biashara

  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kuomba wazo la biashara mtandaoni

    Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii. Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
  2. JamiiForums Tanzania Mashindano ya kimataifa yatumike kama jukwaa la biashara kwa vilabu vyetu

    MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mashindano ya Klabu Bingwa tutakua tukiwakilishwa na vilabu vya Simba , Yanga na...
  3. JamiiForums Tanzania Ajira Ajira Ajira

    Habari! Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa husikia ambazo mteja anahitaji kutoka kariakoo kwa bei ya jumla. Kila chimbo la bidhaa ambalo mteja...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna ya kukidhi matakwa ya wateja na kufanikiwa katika biashara

    Utangulizi Ili uweze kufanikiwa katika jambo lolote lile, ni lazima ufuate kanuni na taratibu zitakazokuwezesha kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hakuna mafanikio yasiyokuwa na utaratibu au kanuni. Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi mnaowaona wamefanikiwa katika biashara wamepitia njia...
  5. JamiiForums Tanzania AIBU: Google yawapa mitaji minono vijana wa Kenya, Rwanda, Uganda huku vijana wa Tanzania wakijadili Simba / Yanga, tunda na k vant

    Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo. Wanufauka ni Nigeria - nafasi 23 Kenya - Nafasi 12...
  6. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mifumo ya kisera inayoweza kuhakikisha Afrika kupokea mapinduzi ya nne ya viwanda, ili kukuza ushirikishwaji wa vijana katika ajenda ya biashara

    Mapinduzi ya nne ya viwanda, yajulikanayo kama 4IR au 4.0, ni mapinduzi ya kidijitali yenye sifa za muunganisho wa teknolojia kati ya nyanja za kimwili, kidijitali na kibayolojia. Mapinduzi haya ya viwanda ni tofauti na yale matatu ya kwanza kwa sababu yale yalilenga kuongeza na kuendesha...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Unaweza kufanikiwa kupitia biashara ndogo ndogo, nifuatilie

    Salama wapedwa?, nawasalimu, leo nataka kushea na ninyi machache kuhusiana na hizi biashara ndogo-ndogo, ila nitajikita sana katika biashara ya mahindi, naamini usipokata tamaa kusoma kuna maarifa lazima uyapokee mazima-mazima, naomba zima tv yako, radio yako nk, halafu nipe akili yako yote kwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Lengo la kufanya biashara au kuanzisha biashara

    kwanini tunafanya biashara? Mfanya biashra ambae hufanikiwa ni mfanya biashara ambaye huanzisha biashara akiwa amejiwekea malengo yake binafsi. Malengo aliyojiwekea mfanya biashara ndicho kitu pekee kitakacho mfanya au kitakachoonyesha kuwa mfanya biashara huyo amefanikiwa atafanikiwa. Ni kweli...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji posters kwajili ya matangazo ya biashara

    Habari wana JF, kama kuna mtu anaweza kunitengenezea posters kwajili ya matangazo ya biashara yangu online plse nicheki kwa namba 0717217520 calls & whatsapp.
  10. JamiiForums Tanzania Hii biashara ya makorokoro imekaaje wadau?

    Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa kuanza, wenye uzoefu wowote naomba anijulishe
  11. JamiiForums Tanzania Elimu ya biashara kwa vijana wanaotaka kuanza

    Vijana tulio wengi mara nyingi tunakwama sana kwenye biashara kutokana na kupeana mawazo ya maandishi na siyo ya mazoezi unakuta vijana wengi tunakuwa na mitaji ambayo kweli tuki isimamia vyema ni rahisi kufanikiwa ila tunashindwa namna ya kufanya bishara kinachotufelisha mara nyingi ni...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China yahimiza maendeleo ya uchumi wa dunia

    Maonyesho ya Kimataifa ya mwaka 2022 ya Biashara ya Huduma ya China yamefungwa hivi karibuni hapa Beijing. Ikiwa ni moja ya majukwaa matatu makuu ya China kufungua mlango, maonesho hayo yanaonesha nia ya China ya kufungua mlango zaidi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika biashara ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio.
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Biashara ya nafaka (mahindi) nje ya nchi ni fursa muhimu, kuzuia ni kuikataa fursa ambayo ni adimu kuipata

    MAANA YA NAFAKA. Nafaka ni mbegu zinazotokana na mimea aina ya nyasi zilimwazo mashambani kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na hutumika kama chakula kwa ajili ya binadamu na hata mifugo. Kumekua na kasumba ya mara kwa mara ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku nafaka hasa mahindi kuuzwa nje...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani? Nipo Kinondoni - Dar es Salaam

    Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali. Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China
  17. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya masuala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini wakubwa heshima yenu Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya maswala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Biashara gani inamfaa mwanachuo?

    Habari wakuu Dogo amechaguliwa kujiunga UDSM (Main Campus). Anataka atakapokuwa chuo awe pia anafanya biashara ndogo ndogo ambayo haitampotezea sana muda wa masomo. Ikiwezekana aifanye mwenyewe au ampe mtu katika maeneo ya jirani asimamie. Tayari amejichanga tangu amalize chuo na ana 1.5m na...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti: Saudi Arabia inakaribia kuwa lango kuu la Dawa za Kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…