Ngoja tusubiri maoni.Naamini uzi haujaonwa tu na watu, ila kuna wenye experience yakutoshaHata mie nataka kujua pia
Vipi ulifanikowa? Tupe mrejeshoJamani,
Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu?
Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje?
Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?)
Uzi watu wameukacha?Jamani,
Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu?
Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje?
Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?)
Hii biashara inaonekana haina wataalam na wateja wengi ndio maana. Ingekuwa biashara ya baa au danguro uzi ungekuwa page ya 300Uzi watu wameukacha?
Ukiona hivyo ujue kipato uwakika kipengele location yako tuNaziona zina shamiri kila kona zina ibuka tu