benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yawakaribisha Wanahisa kwenye Mkutano Mkuu wa 29

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (katikati), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo (watatu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Benki yatoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi, RC Makonda awakabidhi

    Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo. Pia soma: LGE2024 - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024 Akikabidhi pikipiki...
  3. JamiiForums Tanzania Anahitajika Binti mwenye uzoefu na kazi ya UWAKALA wa pesa mitandao yasimu na benki

    Eneo : Dar/kimara Muda Wa kazi : 1 asbuh - 4 usku Mahitaji Wadhamin wawili (2) waliojenga wanao ishi kwao. Mshahara : 200,000 Mawasiliano : PM
  4. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
  5. JamiiForums Tanzania Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote. Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa, akiba yako itaongezeka Kila mwezi, Kwa riba utakayokuwa unalipwa. Usipate hasara, kusubiri mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania Benki Kuu yatangaza nafuu kwa wanaohamisha fedha benki moja kwenda nyingine

    Benki Kuu ya Tanzania imezitaka taasisi zote za kifedha ikiwemoo benki za biashara kupunguza gharama ya wateja kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda Nyingine. Katika barua yake BoT imesema imebaini kuwa kwa sasa watu wanalipishwa gharama kubwa sana kuhamisha fedha Gharama mpya ambazo...
  7. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  8. JamiiForums Tanzania Riba ya Benki Kuu yaongezwa hadi 6% kukabiliana na Mfumuko wa Bei

    Katika hatua muhimu ya kukabiliana na shinikizo la mfumuko wa bei linalotokana na mwenendo wa uchumi duniani, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza ongezeko la Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 hadi asilimia 6. Uamuzi huu, umefikiwa wakati wa kikao cha MPC...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Museveni amteua mwanaye Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda

    Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda. Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo Mkewe Mama Janet Museveni ni Waziri wa Elimu kwenye Serikali, Mwanaye wa Kwanza Muhoozi ni Mkuu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

    CCTV Crime News Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile. ................ Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa. Jina ni: Nilton César Silva Aguiar. .... Hapa aliingia Benki kama mlemavu ..... Hili hapa pigo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bilioni 6 zilizokusanywa na halmashauri hazikufika benki? Halafu rais hajatumbua hata mmoja!

    Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu?? Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
  12. JamiiForums Tanzania Benki ya Ethiopia yawataka waliochota fedha ATM baada ya mtandao kuharibika warudishe

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imewapa wateja waliotoa pesa nyingi zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao hadi mwisho wa wiki kuzirejesha la sivyo watakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Vyombo vya habari viliripoti kuwa zaidi ya Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 102) zilitolewa au...
  13. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Hitilafu ya Benki ya Biashara yasababisha Wateja kutoa hela kwenye ATM bila kikomo

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo". Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE. Zaidi ya Dola Milioni 40...
  14. JamiiForums Tanzania Equity Group yatajwa chapa ya 2 kwa benki imara zaidi duniani

    • Equity imeorodhesha kuwa chapa ya 2 ya benki imara zaidi duniani. • Equity yaibuka kama benki imara zaidi barani Afrika. • Thamani ya chapa ya Equity ilipanda kwa Dola Milioni 22 kutoka thamani ya mwaka jana ya Dola Milioni 428 hadi Dola Milioni 450 (Tzs. 114 bilioni). • Equity inakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

    Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara. Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
  16. U

    JamiiForums Tanzania Benki kubwa zaidi Tanzania, CRDB yaongoza

    News Alerts: Benki kubwa zaidi Tanzania CRDB yaongoza Wadau hamjamboni nyote Takwimu mpya kabisa nimeziweka hapo chini.
  17. JamiiForums Tanzania Hatimaye benki ya biashara ya NMB Tanzania yasaini hati ya mashirikiano na ZASCO

    === Hatimaye NMB wamesaini makubaliano ya miaka mitatu (3) ya ushirikiano na Kampuni ya Zao la Mwani Zanzibar (ZASCO) ikiwa ni hatua ya kuendeleza sekta ya kilimo cha mwani na kuleta maendeleo yenye tija kwa wakulima katika pwani ya Bahari ya Hindi (Tanzania Bara na Visiwani). Katika maeneo...
  18. JamiiForums Tanzania Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Wasalaam Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank. Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
  19. JamiiForums Tanzania Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yazindua huduma ya bima yenye misingi ya sharia kwa Watanzania wote

    Dar es Salaam. Tarehe 28 Februari 2024: Ikiwa na uzoefu wa takriban miaka minne sasa Benki ya CRDB imezindua huduma za bima zinazozingatia misingi ya shariah zijulikanazo kama Takaful kwa ajili ya wateja wanaofuata imani ya Kiislamu na wananchi wengine wanaozingatia misingi ya dini hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…