Ikumbukwe hadi sasa TFF (Tanzania) tuna points 27.5 huko Caf zililizowezesha nchi kuingiza teams 4 yaani simba ana 24, namungo 2.5, utopwenga 1
Simba ni ya 15 kwa sasa ,namungo ni ya 60 hivyo biashara kiingia makundi atalamba points zake 2.5 na kumfikia namungo kwenya nafsi ya 60 huku mabingwa...
Wewe kama mwanafunzi wa chuo, una nafasi nzuri ya kufanya biashara. Kutokana na wingi wa watu waliokuzunguka na kuwa na uwezo wa kujua mahitaji yao. Kwanza inakubidi kutambua mahitaji ya kila siku ya wanafunzi wenzako. Nikimaanisha kuwa mara nyingi mahitaji yako ya kilasiku, ndio mahitaji ya...
Jiko la deki 3 ,trey 9 linauzwa, kwa wenye nia ya kufungua bakery ama baking zozote ni jiko zuri sana ni jipya halijawahi kutumiwa, bei mil 5 ,tuwasiliane no.0777482509.karibuni ulimwengu wa wajasiriamali.
Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya muda mrefu zaidi na endelevu zaidi kati ya maonyesho yote ya kimataifa ya biashara duniani hadi...
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga...
Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza.
1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi.
2. Asha...
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kuweza...
Habari za majukumu wanajamvi.
Kama uko interested na biashara ya kuprint t-shirts, kofia, vikombe, sahani n.k, njoo nikuuzie Heat press machine ambayo ni 4in1 pamoja na printer EPSON L810 kwa TSHS. 1, 700, 000/= (milioni moja na laki saba).
Pamoja na vitu hivi, nitakupatia baking paper.
Nimepewa wazo la biashara ya Samaki wabichi. Unachukua samaki wabichi aina kadhaa kutoka kwa wavuvi Bagamoyo kwa vipimo vya ndoo unaepeleka moja kwa moja kwenye maduka ya samaki Kariakoo. Jamaa anasema inalipa vizuri ila hana uzoefu.
Naomba mwenye uzoefu au anaefanya biashara hii anipe A B C...
Kwema wakuu, tupeane mwongozo kwenye hii biashara ya nyama ya ng'ombe, bei ya nyama, vifaa vya ndani ya bucha, mizani ya kisasa,Cetc.
Location ni Mwanza, maeneo ya chuo cha Saut huku.
Nimeona fursa kutokana na uhaba wa mabucha.
Waziri wa biashara wa Marekani Gina Raimondo ameviambia vyombo vya habari vya nchi hiyo kuwa nchi hiyo inapaswa kushirikiana na washirika wake wa Ulaya ili kuzuia China kupata teknolojia ya hali ya juu na kupunguza kasi ya maendeleo ya uvumbuzi ya China. Pia ametaja kuwa kanuni za sekta ya...
Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.
Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia, Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini.
Uamuzi huo ulifikiwa leo, tarehe 5 Oktoba 2021, baada ya Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Wakili wa kujitegemea mkoani Iringa, Geofrey Mwakasege amefungua kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (kanda ya Iringa) akitaka mahakama hiyo itamke kuwa mawakili wa kujitegemea wana haki ya kutangaza huduma za kisheria kwa umma kama zilivyo biashara nyingine. Katika kesi hiyo namba...
Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona.
Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya kwanza ya kombe la afrika shirikisho, mlezi hakutoa hata senti moja kuwasaidia usafiri wala kusaidia hata...
BIASHARA KATIKA UCHUMI
Katika nchi yetu ya Tanzania kwa mwaka pekee idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu inazidi 1,000, Apo ni chuo kimoja kwahiyo tukiangalia idadi ya vyuo vyetu nchini tukijumlisha na idadi hii ya wahitimu tunapata idadi kubwa sana ya wanafunzi wanaomaliza kwa mwaka katika vyuo...
Kuanza biashara kunahitaji maandalizi. Nikimaanisha unahitaji kuwa na maarifa flani tofauti kulinganisha na wale uliowakuta ili ata nao pia wajifunze kutoka kwako. Ikiwezekana na wewe uendelee kujifunza kutoka kwao. Kwenye kipengele hiki tutaenda kuangalia namna ya kufungua biashara ukiwa...