biashara

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari kama Televisheni na Redio za Tanzania havina habari za biashara

    Habari za Biashara zinawafungua wananchi wakiwemo wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi juu ya mwenendo wa masoko. Sasa hapa Tanzania je ni kwanini hakuna kituo cha Televisheni au Redio chenye Habari za mashiko za Biashara kama vile Mwenendo wa Masoko ya Hisa ya Tanzania na Afrika Mashariki...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu biashara ya Vanilla

    Wadau Naomba kujua ukweli kuhusu biashara ya Vanilla ambayo inatangazwa sana na jamaa wa Vanilla International wa Vanilla Village wa kule Njombe. Kwa mahesabu ambayo wamenipa naona faida yake ni mamilioni ya shilingi kwa mfanio ukiwekeza 10m faida yake kwa mwaka huo uikshavuna na kuuza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya BOT kuhakikisha riba inayotozwa na mabenki inashuka, inahusu na riba ya mkopo ya wafanyakazi itayotolewa na Mabenki ya Biashara?

    Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi Nauliza hivi kwasababu taarifa ya BOT inaongelea punguzo kwa sekta binafs pamoja na sekta ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kipi kati ya hivi kina nafasi kubwa kukutoa kimaisha?

    Habarini wana JF, Naomba kuuliza kati ya hivi vitu vitatu, kipi kina nafasi kibwa ya kukutoa kimaisha? (1) KUAJIRIWA (2) KILIMO (3) BIASHARA
  5. JamiiForums Tanzania Njia tofauti za kupata mtaji wa biashara

    Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza kuzitumia kufikia malengo yako Ya biashara Mbinu ya Kwanza naweza kuelezea ni ni kuhifadhi pesa hii ni...
  6. JamiiForums Tanzania Anakaribia kurithi 300M, hajui biashara ya kufanya, je, ushauri niliompa ni sawa?

    Habarini wadau, Nina rafiki yangu ambae bahati ipo upande wake maana kiukweli linapokuja kwenye swala la uchumi wapo vizuri sana. Familia yao kiufupi wapo vizuri, kaka na dada zake wanajitegemea na wapo vizuri kiuchumi ila sasa huyu rafiki yangu kwa bahati mbaya shule ilimshinda na biashara...
  7. JamiiForums Tanzania BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%. Binafsi napongeza hizi hatua za...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kabla hujaanzisha biashara

    Ninaongelea hizi biashara ndogo ambazo hazihitaji uwekezaji mkubwa au kuajiri wataalamu wa kukusaidia mambo ya marketing, accounts ana vitu vingine. 1. Angalia unachoweza kufanya kutoka moyoni mwako, mfano kushona, kupika, kusafisha nyumba na kupamba. Wewe mwenyewe ni mzuri kiasi gani katika...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya rangi za nyumba, kwa mtaji wa mil. 30

    Habari wadau, Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)? Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je, kwa huo Mtaji unaweza kuuza jumla jumla? Je, ipi njia sahihi ya kufanya biashara ya Rangi? Kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania UN: Ukosefu wa ajira na elimu hufanya wengi wawe wahanga wa biashara ya binadamu

    Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa ukosefu wa elimu huwafanya watu wengi waingie katika utumwa unaotokana na biashara ya binadamu Wahanga wa Biashara ya binadamu wametakiwa sana ili kuonesha namna ya kukomesha biashara hiyo haramu Aidha #COVID19 imetajwa kuwa na uwezekano wa kuongeza matukio...
  11. JamiiForums Tanzania Unahitaji mtaji wa kuanza biashara: Mtaji wa biashara kwa wajasiriamali wadogo

    Biashara (kuuza na kununua au kubadilishana bidhaa) imedumu duniani tangu enzi za kuumbwa kwa dunia. Kazi hii imekuwa ikifanywa na watu wa kila aina. Hapo awali biashara ilifanyika kwa kubadilishana bidhaa (barter). Mwalimu wa sayansi ya jamii (Anthropology) Prof. Chapurukha Kusimba kutoka chuo...
  12. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa magari ya Uber/Bolt, tupeane mbinu za uendeshaji wa hii biashara

    Habari zenu wadau, Naomba tujuzane kidogo mbinu mnazotumia kuendesha hii biashara. Kwa muda kidogo nimepata changamoto za uendeshaji wa hii biashara nikiwa kama mmiliki wa chombo(gari), kutokana na changamoto na sababu za dereva kila kukicha nkaona ngoja niangalie kama kweli biashara ngumu...
  13. JamiiForums Tanzania Abubakari II mwana wa Mfalme wa Mali alisafiri ki biashara kwenda Marekani 1312

    Alibeba dhahabu kama thamani ya manunuzi ya bidhaa alizohitaji. Baadaea Mansah Musa alibeba dhahabu kwenda Hijja Makka. Wazungu wakipogundua utajiri walivamia The Gold Coast of Africa.
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara ili kujiletea maendeleo

    Moja kati ya vitu mahimu sana katika kuinua uchumi wa inchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, nakadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
  15. JamiiForums Tanzania Karibuni Dar es Salaam wageni mnaokuja kutafuta maisha na kufanya biashara

    Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda. Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu. Ukitaka ma...
  16. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umekwama kuanza kuweka Akiba? Ukifanya haya ni rahisi kuweka akiba na kufikia malengo yako makubwa maishani

    Habari wadau wa mtandao wa JF na karibu kupata chakula cha ubongo na mada ni kuhusu tabia za kujiwekea akiba. Changamoto ya watu wengi kushindwa kujiwekea akiba, imekuwa ikiwakumba watu wengi hasa kwa wale ambao ni waajiriwa katika sekta binafsi na sekta za umma. Baadhi ya sababu ambazo watu...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji

    Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza Dar es salaam. Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya kuuzia.
  18. JamiiForums Tanzania Aina za biashara za reja reja zinazoweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo ama na mtu hata mwenye kipato cha chini

    1. Genge la mboga mboga na matunda. Hii ni biashara ambayo mtu ataweza kuanzisha kwa mtaji mdogo kabisa na ikampatia kipato cha kujiendesha kimaisha ama kutunza familia, kulipa kodi ya pango n.k 2. Duka la reja reja. Hii ni aina nyingine ya biashara ambayo utaweka vitu vya matumizi ya kila...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara

    🏃‍♂️ HATUA YA 2 YA BIASHARA ✍🏿 karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara. 🔽 Hatua ya pili ni kitafuta ujuzi wa biashara uliyo ichagua, kujifunza ni muhimu sana kuliko hata mtaji, make...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara ya upatu ilivyo hatarishi kwa vijana na Tanzania kiujumla

    Biashara ya upatu, ni uchangishaji fedha unaoweza kuendeshwa na mtu au kampuni kwa ahadi ya kuwapatia faida kubwa baada ya kipindi kifupi. Baadhi ya makampuni hujificha katika kivuli cha kuuza bidhaa fulani na mara nyingi huwa bidhaa za afya. Mwanachama hutakiwa kutoa kiasi fulani cha fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…