biashara

  1. Z

    Nina million Moja. Nifanye biashara ghani

    Nina fedha taslim million Moja. Nifanye biashara ghani
  2. Jinsi ya Kufikia Target ya Mauzo: Hatua 7 za Kifundi na Kiakili Kukuza Biashara Yako"

    Kila mfanyabiashara ana ndoto ya kuona mauzo yakifumuka hadi target aliyoweka — iwe ni kuuza bidhaa 100 kwa wiki au kufikisha milioni 10 kwa mwezi. Lakini ukweli ni kwamba wengi hushindwa sio kwa sababu hawana bidhaa nzuri, bali kwa sababu hawana mfumo wa mauzo unaofanya kazi kila siku. Katika...
  3. Hapa Tanzania kuna biashara ambazo hazijawahi kosa wateja hata siku moja?

    Hapa Tanzania kuna biashara ambazo hazijawahi kosa wateja hata siku moja? Biashara yenye wateja wengi ndiyo njia bora ya kuhakikisha una kipato cha uhakika na faida ya kudumu. Hii ni kwa sababu biashara hizi zinagusa moja kwa moja maisha ya kila siku ya watu. Kila mtu anahitaji kula, kuvaa...
  4. KWA NINI UTUMIE HUDUMA YA BULK SMS YENYE JINA La BIASHARA (Sender ID)?

    Katika dunia ya kisasa ya biashara na mawasiliano, kufikia wateja kwa haraka, kwa ufanisi, na kwa gharama nafuu ni jambo la msingi. Huduma ya kutuma ujumbe kwa pamoja (Bulk SMS) kwa kutumia jina la biashara yako (Sender ID) ni suluhisho bora kwa wafanyabiashara, taasisi, na mashirika...
  5. Ukweli wa Maisha: Biashara haijawahi kuwa Rahisi – Ni Mapambano ya Kitaaluma na Kimtaa

    Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
  6. Wafugaji wa Kuku: Pakua Hii App uone Inavyobadilisha biashara yako ya Ufugaji mara moja (Na Ni BURE!)

    Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa! Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ] Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
  7. N

    Dogo aliacha chuo ili afanye biashara ya forex! Mtaani kumekuwa kugumu anaomba tumsaidie arudi kuanza chuo tena

    Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje). Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa...
  8. Namba ya Kufanya namba yako ikipiga iwe Ina Display jina la Biashara kwenye SIM

    Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF , Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako , Kuna watu kadhaa nimeona wakinipigia jina linakuna la biashara linakuja automatically kwenye phone app , sasa nauliza ni...
  9. Nimemfungulia wife biashara ndogo tu! Ila naona kama ishaanza kumpa jeuri Najutaaa

    Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi. Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka. Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno Nikiazima hela yake kama nina...
  10. Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  11. BIASHARA YA COASTER ZA KUKODI SPECIAL HIRE

    Wakuu habari ya Jumapili; Nina mategemeo ya kupata kiasi fulani hivi cha pesa kinachoweza kununua basi dogo kama coaster/civilian/Rosa, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa hii biashara kuanzia soko, usimamizi, gharama za uendeshaji n.k nione ni jinsi gani ntaweza kujipanga na changamoto...
  12. W

    Kwa elimu ya masters kipi bora, uwe Mbunge au mtaji wa biashara bilioni 2

    Elimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER) kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
  13. Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Habari wakuu, Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
  14. L

    Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  15. B

    Kwa sasa Biashara ya Mbuzi imekuwa kama Pembe za Ndovu, baadhi ya mikoa ni ngumu sana kupata

    NRNE Wakuu habari za hapo juu. Inaonekana Tz sasa mazao yanayotokana na mifugo ya Mbuzi ni ngumu sana kupata. Mikoa kama Mbeya, Songea, Lindi, Mtwara, Dar es salaam ni nadra sana Inaonekana wafugaji wameacha kabisa kufuga hawa aanyama. Je kuna changamoto mpya kwenye hii industry? Au...
  16. C

    Biashara fulani inalipa sana pale ukisimuliwa

    Wadau Kila mtu ashawai kusimuliwa biashara fulan na faida inayopatikana ila alipojaribu alikutana na moto wa hatari , Ugumu , kukata ela , kupoteza ramani kabisa. Naomba tuelezee hapa chini biashara gani uliwahi kuifanya ikakutokea pabaya 😅😅 ???
  17. Biashara ya Mazao

    Swali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii. SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao ( nafaka ) mikoani na kuleta kuuza Dar. Tafadhali zingatia kuwa nahitaji kujua mtaji wa chini kabisa wa...
  18. Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
  19. Scale Up Your Business-Kuza Biashara yako

    Habari za Wakati Huu; Je wewe ni mfanya Biashara au unatamani kuwa mfanya biashara?Je kama mfanya biashara unapenda kufahamu mbinu tofauti za kukuza Biashara yako na kuongeza wigo wa biashara yako?Je unatamani kufahamu mbinu mbalimbali za kutatua changamoto za Biashara.Basi tunakualika...
  20. Maduka 60 ndani ya jengo moja, ni kariakoo Tanzania, bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…