BBC News official channel yao wamepost leo kwamba clips zilizopo mtandaoni ni za kweli na ukatili (uhaini) dhidi ya watanzania ulifanyika.
Video iliyorekodiwa nchini Tanzania imeibuka ikionyesha vitendo vya ukatili vilivyofanywa na polisi walipojaribu kukandamiza maandamano makubwa mwezi...
A crowd runs in panic along a dusty street. Shots ring out. A woman wearing a purple jacket carrying a stick falls to the ground.
Another woman can be heard pleading, "Mama, mama, stand," as she tries to lift her. Blood is spreading around her stomach as another stain appears on her back.
This...
https://youtu.be/QwY9OsUGVY0?si=P-Q3GDkwdHg6GDe3
👉🏻Idhaa ya Kiswahili ya BBC imefanya uchunguzi wake wa awali na kuthibitisha pasipo shaka kuwa vyombo vya usalama vya Tanzania polisi viliua waandamanaji siku ya uchaguzi tarehe 29/10 na siku zingine zilizofuata
👉🏻Video zikionesha mauaji hayo...
Wakuu BBC wamezungumza na watu kutoka kada ya afya ikiwemo Madaktari kutoka hospitali binafsi na za serikali ambao awameeleza kuwa kumekuwa na magari yanayoenda kuchukua miili na kuipeleka kusikojulikana.
===
Toka kutokea kwa vurugu za maandamano wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, baadhi...
Kuna hii Video kutoka BBC Eye inaonyesha jinsi maandamano ya Gen Z Occupy Parliament na jinsi gani waliohusika kufanya mauaji na kuonyesha kulikuwa hakuna sababu ya kufanya mauaji hayo..... Very Sad Indeed
https://youtu.be/_q3VkWny8J0?si=LlSur0k_kEMWBYhU
Na Shangazwa sana na Hawa hawasomi kitabu chao kinachopinga ushoga ?? kicha vipi wanaruhusiwa kuingia kanisani? hali yakuwa hukumu yao kwenye bibilia ni hii
2. Walawi 20:13
Mtu akilala na mwanamume kama vile alalavyo na mwanamke, wote wawili...
https://youtu.be/Gf6xImh1lEk?si=H-r2cFmd2xPTutwR
Sina hakika kama hiki kipande cha video kuhusu utekaji unaoendelea Tanzania kililetwa hapa.
Kama kililetwa basi mods wanaweza kuunganisha nyuzi.
Ni kipande kilichorushwa juzi, Septemba 3, na kituo cha runinga cha BBC, idara ya Afrika.
Licha ya...
Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
Job Requisition ID: 25996
Job Closing Date: 17/08/2025
JOB DETAILS
JOB TITLE: Journalist- (Digital Video Producer)
JOB BAND: C
CONTRACT TYPE: Permanent, Full-time
DEPARTMENT: BBC News
LOCATION: Dar Es Salam, Tanzania. Onsite
Any offer of employment with the BBC will be conditional...
Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye.
Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England.
BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
Donald Trump amesema amesikitishwa na Putin lakini akasema bado hajakata tamaa na Vladimir Putin, katika mazungumzo ya kipekee ya simu na BBC.
Rais wa Marekani alishinikizwa iwapo anamuamini kiongozi huyo wa Urusi, na akajibu: "Sina imani na mtu yeyote."
Trump alikuwa akizungumza saa chache...
Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji...
Naomba tupate clip ya huyu Dada Stella Agara akiongea juu ya utawala ulioshindwa WA Ruto. Dada kashusha nondo vibaya Sana. Ana sema Ruto aondoke kwa kujiuzulu mwenyewe, ikiwa njia zingine zimeshindika kupitia Bunge na Senate, mpaka kazungumzia Mungu kuingilia kati.
Na kwamba fujo zina...
Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza
Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto wakigombania chakula wakati afya zao ni njema kabisa.
Nimesikiliza taarifa ya habari ya BBC Swahili Leo hii saa tatu kupitia Star tv mwandaa maudhui na mtangazaji wake wamepwaya sana hasa kesi ya Lissu walivyoitolea taarifa.
Kila haki nyuma kuna wajibu,BBC wana malengo yao kama taasisi na hili siwalazimishi kubadilika sabu wapo kibiashara,malengo...
Kipindi cha maandamano ya gen-z kule Kenya mpaka kufikia kwenda bungeni na kutokea mauaji ambayo inashutumiwa KDF ambalo ni jeshi la Kenya kuhusika sasa, BBC ilitoa taarifa kupitia kipindi chake BBC EYE.
Wahandishi wa habari walikuwa wamechukua matukio na kupeleka BBC mpaka sasa hawajulikani...
Kenyan authorities block screening of ‘Blood Parliament’ documentary: BBC
By Dennis Musau Published on: April 29, 2025 08:17 (EAT)
A Kenyan Police officer fires a tear gas canister towards protesters during a demonstration against tax hikes as members of the Parliament vote the Finance Bill...
Nimetoka kutizama Documentary ikiielezea maandamano ya Kenya .
Documentary ile imeenda mbali na kukusanya ushahidi wa video kabisa ikimuonesha askari aliyehusika kumuua mwandamanaji mmoja .
Video hii itabaki milele na haki itakuja kupatikana tu . Ushauri kwa wote wanaojiona invisibles na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.