basi

  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iran yasema Israel ikisitisha mapigo basi itarudi kwenye meza ya mazungumzo ya kuacha manyuklia

    Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi. -------------- In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept...
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

    Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu. Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili. Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya watu wanaotumia nguvu ya watu walio nyuma yao kufanya watakavyo. Nchi inatakiwa kupambana na mambo...
  3. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Bila shaka hizi social media zimefungwa Tanzania? (Facebook, Whatsapp & Instagram), au lah!! Basi ni tatizo la kiufundi

    WanaJF habari za wakati? Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

    Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

  6. Mhaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba anaichora tu Yanga, TFF na Bodi ya ligi. Wasipoleta Timu Tarehe 15 Basi Simba lazima adai point 3 mezani au agome endapo kanuni hazitafuatwa

    Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa point 3 za mezani nae anagoma mpaka haki itendeke. Ikumbukwe tayari mamlaka za mpira Nchini...
  7. Leejay49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

    Habari ya Jumatatu waungwana.. Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi.. Sasa buana huyu bidada alitongozwa...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuteka, Kuua, Kubaka na Kulawiti Kibiblia ni Dhambi. Kama Makanisa yanafungiwa wa kukemea dhambi basi Ukristo Umeshambuliwa na upo hatarini Tanzania

    Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi. Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa Ukristo unashambuliwa rasmi nchini Tanzania. Huu ni wakati Wakristo wa Tanzania wanapaswa kusimama...
  9. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ukataji wa miti sasa basi, REA yarahisisha upatikanaji wa gesi vijijini

    UKATAJI WA MITI SASA BASI, REA YARAHISISHA UPATIKANAJI WA GESI VIJIJINI Imeelezwa kuwa, mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku katika maeneo ya vijijini na pembezoni imelenga kuchochea, kuwezesha na kuboresha upatikanaji wa huduma za nishati safi ya kupikia ili kuchochea...
  10. saidoo25

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ukiwa mkweli ndani ya CCM, Mambo 4 yatakukuta - Humphrey Polepole

    BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno. “Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama wafuasi wa Gwajima wataendelea kukaa hapo kanisani mpaka asubuhi, basi hakuna haja ya kuendelea kuwa na kamanda wa FFU Dar

    Duniani kote, hata Marekani, unatii kwanza amri ya mamlaka, kama huridhiki nayo kuna hatua za kuchukua. Dar Ina kamanda wa FFU, kama anashundwa kudhibiti kagenge ka watu 200,na haombi msaada mikoa jirani. Aachie kiti hicho apewe anayestahili. Ni hawahawa walienda kyimba central police enzi ya...
  12. Echolima1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Ufaransa Ina huruma na wapalestina basi iwape eneo la Riviera waishi huko - Mike Huckabee

    Balozi wa Marekani nchini Israel Mike Huckabee anasema "haifai" kwa Ufaransa, au mtu mwingine yeyote, kulazimisha "taifa la Palestina" kwa wakati huu ambapo Israel watu wake 1,200 waliuwawa na wengine kutekwa nyara na magaidi wa Hamas Aliongeza kuwa ikiwa Wafaransa wana huruma sana juu ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kama Tumbili alishindwa Kutuelewa Basi Atamuelewa Professa Abel

    Kuna Kiongozi moja WA PPP ambaye aishi kuendeleza wimbo wa PPP kama ndio dawa ya matatizo yetu bila kuangalia tumetika wapi , tupo wapi na tunaenda wapi. Kama Prof anavyozungumzia.
  14. Hyrax

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila nikivutiwa na mwanamke nikimtongoza basi lazima awe mchaga

    Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami.. Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje...
  15. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Kama Hili Ndio Neno Kalitamka Mh. Rais, Basi Hii Ndio Maana Yake...

    Majdhub ni taahira
  16. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania Kama Gwajima Ndiye Mtetezi wa Haki, Basi Fisi Ni Mlinzi wa Kondoo

    Katika dunia ya hoja na mantiki, ni kweli kwamba ujumbe ni muhimu kuliko mjumbe. Lakini je, kila mjumbe anastahili jukwaa? Mbona si kila njiwa huleta barua njema; wapo wanaoruka wakiwa wamebeba hadaa na uzushi. Gwajima ni baba wa ahadi zilizoharibika kabla ya kuzaliwa. Aliwahadaa wananchi wa...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Daah, leo nilikuwa na hamu ya wine Four Cousins-Ndio basi tena

    Huku kuna baridi sana, Nimepita dukani nikachukua Four Cousins nipige. Baadae nakumbuka ninatumia Cold-Off Capsule. Daah basi bwana
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada. Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
  19. Consigliere

    JamiiForums Tanzania Kama hili la Wakenya kujipanga kuwaomba msamaha Watanzani ni kweli, basi hilo ni tusi kubwa sana kwetu

    Leo mapema tu nikiwa natoka zangu Nakuru to Nairobi along the A104 highway (Nairobi-Nakuru Highway), nilipofika pale Kayole pande za Naivasha nikaona ninunue some drink and bites za kunipa company kwenye kasafi hako ambako si karefu ni kama Kanakaribia umbali wa Dar mpaka Moro. Nikaingia...
  20. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Tunafurahia ushenzi?. Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena

    Tunafurahia ushenzi? Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena. Msitake wajivike ustaarabu ushenzini. Regardless ya kiwango cha ushenzi watakachokionesha kama muitikio wa ushenzi waliooneshwa.. UShenzi haufurahiwi...
Back
Top Bottom