Picha : Supplementary biashara kubwa ya waalimu vyuo vikuu

Picha : Supplementary biashara kubwa ya waalimu vyuo vikuu

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,127
Reaction score
2,529
IMG_7974.jpeg
 
Duh,
Kweli samaki huoza kuanzia kichwani.
Na wao wameamua kufaulu mitihani kwa "goli la mkono" kama wazazi wao kwenye uchaguzi mkuu !!
 
Hapo walimu umewasingizia ni dhahiri ujafika chuo kikuu.

Uvivu wa kuchomoa sup, utadisco kizembe unakuta mwalimu kuna mtu wake kampiga sup au carry halafu alimkariri mara hamuoni hapo lazima kiumane.....be care
 
Back
Top Bottom