biashara

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu kutoboa kibiashara kwasababu ya mrundikano wa kodi

    Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane na wakati wa Kati mazao yangu niyaongezee thamani. Lengo likiwa kuanzisha mashine ya kukoboa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

    Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ni asilimia ngapi kwa mwezi unatakiwa kuanza kuipata unapoanza kufanya biashara kwa mtaji ulionao?

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kujua ukiwia unamtaji wako wa kiwango chochote cha pesa, unatakiwa upate kiasi gani cha faida kwa mwezi kwa mahesabu ya asilimia? Wengine wanasema minimum angalau upate 20% ya mataji kwa mwezi, wengne wanasema 30% kwa mwezi ndio utasema...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya namna ya kupima chakula na juice ya kutengeneza ili kupata faida kwenye biashara yangu

    Habari zenu wadau, Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu

    Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali. Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara. Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama una biashara na unataka kuwaachia watoto wako wasimamie, masuala ya fedha muachie mtoto wa kike

    Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa. Mtoto wa kiume...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya Peanut butter ila Hela Sema Wengi Wanachemka kwa kucopy na kupaste

    SIAGI YA KARANGA (Groundnut butter/Peanut butter🔥🔥 1kg ya Karanga hutoa 900g ya (siagi) butter. Katika masoko ya ndani, 1kg ya butter ni tsh 6500_7500/= Gharama za uzalishaji Karanga: tsh 2000 -2500 Tuch. Max. Tsh 2500 Vifungashio , lebo na lakiri: 1000 per 1 kg Umeme: 100 per 1kg...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Darasa la biashara

    Karibuni kujifunza biashara. Ni muda mrefu sana toka niwe humu na kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha, sikuweza kutumia kabisa social platforms yoyote. My name is Maedson Mahonge (Mtanzania). Na mtaalamu wa biashara ndogo ndogo kwa kutumia social networks ikiwemo jamiifolum, Websites and...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu masomo ya baishara

    Habari zenu ndugu. Ninaye kijana wangu ambaye anaelekea kuhitimu masomo ya sekondary na amekuwa akichukua masomo ya biashara kulingana na uwezo wake... japo kama mzazi nilipenda achukua masomo ya Sayansi ila yeye akapenda biashara kwa hiyo nikamsupport. Sasa kwa mliopitia masomo ya biashara...
  10. JamiiForums Tanzania Idea ya biashara: Kutengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha

    Wakuu nina idea ya kitengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha. Vibanda hivyo nitaviweka pembezoni mwa barabara zote kubwa zilizopo mjini..kuanzia Shekilango, Sinza, Goba, Mbezi n.k Naomba kama kuna mwenye mchango wa mawazo.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Liberata Mulamula: Tanzania kunufaika na Soko Huru la Biashara Afrika - AfCFTA

    29 June 2021 Dar es Salaam, Tanzania Eneo la soko huru kupitia mkataba wa AfCFTA yafikia nchi 38, tanzania kufaidika Tanzania imeridhia na pia kufikia hatua za mwisho kuingia katika soko kubwa la biashara kupitia eneo la soko huru barani Afrika AfCFTA litalokuwa na idadi ya zaidi ya watu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuchangia fremu ya biashara

    Habari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke. Nahitaji mtu ambae yuko serious aje tuchangie hii frem maana ni kubwa sana kwa biashara ninayo ifanya mimi hapa(wakala wa m- pesa,tigopesa etc) hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa biashara, nina mtaji wa 1.2(million moja na laki mbili)

    Habar JF..! Mimi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana JF naombeni mnishauri biashara gani naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa. NB: Mimi kama...
  14. JamiiForums Tanzania Ni biashara gani naweza anzisha yenye mtaji mdogo?

    Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
  15. JamiiForums Tanzania Mpishi wa kukaanga chips na kuku

    Habari wana JF Anahitajika haraka mpishi aliye kua mtalamu waku kaanga chips na kuku, kuchoma kuku na mishkati na mapishi mengine aina hio ya jiko. Anatakiwa awepo Dar. Tuwasiliane 0789155571
  16. JamiiForums Tanzania Tupeane ABC, faida na Changamoto na namna ya kuzitatua kwa matangazo ya Instagram

    Habari wakuu. Hivi karibuni nimeanza kutangaza biashara instagram. Kwa kweli kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayotangazwa na isiyotangazwa ila changamoto ni nyingi sana. Mara hela usikatwe na wasilipromote. Mara waseme hawawezi kutangaza, wanafungia account nk. Changamoto ni nyingi na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali tuelezeni hatma ya kiwanda hiki wakati watu wakiendelea kufa kwa malaria

    Marehemu JPM alitembelea kiwanda hiki na kukukta mrundikano wa viuatilifu vya mbu wa malaria. Kwa uzalendo wake akaamua halmashauri zote zinunue dawa hizo na kuzitumia kupulizia mazalio ya mbu na hazina ingekilipa kiwanda hicho moja kamoja toka kwenye bajeti za halmashauri. Nadhani hela...
  18. JamiiForums Tanzania Fremu kubwa sana ya biashara inapangishwa mbezi mwisho

    Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center na nyingine nyingi. Bei ya kupanga fremu ni laki tano kwa mwezi . Ukihitaji kuona fremu nicheki 📞...
  19. JamiiForums Tanzania Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asalaam, Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia. Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya Biashara ya Mitumba, ina changamoto gani?

    Habari, Ninatarajia kufanya biashara ya nguo za mitumba ila niliplan kuwa naziuza kwenye minada mwenye kufahamu changamoto zake. Naomba anifahamishe na pia kwa Dar anayejua minada inapofanyika au kwa aliyepo Moro anaejua minada inapofanyika na siku zake na malipo kwa siku inakuwaje na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…