Labda Elon Musk wa tandahimbaHii hela hata Elon Musk Hana.
Milioni 800,000,000!
Walombwe tuu, sasa tutafanyaje na nyapu wamepewa bure 😂Jf kutakua Kuna pisi Kali sana, mtu anaamua kuja na ID mpya kutega aisee
hahahaHii hela hata Elon Musk Hana.
Milioni 800,000,000!
sidhani kama jamaa ana sifa hizoAkili za Greti thinkaz zinachekesha na kuhuzunisha at the same time.
sidhani kama jamaa ana sifa hizo
Dar Es Saalam (Bongo) inatuharìbia sifa ya nchi. Huu ni upuuzi. Mtu mwenye mauzo ya 800,000,000 hawezi kuja JF kujitangaza. NeverKuna watu watalizwa muda si mrefu
Mbususu za JF, hahahaha kmmkeeeeMbinu mbalimbali za kupata mbususu..... 🤣 😂 🤣 😄
Kama hujui hesabu utaona huyo wa tandahimba anazo.Labda Elon Musk wa tandahimba
Ww elewa tuu hapo kwenye namba, hayo maneno achana nayo