Jinsi ya kupata leseni ya Biashara ya mapochi

Golden Trust

Member
Joined
Jan 21, 2023
Posts
49
Reaction score
89
Habari zenu wana Jf naombeni muongozo kwa anaefahamu
Nataka kufanya Biashara ya kuuza mapochi ya kike. Lakini changamoto kwenye kukata leseni sijui inasimamiwa katika kipengele kipi he ni urembo au kuuza mabegi,?
 
Begi
 
Back
Top Bottom