Wapi napata mabalo ya mitumba ya bidhaa hizi

Wapi napata mabalo ya mitumba ya bidhaa hizi

Kama ni Kwa balo nenda mnazi m1 ule mtaaa wenye mnara wa saa nadhani ni samora Ile Kuna maduka kibao yanuza balo mbalimbali za mitumba ila Fanya research kwanza coz unaweza pigwa either kwenye ubora wa mzigo au bei so be you must be alert
 
Back
Top Bottom