bata

A Batá drum is a double-headed drum shaped like an hourglass with one end larger than the other. The percussion instrument is used primarily for the use of religious or semi-religious purposes for and originates from the native culture land of the Yoruba, located in Southwestern Nigeria, as well as, but not of origin, by worshippers of Santería in Cuba, Puerto Rico, and in the United States. The Batá drum's popular functions are entertainment and to convey messages. Its early function was as a drum of different gods, drum of royalty, drum of ancestors and drum of politicians. Batá drum impacted on all spheres of life in Yoruba land.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

    Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu. Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu? Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama...
  2. kijana mpambanaji

    Bata batani, Tusanue ni bata gani Usha wahi liona mkuu?

    NIPO Zanzibar, nimeshangazwa na hotel zimechangamaka kwenye hii sikuku kwa kweli wakristo mnajitahidi kusherehe, sikuku ya idd sikuona kundi kubwa la watu kuja zanzibar vacation ila xmass,new year, na leo Easter, hongereeni Aiseee. Nikapata muamuko kuangalia vacation za Dubai, daah Aiseee watu...
  3. Keynez

    Viongozi wa siasa wa Tanzania wanakula wapi bata? Je, ni suala la muda kabla hawajaibuka kina Epstein na Diddy wa Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy. Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao. Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
  4. secretarybird

    Msemo "mi nakula bata" ulinifukuzisha kunako dhehebu la sabato miaka kumi (10) iliyopita

    Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao. Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'. Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu. Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili...
  5. ChekoFagia

    (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  6. K

    Niko Babati Manyara, nipeni chimbo la bata

    Niko babati Manyara... nipeni chimbo la bata
  7. Common Folk

    GE2025 Kuhusu Mbowe kwenda CHAUMA, Bwege alishasema: "Amewatanguliza Watoto Kama Bata"

    Akina Yericko Nyerere na James Mbowe ndiyo watoto wenyewe, tena watoto wa karibu sana, mmoja akiwa mtoto wa damu. Ukiona wametangulia hao, jua baba yao yuko nyuma anausoma mchezo, wakifanikiwa basi naye atakuja kwa speed ya chopa.
  8. Vhagar

    NADHARIA Bata huendelea kuota manyoya mengine wakati akinyonyolewa

    Wakuu naomba kufahamu ukweli kuhusu ili. Ama ni imani tu tulionayo kutokana na kwamba bata huwa na manyoya mengi sana.
  9. K

    Majaliwa na Mpango hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi

    Majaliwa na Mpango ni Bata Vilema kwa sasa. Wapo wapo tu hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi. Kitu ambacho wamefanyiwa sio vizuri kwa taifa kuwa na viongozi ambao hawasikilizwi kwasababu watu wanajua hawatakuwepo
  10. B

    Nyama ya bata ni nyama nyekundu au nyeupe?

    Vipi kuhusu faida zake za kiafya ukiachilia hizi za kwenye google. Mzoefu wa nyama ya bata please funguka
  11. N

    Ofisini mkiwa na boss anayependa bata mnapata hela

    Ukweli ndo upo hivyo mkiwa ofisini au kwenye duka au popote unapopatia maokoto mkiwa na boss mjanja, akiishiwa anaumiza akili mfanye nini mpite wapi mpate pesa. Ila mkiwa na mkuu ambaye mkoloni mla ugali wa muhogo na dagaa daily ambaye mshahara wa mwezi uliopita bado anao na posho ya week...
  12. Mshana Jr

    Uzi wa vyakula tu

    Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23]...
  13. Isenye

    Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

    Wakuu wa humu heshima yenu! Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania. So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko. Niko safarini, na...
  14. X

    Hivi nyinyi wadada mnaopost picha mkiwa viwanja mnakula bata na mitoko ya gharama hizo picha huwa mnapigwa na akina nani?

    Tukizungumzia hasa mitoko ya dating. Inafahamika wengi wenu huwa mnapigwa foto na washikaji zenu ila cha ajabu huwa hamuwapost, mnajipost wenyewe tu. Jiulize kwa nini mwanamke hampost mwanaume wake hata kama kuna picha ya pamoja walipiga wakiwa dating? Hapa ndio ujue wanawake ni matapeli...
  15. Chibike

    Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

    Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia, hapo hata personal hygiene yake ni mbaya.. Napenda sehemu ambazo za kistaarabu kuna pisi kali sawa ila...
  16. Yoso

    INAUZWA Nauza Bata Mzinga na Kuku aina ya Brahma

    Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381
  17. The ice breaker

    Huu mwaka ni wa kula Bata tu

    Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena . Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha yenyewe mafupi haya , time yoyote unaweza ukakata moto na pesa zako usifaidi wa kafaidi wengine ambao...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 CHADEMA nayo naona ina mfumo wa kulindana. "Kunya anye Kuku akinya bata Kaharisha"

    Hamjambo wote Bila Shaka. Lissu amezidi Kuonyesha rangi halisi za CHADEMA. Kwa kweli Watanzania wengi hawakutegemea haya wanayoyaona kwenye Chama hiki. Lissu hacheki na wowote. Lisu hana mawe mawili ya Kupimia. Yeye Mla Rushwa na CHADEMA ni sawasawa na mla Rushwa wa CCM. Wote ni wla Rushwa...
  19. secretarybird

    Huyu bata jike unamfananisha na mshangazi gani humu JF?

    Huyu bata pichani hapa chini anajifanya yeye ndo yeye kama baadhi mishangazi ijifanyavyo humu JF. Unadhani huyu bata anasadifu tabia ya mshangazi gani humu. Binafsi naona huyu bata kakopi na kupesti tabia za BRAZA CHOGO na BICHWA KOMWE - .
  20. Yoda

    Nyama ya bata tamu kuliko kuku ila adimu sana

    Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
Back
Top Bottom