Biashara ya Mpunga

Biashara ya Mpunga

Mountkifi

Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
12
Reaction score
18
Salam Wana JF

Nimekuwa nkifatilia Kwa Muda kilimo Cha Mpunga, japo sjaingia rasmi.

Mwaka huu nmenunua Mpunga kwa wakulima na kuweka store nkisubiri bei zipande niuze nipate faida.
Nahitaji wenye uzoefu kwenye hilo eneo Kwa muda mrefu je, kipi Bora kununua kutoka Kwa wakulima au Kulima mwenyewe na kupeleka sokoni baada ya mavuno?

Kama itawezekana piah tupeane na maeneo mazuri ya kupata mashamba hata kama ya kukodi na mtaji hasa kama unataka kulima Kwa faida.
Asanteni.
 
Kwa mtazamo wangu, kununua kwa wakulima na kuhifadhi kunaweza kuwa na faida kuliko kuanza kulima mwenyewe, hasa kama bado unajifunza soko. Ila biashara hii inahitaji tahadhari kubwa—bei inaweza isipande kama ulivyotarajia, gharama za store na usafirishaji zinaweza kula faida, na ubora wa mpunga unaweza kushuka ukiuhifadhi vibaya. Ni muhimu sana kufanya hesabu ya gharama zote na kuwa na uhakika wa soko kabla ya kuwekeza mtaji mkubwa. Usikimbilie faida ya bei pekee; jifunze kwanza mzunguko wa soko.
 
Asante Kwa ushauri wako ndugu, nmejifunza kitu hasa kwenye garama za kununua na kwenda kulima direct piah hali ya soko.
 
Zote Biashara nzur sana inegemeana na ww muda wako na ufuatiliaji wako Kwa sasa hivi kwa maeneo Tabora Gunia la mpunga ni around 90K to 100K while ukisema ulime hilo gunia can cost you around 10K-20K so uchaguzi ni wako na soko lako lkn ni Biashara moja nzuri sana na recomendeble kwa sanabu sio pasua kichwa sana kuanzia mahesabu yake na utunzaji wake. Demand ya mpunga ni kubwa mno na hata km hakuna soko unaweza kuhifadhi kwa muda mrefu ukisubiri soko liwe zuri, nimewahi kufanya mwaka 2023 lkn mm nilikuwa nanunua mchele Direct aisee nilikuwa napata super profit asee so ingia kwenye hiyo biashara
 
Kwa upande wang, nashaur km unamuda wa kufatilia Lima mwenyewe, lkn km uko busy na majukumu mengne subr ununue kwa wakulima! Mim nmejarbu kulima nikawa nafel kisa usimamiz japo mashamba ni yang na mvua kanda hii nakolima ni za uhakika! Ushaur wa mwisho, nunua mashine y kuchakata mpunga ili ukinunua mpunga ukoboe mwenyewe uza mchele utakuja kunishukuru niko hapa nyanda za juu kusini, nimejarbu nmeona!
 
Asante nashukuru Sana Kwa mchango wako ndugu. Mimi kwasasa nmenunua gunia chache tu nasubiria bei zipande niuze then mwakani kama vipi nlime Kabisa.
 
Zote Biashara nzur sana inegemeana na ww muda wako na ufuatiliaji wako Kwa sasa hivi kwa maeneo Tabora Gunia la mpunga ni around 90K to 100K while ukisema ulime hilo gunia can cost you around 10K-20K so uchaguzi ni wako na soko lako lkn ni Biashara moja nzuri sana na recomendeble kwa sanabu sio pasua kichwa sana kuanzia mahesabu yake na utunzaji wake. Demand ya mpunga ni kubwa mno na hata km hakuna soko unaweza kuhifadhi kwa muda mrefu ukisubiri soko liwe zuri, nimewahi kufanya mwaka 2023 lkn mm nilikuwa nanunua mchele Direct aisee nilikuwa napata super profit asee so ingia kwenye hiyo biash

Kwa upande wang, nashaur km unamuda wa kufatilia Lima mwenyewe, lkn km uko busy na majukumu mengne subr ununue kwa wakulima! Mim nmejarbu kulima nikawa nafel kisa usimamiz japo mashamba ni yang na mvua kanda hii nakolima ni za uhakika! Ushaur wa mwisho, nunua mashine y kuchakata mpunga ili ukinunua mpunga ukoboe mwenyewe uza mchele utakuja kunishukuru niko hapa nyanda za juu kusini, nimejarbu nmeona!
Asante Sana kiongozi Kwa maoni, ntakucheki hilo la mashamba tuone namna.
 
mkuu nipo kwenye kilimo cha mpunga 7years kama unamda kod shamba lima mwenyewe lakini ukiwa na mambo mengi ni heri ukanunua mana mpunga unaitaji mda wako sana,
Asante Kwa maoni, we unalima mkoa upi ndugu?
 
Zote Biashara nzur sana inegemeana na ww muda wako na ufuatiliaji wako Kwa sasa hivi kwa maeneo Tabora Gunia la mpunga ni around 90K to 100K while ukisema ulime hilo gunia can cost you around 10K-20K so uchaguzi ni wako na soko lako lkn ni Biashara moja nzuri sana na recomendeble kwa sanabu sio pasua kichwa sana kuanzia mahesabu yake na utunzaji wake. Demand ya mpunga ni kubwa mno na hata km hakuna soko unaweza kuhifadhi kwa muda mrefu ukisubiri soko liwe zuri, nimewahi kufanya mwaka 2023 lkn mm nilikuwa nanunua mchele Direct aisee nilikuwa napata super profit asee so ingia kwenye hiyo biashara
Mkuu kwa uzoefu wako kama sasahivi gunia ni 90k..ni lini utakuja kupanda na Unaweza kufika bei gani kwa gunia
 
Kupanda ni kuanzia mwezi wa 10 maana kibongo bongo mpunga unavunwa mara moja ambapo ni Mwezi 4-6
 
Huku nilipo wanalimaga mara 2 kuna skimu ukiwekeza 5k kama bei imekuwa good unaweza pata faida lak 7 had 1m
 
Salam Wana JF

Nimekuwa nkifatilia Kwa Muda kilimo Cha Mpunga, japo sjaingia rasmi.

Mwaka huu nmenunua Mpunga kwa wakulima na kuweka store nkisubiri bei zipande niuze nipate faida.
Nahitaji wenye uzoefu kwenye hilo eneo Kwa muda mrefu je, kipi Bora kununua kutoka Kwa wakulima au Kulima mwenyewe na kupeleka sokoni baada ya mavuno?

Kama itawezekana piah tupeane na maeneo mazuri ya kupata mashamba hata kama ya kukodi na mtaji hasa kama unataka kulima Kwa faida.
Asanteni.
Kama una hela ya kutosha huo uamuzi uliofanya wa kununua na kuweka ukisubiri bei ipande ndio uamuzi sahihi...
 
Hiyo mwezi wa 10 gunia la mpunga linaweza kufika bei gani
Mara nyningi inakuwa 120k and above lkn inategemea na Demand and supply but always kuanzia October price inakuwa high
 
Back
Top Bottom