basi

  1. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenitesa nasema sasa basi

    Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Palestina imeshatambuliwa na mataifa 147 zamani na haijasaidia chochote.Huu utambuzi wa nchi za Ulaya na Canada ni ujanja mwengine basi, wa maangamizi

    Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu. Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana. Habari hizo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Miili ya wanafunzi 6 waliofariki kwa ajali ya basi yaagwa leo, Mbeya

    Mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, wamejitokeza katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Chalangwa, kuaga miili sita ya wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo, waliopoteza maisha kwa kugongwa na basi wakiwa mazoezini majira ya saa kumi na moja alfajiri siku ya Jumamosi, Kijiji cha...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uwezo mkubwa unakupa sex nyingi ila pia sex nyingi inaua uwezo mkubwa. Kwa kuwa sex ina uwezo wa kuumba basi hivyo hivyo ina uwezo wa kuua.

    Its a blessing and curse in between. Utapiga style hii, kesho itakukumbusha haujapiga style hii, kwa hio, huyo nduki unamtumia nauli aisha. Ni nishati ya kipekee ambayo imeshikilia hatma ya maisha ya mwanamke na mwanaume, ni nishati ya kipekee ambayo itatafsiri stori ya mtu iliobaki katika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Julai 31, Rais Samia kuzindua bandari kavu ya Kwala, malori kuingia mjini sasa basi

    Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala. Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi

    Ujumbe huu uwafikie wenye mamlaka wa kutoa maamuzi juu ya usafiri wa Mwendokasi. Hali ilivyo sasa inatisha na kuzidi kuwa mbaya siku hadi siku kutokana na kuwa na mabasi machache yanayofanya kazi. Hali hii inalazimu watu kukaa zaidi ya saa moja hadi mbili kusubiria magari machache hayo ambayo...
  7. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Unafuga kuku? Basi hii ni kwa ajili yako!

    Badilisha kutoka kwenye daftari na kalamu sasa unaweza: ✅ Kurekodi gharama zote za mradi ✅ Kupata ratiba ya kulisha kuku kulingana na umri na idadi ✅ Kukumbushwa siku za chanjo Usibaki nyuma kwenye teknolojia. Pakua Fuga App sasa kwenye Playstore na uanze kufuga Kijanja Zaidi!!!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Unabii: Mkiyaona haya, basi inueni vichwa na kumtukuza Mungu

    Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu. 1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa 2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama kocha Fahdu Davis Kapendekeza Deborah Mavambo aondolewe Simba basi hata mm namzidi uwezo wa kufundisha

    Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo. Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana...
  10. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli ninayosikia basi nchi inaelekea kupona

    Leo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni. Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula kuna mmoja katia chakula chumvi na ndio maana chakula hakikuliwa hivyo wageni wakaondoka kurudi...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je Mdude Nyagali ndo basi tena? Ishakubalika kuwa ameuawa?

    Aiseeeeee..... Hii nchi. Hatari sana. Mi nitakuwepo kwa siku 5 kabla sijaondoka kurudi huko Duniani. Suala la Mdude Nyagali ndo lishaisha sasa?
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama Polepole yupo nchini, Basi atakua kwenye Moja ya Kambi ya Wazalendo wa Taifa Kwa Mujibu wa Katiba yetu !!

    Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini . Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa. Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama wangekuwa wanapitia CCM basi chama kingekuwa kilishakufa zamani

    Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani. Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama kukomaa kimekomaa zaidi ya CCM ni vile tu serikali haitaki kuruhusu uchaguzi huru maana hata wanachama wa...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  15. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Watu wa karibu wasimulia chanzo cha kifo cha Daktari Magreth huko Kilimanjaro

    Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia. Kwa kifupi iko hivi , Mzazi wake Dr Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya yote. Magreth alishampeleka mchumba wake nyumbani kwa mzee wake akamkataa na alimgomea mara kadhaa...
  16. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wafalme na Watawala wabaya ili wafanye watakavyo, huanza kwa kuchafua hekalu

    Askofu Bagonza akihubiri katika Ibada ya kuweka Wakfu Vifaa na Alama za Kanisa zitakazotumiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga, amesema. Wafalme wabaya na watawala wabaya ili wafanikiwe, huwa wanaanza kuchafua hekalu. Hekalu likishashachafuka na kudhoofika, unabii hukoma, na wafalme...
  17. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Bodaboda anaswa akiendesha basi la abiria

    Polisi mkoani Morogoro wamemnasa dereva mwenye leseni ya kuendesha bodaboda akiendesha basi la abiria!!!
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mungu akiwapa Nguvu na Ufufuo basi fikirieni hii Kauli Mbiu iwe ni Nuru ya Uzima kisiasa "Hasta La Victoria Siimpre"

    Kwa uchache niseme siasa zenye ushindani ni Nuru ya Uzima wa afya na akili kwa Taifa na jamii yeyote hapa Duniani. Sidhani kama ni afya chama Dola kukosa siasa za upinzani, basi ikawe neema yake Mungu pamoja na kwamba mimi si mwana CHADEMA, bado nina haki ya kuwa na utashi na akili ya kuelewa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya fuatilieni haraka tayari Basi la KIDINILO limeshaleta Maafa huko Ubena Zomozi na nasikia kuna Taarifa si nzuri

    Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wataliban wa Mbagala basi wakiona hii picha wanapepesuka balaa

Back
Top Bottom