biashara

  1. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza external hard disc 2TB nikuze mtaji wa biashara

    Wapendwa. Siko hapa kwa ajili ya ku expose shida zangu, ila naomba msaada kwenu ndugu zangu. Ninauza hard disk ya 2TB ninahitaji sh. 200,000/- tu ili nilipie fremu ya biashara. Kudanga siwezi, wala sio hulka yangu, ndio nimeingia rasmi kwenye ujasiriamali. Call +255 755 233 968
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa Serikali maji si biashara, ni huduma

    Akiwa katika uwekaji Jiwe la Msingi Mradi wa Miundombinu ya Kusafisha na Kutibu Maji Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara amesema, "Kwa Serikali ndoo moja ya maji ya lita 20 inauzwa kwa Tsh. 37. Wananchi mnaonunua maji ni mashahidi dumu moja la lita 20 mnanunua Tsh. 1,000 na kwenda mbele" Rais Samia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara tubadilike, tusiangalie faida ya leo tu, tuangalie na kesho

    Unaenda sokoni, unakuta nanasi limewekwa pale juu, linapendeza, unalinunua, kumbe upande mmoja limeoza, muuzaji anajua lakini anakausha. Unaenda Dukani, unanunua maziwa ya unga, kumbe yameeksipaya, mwenye Duka anajua, anakausha! Unafika Muheza, unanunua machungwa kwenye mfuko, unafika...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuanza kuanza biashara ya maji ya kunywa

    Wadau nimenunua mitambo ya kuanza kuzalisha maji ya kunywa (used), nimepanga kuanza kutengeneza maji ya kunywa na kuyauza. Nahitaji wadau wabobezi wanishauri hatua za kuanza biashara hii, pia kwa kwa walioko Dar es Saalam nauliza wapi wanauza chupa za kuwekea maji kwa anaye jua anijuze...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUELEWA BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
  6. JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana, kwa utajiri wa mali na biashara anazofanya Mbowe ni wa kuchangiwa? Au ndio kuumizana tu Kichademachadema?

    Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai. Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili? Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rushwa na dhulma: Ukaguzi wa leseni za biashara Tegeta

    Naeleza niliyoyashuhudia, Nilipokea simu toka kwa Binti wa dukani kwangu, kwamba amekamatwa na anapelekwa Manispaa kwa kufanya biashara bila leseni. (Binti wa dukani alikuwa mgeni na Leseni ililipiwa,leseni inatolewa ndani ya siku tatu za kazi baada ya kulipiwa. Zoezi la ukaguzi wa leseni...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi itafaa zaidi kwa Toyota hiace? Tanga city

    Salam Salam wapigania Uchumi. Nina Toyota hiace(dungu) ipo Tanga mjini. Nafikiria niisajili ifanye moja Kati ya kazi (routes) zifuatazo; 1. Kufanya town route(daladala) 2. Kufanya routes za nje kidogo ya mji..at least umbali usiozidi 70km. 3. Kufanya routes za mbali zaidi ya 70km. 4. Nyinginezo...
  9. JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Nimekuwa msomaji wa threads nyingi humu ndani. Leo nimeona nilete kisa changu mwenyewe humu ndani. Husika na mada hapo juu. Ni hivi, mimi ni daktari, mwanamke niliyekuwa naishi naye ni mkulima. Kwa hiyo kuna msimu wa kiangazi anakuwa idle sana maana haendi shambani.. inaweza tokea hata miezi...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu

    Wakuu habari zenu... Natamani kujua kuhusu hii biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu... Mtaji Vifaa Upatikanaji wa mazao Jinsi ya kutengeneza Kuhifadhi Soko lake... Karibuni kwa michango yenu wakuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la gesi la biashara na mtungu wake-200,000 tu

    Linauzwa: jiko la gesi la biashara na mtungu wake-200,000 tu. Liko bunju b piga 0754 34 36 42
  12. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kuacha kazi baada ya mapato ya biashara kuzidi mshahara

    Habari zenu wadau mimi ni muajiriwa sekta binafsi Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita nilikuwa najishughulisha na ujasiriamali mambo yalikuwa magum sana sikua na mtaji wa kutosha kuhimili soko na ushindani na ilifika wakati hata kodi ilisumbua Namshukuru mungu nilipata ajira kwa mkataba wa...
  13. JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara

    Habari; Leo nimeona niwashirikishe watu fursa,Wakati nikielezea hii FURSA niweke angalizo kwamba "UKIITIWA FURSA UJUE WEWE NI FURSA" so kama hutaki kuwa fursa basi wewe hii fursa haitakufaa.Baada ya kutoa anagalizo basi niende moja kwa moja kwenye mada ya msingi. Kama sehemu ya majukumu yangu...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Umewahi kusumbuliwa na polisi kwenye biashara yako? ulipitia tabu zipi na kama uliweza kujinasua uliwezaje?

    Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana. Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako. Kuna muuza laptops flani yaliwahi kumkuta alipoanza kununua laptops kwa watu wanaohitaji kuziuza, siku ya siku akauziwa laptop...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Wafamasia wana nini?

    Hawa jamaa ndio wanaosimamia maduka ya dawa maarufu kama Pharmacy. Jana nimeona wameungana na wanaharakati akina shangazi, kupinga agizo la mheshimiwa waziri Ummy, la kuondoa maduka ya dawa yaliyo karibu na Hospitali za umma kama inavyosema sheria yao wenyewe. Sheria au kanuni ziliweka umbali...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara ya vinywaji au nafaka Kisesa Mwanza

    Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu. Asante
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji

    Habari za muda huu wana JF, hongereni kwa mapambano ya kila siku kuifanya dunia kuwa bora na salama. Mimi ni kijana wa kitanzania mkazi wa Dar es Salaam elimu yangu ni kidato cha sita. Awali kabisa napenda ieleweke kwamba dhumuni ni kukuza na kuiboresha biashara (sitasema biashara yenyewe hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.
  19. JamiiForums Tanzania Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

    Natangaza maslahi yangu! Mimi sio mganga na sifanyi ushirikina tena! Kati ya waganga wote wa kienyeji ni asililia kumi hivi kati ya mia moja ndio wakweli na kati ya hao wakweli ni asilimia 5 tu ndio wenye masharti nafuu na wanaoweza kukusaidia moja kwa moja..! Ishu ya kuwajua feki na wakweli...
  20. L

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga

    TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu). Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…