biashara

  1. JamiiForums Tanzania Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  2. N

    JamiiForums Tanzania FAw Vs Shackman Truck

    Habari .nataka kuchukua mkopo wa truck naomba ushauri kati ya FAw na schackman hipi ni gari nzuri katika uimara au ubora na upatikanaji wa spare,biashara ya mchanga,kokoto,na construction work kiujumla.
  3. JamiiForums Tanzania Nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and development

    Habari! Mimi ni kijana graduate wa Computer science and technology. Nimespecilize kwenye masuala ya programming hususani Full stack development (Website & App) Na Sasa nafanya Blockchain na data science. Wazo langu nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara: Duka la rasta, stationery na duka la dawa muhimu

    Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa million 5 naweza kufanya biashara gani Arusha?

    Habari nina mtaji wa milioni 5 naweza fanya biashara gani Arusha ya kuniingizia hela?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

    Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hivyo nahitaji kujua wapi nitapata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni zipi kazi au biashara ambazo ukifanya hukosi 20k kwa siku?

    Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17] Nsaidieni mawazo, lo! Sihitaji pesa, mawazo ya biashara tu yanatosha Pia PM iko wazi[emoji23][emoji23] But kama utaanza kwa kunipa...
  8. JamiiForums Tanzania RASMI: Singida Big Stars tumeinasa saini ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United

    Watu wa Soka, Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni BIG STAR. Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili. Mangalo ni mchezaji anayemudu kucheza nafasi mbalimbali uwanjani hususani beki wa kati, amesaini nasi baada ya kumalizana...
  9. JamiiForums Tanzania Elfu arobaini (40,000) ilivyobadilisha maisha yangu na changamoto nilizopitia katika biashara

    Wakuu poleni kwa majukumu ... Nilimaliza kidato cha Nne 2013 na kujiunga na kidato cha tano 2014 na kuhitimu 2016 baada ya kuhitimu nilitoka mkoani Kilimanjaro na kuingia katika jiji la Dar es Salaam kuishi nyumbani kwa mjomba , wakati ulipofika wa kuapply chuo basi nilijikuta nafanya maamuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara vifaa vya ufundi simu Nairobi

    Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000. Nilikua naomba kujuzwa na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara Ngudu, Kwimba

    Kwema wadau poleni na majukumu Nina swali kidogo naomba tusaidiane kuhusu kata ya Ngudu, kwimba. Je Ngudu, Kwimba kuna fursa gani nzuri za biashara zinafaa kuwekeza kule kwa wakati huu?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu yanahitajika katika hii biashara ninayotaka kuanzisha

    Wakuu habari zenu. Tukiwa tunaendelea na mapambano ya maisha. Nimejikusanya, nimepata kiasi Cha 20M, nikiwa na wazo la kuanizsha online TV. Je ni vitu gani muhimu natakiwa kununua na gharama yake ni kiasi gani Hadi lengo kutimia. Au mnaweza kunishauri nifanye biashara gani tofauti na hii kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wajackoyah: Nikishinda Urais Kenya nitaanzisha biashara ya korodani za fisi kwenda China

    Mgombea Uraisi Nchini Kenya, George Wajackoyah amesema kuwa akiingia madarakani atafanya mchakato wa kuuza korodani za fisi pamoja na nyama nyingine za mnyama huyo Nchini China ili kukuza kipato cha taifa hilo. Wajackoyah amesema mlo wa Wanyama hao utasaidia kukuza uchumi wa Kenya na kuimarisha...
  15. JamiiForums Tanzania Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

    Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa. Ntaanza na hizi chache... 1.Biashara ya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Aliyepo Toangoma tushirikiane biashara

    Habari ndugu zanguni. Nina mtaji wa laki 2 Kama kuna mtu anaishi Toangoma tushirikiane, mimi makazi yangu ni Toangoma tufanye biashara ambayo anadhani tunaweza kuifanya vema kwa mtaji huo. Mimi si mwenyeji hivyo kwa mwenyeji itakua vema zaidi sababu anayajua mazingira yake vema.
  17. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaan restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula gani wanapenda na wapi bora kuanziasha naombeni ushauri wadau?
  18. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi Gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha. Naombeni ushauri wadau?
  19. JamiiForums Tanzania Kacha hii ndio ishara ya mapenzi ya jinsia moja au biashara ya ngono?

    Habari? Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua. Wakati mwingine wanavaa zote mbili kwa pamoja. Je, wanavaa kama mapambo pasi na dhumuni lolote au ni ishara ya mapenzi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara kati ya Zanzibar na Dar

    Habari za asubuhi wapendwa Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar Niko interested sana na biashara za Electronics. Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…