Tanzania tuna vijana wengi wenye mitaji na wanaojua kufanya biashara. Tatizo mara nyingi si mtaji, bali ni namna tunavyoutumia mitaji yetu.
Fikiria Kijana ana Sh milioni 10, 20, 50 au 100, mara nyingi anawaza kwenda China, ananunue nguo, viatu, vipodozi au vifaa vya simu, nk anarudi na kuuza...