bei rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MaylaGladson

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Hello, Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000. Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000. Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mbona vitu vya electronics ni bei rahisi China? Kumbe mikoani tunapigwa hivi?

    Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories. Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo. Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na...
  3. stephot

    JamiiForums Tanzania Naenda Nairobi, wapi nitapata lodge ya bei rahisi?

    Wadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
  4. Mbaga Lazaro

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yenye bei rahisi ya data

    "Bado nchi yetu ndio ina bei rahisi ya Data kwa GB kuliko nchi yoyote ya East Africa...SADC, kwa kuwa na gharama ya GB 0.71 kwa Dola ambayo ni sawasawa na shilingi 1600/=". Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania - Dkt.Jabiri Kuwe Bakari #ITVUpdates
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

    Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, sasa wasafirishaji wa Kenya wanakuja Tanzania kununua mafuta

    Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita . Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KAMIKAZE DRONES za Urusi ni mwiba mkali kwa Ukraine: Ni za bei rahisi lakini zinaangamiza mamilion, ukitaka kuidungua utumie missile ya mamilioni!!

    Majeshi ya Ukraine yanashindwa yaamueje kushughulika na kamikazer drones za Urusi. Ni drones za gharama chee (dola 20,000 za marekani kwa kila moja). Ina uwezo wa kuangamiza vifaru, magari ya kivita, na vifaa vingine vya kijeshi, kubomoa majumba makubwa nk. Ukkraine wanaweza kuzidungua lakini...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Pata hii HP laptop na hii Sony kamera kwa bei rahisi

    Jipatie hii laptop HDD 500 Gb, RAM 4GB, Intel Celeron 1.6Ghz Inakaa na charge mpaka masaa mawili na nusu kutegemeana na matumizi. Bei Tsh 230,000. Napatikana kinondoni vijana. Simu 0765137266 Pia kuna hii kamera kwa wale wenye biashara ya studio za kupiga passport. Sony original...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauza tisheti kwa Bei nafuu

    Habari jamani, Nauza tisheti kali za aina tofauti, special Tshirt kali na nguo zingine. Hizi Tshirt nazopost leo Tsh. 10000 tu reja reja.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua kuku kwa bei rahisi

    Habarini wana jamvi letu pendwa, Nauhitaji wa kununua kuku wa kienyeji kwa bei rahisi (chini ya Tsh 10,000/=) kama kuna mdau anafahamu sehemu (kijiji/kata, wilaya au mkoa) basi naomba anitajie, nina access ya kufika popote pale Tanzania. AHSANTENI
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya nguo na viatu kuwa bei rahisi na ubora wa juu ukiwavizia wale wanaouza kwa kuzitembeza mtaani ?

    Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi...
  12. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitoe tahadhari kwa mnaotaka kununua simu za Sony Xperia Z1, Ni bei rahisi kamera kali ila utajuta kwenye Network.

    Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K. niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!! ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
  13. Alfatonics

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Hp Elitebook 840 G5 kwa Bei rahisi

    Tumekuletea hp Elitebook 840 G5 Processor: Intel® Core™ i5-8350U vPro™ processor (1.7 GHz base frequency, up to 3.6 GHz with Intel® Turbo Boost Technology, 6 MB cache, 4 cores) Ram 8gb SSD 256GB Display 14" Refurbished PC Bei yake ya offer Ni 750,000 tu Ni refurb zenye clean condition kabisa...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mazao iwe fusra ya kuwekeza kwenye kilimo

    Ni wazi Sasa kwamba,utajiri uko shambani, kupaa kwa bei ya mazao iwe alama ya kijani ya kutuelekeza turudi shambani, na tuwekeze katika kilimo. Mtu amekaa mjini anasubiri mwenzake wa shamba aingie gharama kulima, halafu aje amuuzie mazao kwa bei nafuu! Huko huko mjini, wa Kijijini wakija...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

    Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
  16. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania bedsofa 5 kwa 6 mpya dodoma kwa bei rahisi

    Habari wakuu,wale wa Dodoma ninawaletea bedsofa 5 kwa 6 mpya kwa 175000 tu. Piga simu hapa 0624008133 mipango
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa na Marafiki, ila mnatuangusha mno Watanzania hadi kuhisi Mmeshanunuliwa kwa Bei rahisi

    Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa Ulaya ) ili wakapumzishe Kwanza Akili kwani walichokitegemea sicho. CHADEMA nilidhani Kipindi hiki...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili kwa kuuza mafuta bei Rahisi

    Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha. Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza...
  19. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi simu mbona bei rahisi hivyo kunani

    Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note 10+ lakini ninakuwa na wasiwasi ebu team Samsung nitoeni uwoga na wasiwasi nataka nikaitie petrol...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja bei rahisi Mbezi

    Pata viwanja eneo la mbezi mzalendo kuanzia 10 kwa 10 sq meter 100 kwa shilingi mil 1 na laki 2. Pia kuna eneo lingine lina ukubwa wa 10 kwa 10 tofali 500 na nondo 10 kwa shilingi mil 2 na laki 5 maeneo yote yanafikika kwa gari yapo karibu na barabara za mtaa. Ukihitaji ukubwa wa aina yoyote...
Back
Top Bottom