Basi la Kandahar (Karagwe-Moshi) laungua moto huko Karagwe

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,010
Reaction score
6,766
njkhj.jpg

Kuna taarifa kuwa basi la KANDAHAR toka Karagwe to Moshi limeungua huko Karagwe,
Tunaendelea kufuatilia ili kuwaletea taarifa kamili, Ila tuwaombe wenye ndugu zao ambao wamesafiri leo kutokea Karagwe na bus la kampuni ya KANDAHARI mjaribu kuwatafuta kujua hali zao!
 
View attachment 1829173
BREAKING NEWS!
kuna taarifa kuwa basi la KANDAHAR toka karagwe to moshi limeungua huko karagwe,

Yutong au zhongtong la kichina
 
Ku
View attachment 1829173
BREAKING NEWS!
kuna taarifa kuwa basi la KANDAHAR toka karagwe to moshi limeungua huko karagwe,
Tunaendelea kufuatilia ili kuwaletea taarifa kamili, Ila tuwaombe wenye ndugu zao ambao wamesafiri leo kutokea Karagwe na bus la kampuni ya KANDAHARI mjaribu kuwatafuta kujua hali zao!
Kufilisika kwa kampuni panaanziaga hapo. Mabasi ya kichina TBS mko wapi?
 
Hivi lifespan za haya mamichina zimafikisha miaka 7 kweli?

Kuna Scania tangu naipanda nikiwa mdg mpk leo si chini ya 20yrs na bado inadunda tuu, ni rangi tuu ndio inapakwa...

Haya ma ZongTong unalinunua likiwa 1st class baada ya 5 yrs ni 3rd class.
Tena hiyo mi5 umelitunza kweli
 
Back
Top Bottom