Wapendwa salaam! Amani ya Mungu baba muumba iwe juu yetu sote!
Jamani mwenzenu nilikuja humu ndani kuuliza biashara ya vyombo ila nasikitika sana sikufanikiwa katika biashara ile kwani nilipata mtihani wa maradhi! Pesa yote ikaisha!
Mimi naishi Dar, Nimevutiwa sana na biashara ya Vijora ila...