyote mwenyeji wa Kahama anaefahamu site nzuri naomba anisaidie ili niweze kupata. Nawasilisha wakuu
  16. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Biashara hizi si kwa watu wa moyo mwepesi. Bila connections, pesa ya chini ya meza, na roho ya chuma, Mamafia watakutafuna mzima ukiwa hai

    Madini (Tanzanite, dhahabu, almasi) Huku ndio kwenye umafia wenyewe, Hadi utoboe kubali kugawana na wengi, Ni biashara inayokuhitaji uwe na mguu wa kuku ukifika levels flani Mabasi ya Mikoani Bila roho ya chuma tegemea kuchezewa sana rafu kuanzia kwa washindani mpaka kwa madereva na matani boy...
  18. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo

    Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo Naishi mkoa wa Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa na mtaji wa Tsh 200,000,000/=, ungeanzisha biashara gani Dubai?

    Kuna mtu atasaidika na mchango wako wa mawazo. Inawezekana milioni mia mbili ni kidogo sana kwa uwekezaji nje ya nchi, lakini pengine bado zinaweza zikafanya kitu. Nilishawahi kumsikia binti mmoja akisema anamiliki saluni jijini Dubai. Simkumbuki jina, lakini anaishi Dar Es Salaam! Ingelikuwa...
  20. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutangaza biashara yako au kazi zako kupitia medium blogging

    JINSI YA KUTANGAZA BIASHARA YAKO AU KAZI ZAKO KUPITIA MEDIUM BLOGGING (leo nitakwambia kwa nini Medium ni sehemu muhimu sana kwa wajasiriamali wa online) 🎯 Kama Unafanya Kazi Hizi — Hii Ni Kwa Ajili Yako: Una biashara ya bidhaa (nguo, dawa, chakula, cosmetics, etc.) Unatoa huduma kama...
Back
Top Bottom