Bata batani, Tusanue ni bata gani Usha wahi liona mkuu?

Bata batani, Tusanue ni bata gani Usha wahi liona mkuu?

kijana mpambanaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2026
Posts
200
Reaction score
509
NIPO Zanzibar, nimeshangazwa na hotel zimechangamaka kwenye hii sikuku kwa kweli wakristo mnajitahidi kusherehe, sikuku ya idd sikuona kundi kubwa la watu kuja zanzibar vacation ila xmass,new year, na leo Easter, hongereeni Aiseee.

Nikapata muamuko kuangalia vacation za Dubai, daah Aiseee watu wanakula bata, kumbe dunia Ina siri nadhani kwa sasa Dubai ndo kimbilio la wengi wenye nacho,

Tusanue ni bata gani Usha wahi liona mkuu, usisahau tu picha
 

Attachments

  • 6c9e69da5e72837b6b3c40cb8a5bd8d6_1775391939818.mp4
    5.7 MB
  • b6c44cdcabc487913f3fb17f9117e107_1775392061212.mp4
    6 MB
  • 1dc89ba9fabd972de4488fafe86ea6aa_1775392690428.mp4
    3.7 MB
Mkuu ulisharudisha mtaji wako kutoka kwa kibaka 😂😂😂
Duh
17b5575f-3df9-4bc5-850b-084a986eb2f1.jpeg
 
Na mimi ni kijana mpambanaji kama wewe mkuu..
Nawezaje kufika level kama zako maana najikuta natafuta pesa ya kula na nauli tu
 
Kaka mi napambana nipate lishangazi limoja kaka, Bora umekuja fanya jambo basi, liwe na hela lakini,
 
Back
Top Bottom