bbc

  1. B

    BBC English

    As I promised last time, today we want to see the difference btn BRING/GIVE a) BRING: This is used when something is not in hand of a person talking to. Eg. When you need drinking water you should say "Bring me some water, NOT, Give me some water. b) GIVE: This is used when something is in the...
  2. B

    Kama una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe

    Kwa wiki hii km una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe. Kuanzia wiki ijayo nitakuwa naweka mada za KIINGEREZA zinazotamumetiza watu. usikose uhondo Jifunze KIINGEREZA hapa. E.g. people fail to differentiate the usage of "give and bring". They treat these lexical verbs as...
  3. Mamlaka za Somali Land zasitisha shughuli za BBC katika eneo hilo

    Mamlaka katika eneo hilo lililojitenga la Somalia, zimesitisha shughuli za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), likishutumu shirika hilo kwa kudhoofisha uaminifu wa taifa hilo. BBC ina mtandao wa wanahabari wanaofanya kazi kote Somalia ikiwemo katika eneo hilo pia Waziri wa Habari...
  4. BBC: Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine

    Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine CHANZO CHA PICHA, REUTERS Tarehe 24 Februari 2022, Urusi iliivamia Ukraine katika hatua iliyozidisha mzozo wake nan chi hiyo Jirani tangu kuanza kwa usahama mwaka wa 2014 Uvamizi huo ulisababisha mzozo mkubwa zaidi wa wakimbizi barani...
  5. M

    Historia ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    ''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 65 iliyopita. Idhaa mpya ikawa imezaliwa - Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Kambona alikuwa mwanafunzi kutoka Tanzania...
  6. Journalism Trainer/Mentor at BBC Media Action

    Position: Journalism trainer/mentor BBC Media Action BBC Media Action is the BBC’s international charity . Location: Dar es Salaam, Tanzania Reports to: Senior mentor/trainer Duration: 12 months (with possible extension) Special requirements: The right to live and work in Tanzania. Fluent...
  7. Commercial mentor/trainer at BBC Media Action

    Position: Commercial mentor/trainer Dar es Salaam BBC Media Action BBC Media Action is the BBC’s international charity . Reports to: Senior mentor/trainer Duration: 12 months (with possible extension) Special requirements: The right to live and work in Tanzania. Fluent in written and...
  8. Natatizwa na BBC kuhusu Kiswahili

    Wakuu, hivi sasa BBC Swahili inaadhimisha miaka kama sikosei 67 ya kuanzishwa kwake. Tatizo nimeliona ni mtangazaji aliyejikita Zanzibar akisema Kiswahili ndipo kilipoanzia. Mie, natambua Kiswahili chimbuko lake ni Lamu nchini Kenya sasa kama ni mwendelezo wa upotoshaji unaoendelea ni hatari...
  9. Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

    Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani? Nikumbushwe huenda nimesahau. Hakika sikumbuki. Tangu awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama...
  10. Wahenga tyme (born before computers (bbc): 1970s, 1980s & 1990s

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 A. MABINGWA WA BREAK-DANCE TZ 1. Black Moses 2. Mzee Bachu 3. Ommy Sydney 4. Salma Sweet Kajela 5. Athuman Digadiga "Double D " 6. Jimmy To London 7. Bosco Aidan Cool J 8. Super Ngedere 9. Abdul Shalamar 10. Abel Siwale 11. Patrick Chiume "TASS" 12. Kamal Mabobish 13...
  11. 5

    BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

    Shehena ya makombora 1,500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani, Shirika la Habari la Ujerumani limewanukuu maafisa wa serikali ya Ukraine wakisema. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock alisema Jumatano kwamba vifaa...
  12. BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

    Kibao kinaaendelea kugeuzwa......ukiingia kushambulia watu kwenye nchi yao unaua mama zao, baba zao, watoto wao kwenye mauaji ya kimbari, jiandae kwa lolote, watapigana mpaka afe wa mwisho... A Russian landing ship has been destroyed and two other boats have been damaged in the occupied...
  13. Wanafunzi wa Sekondari waruhusiwe kutumia simu Mashuleni?

    Haka kamjadala kamenifikirisha sana, Je! waruhusiwe kutumia simu mashuleni? Naskia mashule ya mafeza boys, mshuke ya st. nani huko wanaruhusiwa kutumia simu ndomana wanafaulu sana ni kweli? Akili ya wanafunzi wetu + smatphone what the output, sindo diamond atakuwa anaimba darasani Unaruhu simu...
  14. Sheria mpya yapelekea CNN, BBC na Bloomberg kusitisha kuripoti Urusi

    Baada ya Bunge kupitisha Sheria inayoruhusu Mamlaka kuwafunga hadi miaka 15 watu walioshtakiwa kwa kusambaza makusudi taarifa feki, Mashirika mbalimbali yametangaza kusitisha kuripoti Urusi. BBC, CNN, Bloomberg, Shirika la Habari la Canada (CBC) pamoja na Redio Canada zimesema zitaacha kurusha...
  15. Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

    Ni dhahiri sasa kwamba Mh Rais alidanganywa na kuambiwa mambo ya uongo , kwamba kabla ya kukamatwa Mbowe alikimbilia nje ya Nchi baada ya kupata taarifa kuwa miongoni mwa watuhumiwa kwenye kesi hii wamekwishahukumiwa kifungo jela baada ya kukiri makosa yao ya Ugaidi . Mh Rais alitoa kauli hii...
  16. BBC: Waasi watatu wa ADF raia wa Tanzania wakamatwa DRC

    Jeshi la taifa la Kongo FARDC limetangaza kuwakamata raia watatu wa Tanzania ambao ni waasi wa ADF waliosajiriwa wilayani Beni mashariki mwa Kongo. Raia hao wa Tanzania, walikamatwa Jumapili hii, Februari 6, 2022 wakati wa doria zilizofanywa na askari wa Kongo katika bonde la Mwalika, katika...
  17. BBC; More than 100 Kenyans fill hospitality jobs in Channel Islands

    . More than a hundred people from Kenya have come to the Channel Islands to work over the last 10 months, according to a recruitment firm. They are filling staffing gaps during a challenging time for the hospitality industry, the recruitment company GR8 says. Lee Madden, founder of GR8 said a...
  18. BBC: Jeshi la Msumbiji limemkamata Mtanzania ambaye ni kiongozi wa majihadi

    Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39, anayejulikana kama Ali, alikamatwa pamoja na wanamgambo wengine wa Kiislamu sita wenye uhusiano na...
  19. BBC Swahili: Zuchu ndio msanii bora wa East Africa 2021!

    How do you find it guys!!? Mi binafsi nakubaliiii. Haappy New yearrr to u alll. Love U === Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza. Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza na ana sifa za muziki wa Tanzania aina ya Bongo Fleva. Mwaka uliopita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…