Wapendwa sana wanaJF, habari za asubuhi...
Siku chache zijazo nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza soda za chupa na za kopo (take away) kwa bei ya jumla na rejareja.
Mwenye uzoefu na biashara hii naomba anijuze kuhusu mtaji, faida na changamoto za biashara hii. Aidha kama kuna maujanja...
Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
Yaani ushindi leo hauna shaka kabisa. Wanayanga tuhesabu Points tatu Magoli Lumbesa. Mpira pesa.
Mafundis wetu wa mipangao wamekamilisha kila hatua stahiki ya kutupatia ushindi wa kishindo. Hawa Biashara ni wetu sana hawajawa na Ubishi kabisa. Mjini mipango, mjini shule.
Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana kulinganisha na kazi nyingine.
Sasa kuna huu mtindo wa wazazi au wanafamilia kuwasukuma watoto wasome...
Habari zenu wakuu.
Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja.
Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
Ni baada ya umeme kukata ovyo kila saa, bila mpangilio maalumu nchini, na kupelekea hasara za ovyo kwa Wananchi na kwa Taifa, hususani uharibifu mkubwa wa vyombo vitumiavyo umeme. Pia kuzorota na kudorora kwa shughuli za kiuchumi zitegemeazo umeme na kupelekea kudumaza na kushuka kwa pato la...
Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo.
KWA WATUMIAJI WA MIFUMO
1. Umetumia mfumo gani 2021?
2. Experience yako imekuwaje mwaka huu 2021?
3. Unadhani mfumo husika umekidhi mahitaji yako na unataka kuendelea nao...
Baada ya maoni mbalimbali juu ya PhD zinazotolewa kwenye vyuo vya Tanzania ni dhahiri kuwa kuna biashara nzuri kwenye eneo hilo. Hii ni aibu kwa Vyuo vyetu na kuna haja ya uchunguzi kufanyika. Naamini soon tutakua na PhD za chupi. Wasalaamu Mdau wa PhD.
Hello wadau.
Nimefungua duka la nguo za mtumba eneo flani.. lakin kwa sasa nimeweka vinguo t vya kitoto na kanzu za msikitini za kiume.
Ila biashara ya baibui za mtumba na vinguo vyngn vya mtumba vinaend san so ikiwa kuna yyte ambae atakubali kuingia ubia na mimi katika hyo baishara na...
Kuna nyumba zimezoeleka miaka nenda rudi kuuza bangi na gongo mitaani, hadi sasa ukienda zinaendelea, unaweza kukuta watoto ndio wanaoziendeleza baada ya wazazi wao kustaafu.
cha ajabu mapolisi wapo, na tena huwa wanabadilishwa wanakuja wengine wapya.
Wote tunajua kuuza huu mmea ama gongo...
Mechi inaendelea dk ya 80 mtibwa anaongoza 2-0 na bado anashambulia kwa kasi Sana.
Magoli ya mtibwa yamefungwa na Gorge Nzigamasabo Steve 12'p
Demla dk ya 62'
Hii ni mechi ya kwanza mtibwa kushinda msimu huu
Hii ni mechi ya kwanza kuchezwa manungu msimu huu
Sasa mtibwa wamefikisha point 5...
Nataftuta gari tajwa hapo juu iwe katika hali ya kuridhisha bila technical faults. Namba iwe B au C kama unayo naoma share namimi humu unipe bei kisha tutawasiliana.
Tanzania na Kenya zimekubaliana masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha Mpaka, kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona na kushirikiana kwenye Sekta ya Utalii.
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam baada ya Utiaji Saini wa Hati za Makubaliano na Ushirikiano...
Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kutofautisha biashara za ushindani na biashara za vita.
Biashara za ushindani ndio ideology kubwa inayopelekea nchi nyingi zilizoendelea kwa kasi. Asilimia kubwa ya biashara za ushindani ndio chachu ya kukuwa kwa ushindani kama aina mpya ya mitindo ya...
Habar wana jf,
Naombeni muongozo kwa mwenye uwelewa wa mazingira ya Mwanza anipe mwanga ni wap naweza pata viatu vya mtumb (raba) kwa ajili ya biashara.
Ningependa ufaham n wapi na lin naweza kwenda n ku point raba kali na ninatakiw niwe na mtaj kiasi gan, (unatakiwa kupoint kuanzia pair...
Je, COVID-19 ni nini?
COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
biashara
chanjo
chanjo ya corona
corona
covid 19
fursa
korona
kuhusu
kupima
kutumia
mabeberu
macho
mafua
maoni
matarajio
mawimbi
mipango
mjadala
mtazamo
nje
pesa
risk
tafakari
tanzania
ukweli
uongo
utoaji chanjo
uviko
uviko 19
wako
world
Habari Wakuu. Kwa wale wenye bidhaa au huduma ambazo wanataka kuzitangaza Ujerumani, Uswizi au Austria tuwasiliane. Ninatoa huduma hiyo katika nchi hizi ambapo lugha ya Kijerumani inatumika. Matangazo ya biashara yatakuwa katika lugha ya Kijerumani.
Nimefanya miaka mingi kwenye biashara ya...
Hello members.
Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo..
Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC kwa makubaliano maalumu na kuharakisha kukuza biashara na uchumi.
Kwa mtizamo wangu ,hili ni wazo...
Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine
Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...