biashara

  1. M

    Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

    Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
  2. H

    Hatimaye vikwazo vitano visivyo vya kikodi vyapata ufumbuzi mpaka wa Tunduma/Nakonde kuchochea biashara za kimataifa kusini mwa Afrika

    HATIMAYE VIKWAZO VITANO VISIVYO VYA KIKODI VYAPATA UFUMBUZI MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE KUCHOCHEA BIASHARA ZA KIMATAIFA KUSINI MWA AFRIKA. Vikwazo vitano visivyo vya kikodi kati ya kumi vilivyokuwa vikisababisha msongamano mkubwa wa malori na usumbufu kwa wafanyabiashara na wasafirishaji katika...
  3. Biashara ya Kuuza Nguo Nchini Tanzania: Mwongozo Kamili kwa Wanaotaka Kuanza na Kufanikiwa

    Biashara ya nguo ni mojawapo ya biashara zinazokua kwa kasi nchini Tanzania, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, na Dodoma. Sababu kubwa ni kwamba nguo ni hitaji la msingi la kila siku. Kila mtu anahitaji kuvaa, iwe ni kwa ajili ya kazi, shule, ibada, sherehe, au...
  4. Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  5. A

    Mtindo mbovu wa biashara

    Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar. Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo! Nikashangaa...
  6. Skybooks Software : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  7. Kazi na biashara gani umeshuhudia au unaona zinaenda kupotea?

    Miaka inabadilika. Kazi zinazaliwa na kufa. Kazi na biashara gani umeshuhudia zimekufa au zinaenda kufa. 1. Uagent wa mabasi. Makampuni mengi yamekuja na ishu ya kukata tiketi online. Maagent wako hoi sana. Taaluma yao inaenda kufa. 2. Wauza magazeti na chaini yote kuanzia uchapaji. Hali...
  8. Ielewe biashara ya benki (Banking business model) — kwa wawekezaji wanawekeza sekta ya benki kwenye soko la hisa

    Sekta ya benki ni mojawapo ya sekta zinazofanya vizuri katika Dar es Salaam Stock Exchange ikiwa na taasisi kama CRDB Bank Plc, NMB Bank Plc, MKCB, MBP na DCB Commercial Bank Plc. Lakini pia ni sekta inayosimamiwa kwa ukaribu mkubwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa sababu inahusisha fedha za...
  9. Uchawi kwenye biashara ya Catering

    Usijichanganye kuanzisha biashara ya Catering kichwa kichwa. Wadau wanakupiga zongo bab'kubwa ama Chakula kinachacha ukumbini au hakiivi kabisa. Unapoteza wateja ukijiona. Imetokea mara kadhaa Chakula kinachacha saa ya kupakua mezani
  10. Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

    Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini: Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane? Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
  11. M

    Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara lililokuacha katika hali ya mshangao

    Wakuu, katika harakati zetu sisi vijana, hasa upande wa kibiashara, je, ubunifu wa kutengeneza matangazo una athari zozote katika maendeleo ya biashara zetu? Kwa mfano, unakuta baadhi ya watu huweka matangazo yenye vichekesho, na baadhi yao huweza kuvutia wateja na kuwafanya wapendezwe na...
  12. M

    Usikurupuke kwenda chuo: Orodha ya kozi zenye nafuu ya ajira au kujiajiri na zile ambazo wahitimu wengi hubaki mtaani jobless wala uwezo wa kujiajiri

    Hii ni kwa mazingira ya Tanzania, sio Chatgpt au google inayochambua ajira kwa mazingira ya Amerika au Europe. (mifumo hio haina data za kutosha kuhusu mazingira yetu hata itakupoteza) Kozi zenye nafuu kuajiriwa Ualimu hasa masomo ya sayansi, hesabu na biashara Uhasibu Engineering -...
  13. B

    Biashara ya Guta la mizigo ina utofauti gani na biashara ya bajaj ya abiria?

    Kuna uzi flan ulianzishwa na mdau flan akiponda biashara ya kumkabidhi mtu bajaji ya abiria akuletee 20000/day kwamba ni biaashara kichaa na ya kijinga sababu kubwa ikiambatanishwa na bei ya bajaj kuwa ghari kulinganisha na kinachoingia,sasa hapa pia nilitaka kufahamu,vipi kuhusu GUTA (pikipiki...
  14. J

    IFAHAMU BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI

    Hello best people. Achana na mambo yakuuliza kila siku mtaji wa shilingi ngapi unatosha. 3m+ 5m+ 8m+ 10m+ 15m+> Hapa Unapaa kabisa. Tafuta maarifa yakuwezeshe kufanya biashara. Uzoefu utapata ukishaanza. The earlier, the better! Hizi hapa ni hatua chache za kufanikisha kwa urahisi mchakato huu...
  15. Biashara ya bolt jijini Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu. Nina gari aina ya Toyota i.s.t nataka niifanyie biashara ya bolt hapa mjini kama kazi ya ziada. Swali langu ni kwamba, naweza kufanya biashara ya bolt kwa kutumia gari yenye plate number ya njano? Kama nilivyosema ni kazi ya ziada tu nikiwa free. Kama itawezekana kuendesha...
  16. M

    Msaada namna ya kusimamia tawi la biashara iliyombali km40

    Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie Sasa ntawezaje kusimamia ili muuzaje asiweze kuja kimbia nahela ama kusababisha loss kwa maksudi,napia muuzaji kuweka vitu...
  17. H

    Huu mwaka hatuchagui kazi;hii biashara ya kuuza links ndio ipoje nifungueni macho na Mimi nitoke huku mavumbini🙏

    Guys kwema Leo nimekua disappointed sana asee,kumbe sie wengine tunapigwa na jua hapa mjini kumbe Kuna vijana mpo magetini mnafinya computer na. Simu tu then mnapata pesa? Haya tusanueni🙏
  18. M

    Nawezaje Kupata leseni ya biashara Brela?

    Naomba mwenye Ujuzi kuhusu haya mambo anisaidie uelewa nimesajili Jina la Biashara Brela kwa Business activity 5920 - Sound recording and music publishing activities Main na 4791 - Retail sale via mail order houses or via Internet naomba kufahamishwa hii inaangua kundi A au Kundi B, kama...
  19. Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  20. Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…