Kazi ya Uwakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money inaingizaje pesa?

Kando ya maswala ya location, Tafuta hayo ma lipa Kwa Mpesa na lipa Kwa Tigo pesa, ndo utapata hela, vinginevyo utapoteza muda wako tu, labda kama una mtaji wa kueleweka angalau 10 million, ili watu wajue kabisa wakija kwako hawakosi mtonyo na pia uwe tayari kutapeliwa au kuvamiwa kabisa
 
Kando ya maswala ya location, Tafuta hayo ma lipa Kwa Mpesa na lipa Kwa Tigo pesa, ndo utapata hela, vinginevyo utapoteza mda wako tu, labda kama una mtaji w kueleweka angalau 10 million, ili watu wajue kabisa wakija kwako hawakosi mtonyo, na pia uwe tayari kutapeliwa au kuvamiwa kabisa
Asante. Hivi hiyo lipa kwa M pesa au kwa tigo pesa inahusika na nini hasa?
 
Kando ya maswala ya location, Tafuta hayo ma lipa Kwa Mpesa na lipa Kwa Tigo pesa, ndo utapata hela, vinginevyo utapoteza mda wako tu, labda kama una mtaji w kueleweka angalau 10 million, ili watu wajue kabisa wakija kwako hawakosi mtonyo, na pia uwe tayari kutapeliwa au kuvamiwa kabisa
Jana lipa yangu imefungwa ikiwa na million 1.4

Ajiandae kukabiliana na changamoto
 
Ipo hivi kwenye biashara ya mpesa kuna faida ndogo sana tena sana. Ili uingize hata elfu 5 kwa siku inatakiwa uwe na wateja wengi sana (wengi sana)

Sasa kuna hizi lain ziliundwa mahusus kwa kulipia bidhaa kama supermaket au sheli,(mteja akitoa pesa hakatwi inatoka kama ilivyo)

Sasa mawakala wajanja tukaamua kuzinunua hizo till aina ya lipa kwa mpesa.

Anakuja mteja anataka kutoa mfano elfu 10 , ili itoke elfu 10 atakatwa sh 1600 alafu ww unapata kamishen kama sh 200 tu.

Sasa ukiwa na ile lipa kwa mpesa unamwambia aweke 11,000 alafu wewe unampa elfu 10 unabakiwa na buku yeye pia unamwachia 600 ambapo ukijumlisha inakuwa 1600 ya makato. Sasa mteja akiona amekatwa elfu moja tu kesho atamwambia mwenzake watakuja wengi.

Yaan kiufupi mteja akija kutoa namtolea kweny lipa inatoka kama ilivyo. Yale makato ambayo mteja anakatwa hayaendi kwenye kampuni nabaki nayo mimi alafu najiongeza nakupa na wewe kidgo ili kesho urudi (technique ya biashara)

Ila sasahivi naona voda wameshashtuka wanazifungia ila hela yako unaitoa.

Baada ya lipa kufungwa fungwa tukahamia selcom, tukahamia tena mlipa sasahivi tunatafuta mbinu nyingine. UKITEGEMEA KAMISHENI YA VODA UTATOKA BARABARANI MAPEMA.

TOFAUTI NA HAPO SIKUSHAURI UFUNGUE MPESA KAMA HUNA UJANJA UJANJA WA KUINGIZA PESA.

NB: NIMETOA HII SIRI YA KAMBI BAADA YA TILL ZA LIPA KUFUNGWA FUNGWA

SOMA VIZURI MAELEZO YANGU
 
ipo hivi kwenye biashara ya mpesa kuna faida ndogo sana tena sana.ili uingize hata elfu 5 kwa siku inatakiwa uwe na wateja weng sana (wengi sana)

sasa kuna hizi lain ziliundwa mahusus kwa kulipia bidhaa kama supermaket au sheli,(mteja akitoa pesa hakatwi inatoka kama ilivyo)

sasa mawakala wajanja tukaamua kuzinunua hizo till aina ya lipa kwa mpesa.

anakuja mteja anataka kutoa mfano elfu 10 ,ili itoke elfu 10 atakatwa sh 1600 alafu ww unapata kamishen kama sh 200 tu

sasa ukiwa na ile lipa kwa mpesa unamwambia aweke 11000 alafu ww unampa elfu 10 unabakiwa na buku yeye pia unamwachia 600 ambapo ukijumlisha inakuwa 1600 ya makato. sasa mteja akiona amekatwa elfu moja tu kesho atamwambia mwenzake watakuja wengi.

yaan kiufupi mteja akija kutoa namtolea kweny lipa inatoka kama ilivyo .yale makato ambayo mteja anakatwa hayaendi kweny kampuni nabaki nayo mimi alafu najiongeza nakupa na ww kidgo ili kesho urudi (technique ya biashara)

ila sasahivi naona voda wameshashtuka wanazifungia ila hela yako unaitoa.

baada ya lipa kufungwa fungwa tukahamia selcom,tukahamia tena mlipa sasahivi tunatafuta mbinu nyingine.UKITEGEMEA KAMISHENI YA VODA UTATOKA BARABARANI MAPEMA

🙌 Umenifungua kichwa Mkuu, kuna mahali niliona wanafanya hivi, sikuelewa.
 
Selcom inaingizaje pesa ya ziada mzee ufafanuzi zaidi???
 
Lipa kwa mpesa now c wanakata??????
 
Hizo lipa kwa mpesa na Tigo pesa zinafaa sana mjini ila kwa vijijini wanatumia sana lain za airtel money na halopesa.
 
zipo wanazokata makato ya kutumia.
zipo wanazokata makato ya mitandao mingine
zipo za 0.0 (ambazo hazina makato kabsa ila ni chache)

mfuko wako na connection ya mameneja ndo itasababisha uwe na lipa ya 0.0 bila bugudha.

hii biashara nimeifanya miaka mingi hadi leo naifanya naongea nachokijua.
Nimeshawishika mpaka nimetafuta Laini ya lipa kwa Tigo pesa nimeipata, nimegundua kumbe nilikua napoteza Muda kwenye hii kazi
 
ipo hivi kwenye biashara ya mpesa kuna faida ndogo sana tena sana.ili uingize hata elfu 5 kwa siku inatakiwa uwe na wateja weng sana (wengi sana)

sasa kuna hizi lain ziliundwa mahusus kwa kulipia bidhaa kama supermaket au sheli,(mteja akitoa pesa hakatwi inatoka kama ilivyo)

sasa mawakala wajanja tukaamua kuzinunua hizo till aina ya lipa kwa mpesa.

anakuja mteja anataka kutoa mfano elfu 10 ,ili itoke elfu 10 atakatwa sh 1600 alafu ww unapata kamishen kama sh 200 tu

sasa ukiwa na ile lipa kwa mpesa unamwambia aweke 11000 alafu ww unampa elfu 10 unabakiwa na buku yeye pia unamwachia 600 ambapo ukijumlisha inakuwa 1600 ya makato. sasa mteja akiona amekatwa elfu moja tu kesho atamwambia mwenzake watakuja wengi.

yaan kiufupi mteja akija kutoa namtolea kweny lipa inatoka kama ilivyo .yale makato ambayo mteja anakatwa hayaendi kweny kampuni nabaki nayo mimi alafu najiongeza nakupa na ww kidgo ili kesho urudi (technique ya biashara)

ila sasahivi naona voda wameshashtuka wanazifungia ila hela yako unaitoa.

baada ya lipa kufungwa fungwa tukahamia selcom,tukahamia tena mlipa sasahivi tunatafuta mbinu nyingine.UKITEGEMEA KAMISHENI YA VODA UTATOKA BARABARANI MAPEMA

TOFAUTI NA HAPO SIKUSHAURI UFUNGUE MPESA KAMA HUNA UJANJA UJANJA WA KUINGIZA PESA.

NB: NIMETOA HII SIRI YA KAMBI BAADA YA TILL ZA LIPA KUFUNGWA FUNGWA

SOMA VIZURI MAELEZO YANGU
Sasa hii mtu akitaka kutoa tu. Je akitaka umuwekee salio unafanyaje.?

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshawishika mpaka nimetafuta Laini ya lipa kwa Tigo pesa nimeipata, nimegundua kumbe nilikua napoteza Muda kwenye hii kazi
hahaaa biashara yoyote ile ukiipeleka kama inavyotaka huwezi kuendelea hasa hii ya mpesa. Wengi mwisho wa mwezi wanapata kamisheni ya 40k, 50k, 60k, 70k, 80k, 90k ukiona mtu amepata kuanzia 100k na kuendelea ujue yupo kwenye mzunguko mkubwa sana na ana mtaji.

Ukihoji kuhusu location haitokaa itokee watu wote tuwe kwenye location yenye mzunguko mrefu, UKIPATA MWINGINE AMEKOSA UKIKOSA MWINGINE KAPATA.
 
Back
Top Bottom