basi

  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kama hauuzi basi usiinadi sasa rafiki

    KAMA HAUUZI BASI USIINADI SASA RAFIKI Kama sehemu zako za..sio njia yako namba moja ya uchumi basi acha kujinadi. Naam kila mwanamke anapata pesa kupitia huo...wake Penginepo kwa kuhongwa ama kupata huduma kwa mume wake. Akimhudumia kama mke Lakini kama wewe hutumii sehemu zako hizo kama...
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukibaini umekosea chaguo/njia basi usiogope kuanza upya.

    Ukibaini umekosea chaguo/njia basi usiogope kuanza upya, maana hata watu sahihi au wema hukosea chaguo kwasababu ya ubinadamu walioumbwa nao au wamesababishiwa na mtu Mahusiano yanatakiwa yawe daraja la maisha yako wala si ukuta wa kufupisha au kuharibu maisha yako. Ukiona mahusiano uliyonayo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hoja ya ratiba kubana haina mashiko! Basi hakuna haja ya kusajili wa

    Ebu tuingie Kwa undani Kuhusu malalamiko ya timu kulalamika kuwa ratiba inabana Kwa kucheza Michezo baada ya siku 3. Kila Timu inatakiwa KUSAJILI wachezaji 30. Wenye mpira Wao sio wapumbavu kwa kutaka kila Timu isajili hiyo idadi ya wachezaji. Inapotokea Timu KUSAJILI idadi ya wachezaji chini...
  4. Suma lee mzazi

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kila siku unapata Furaha basi hutoona thamani ya furaha

    Kawaida ya binadamu kitu chichote ukikipata kwa wingi na kwa urahisi basi thamani yake hutoiona, mpaka siku hiyo neema ikutoke. Mfano mzuri Yanga ilikuwa ikishinda goli tano tano mara nne nne mashabiki ilikuwa ikitokea wameshinda moja au mbili wanalalamika, hawakujua ile ni neema tu. Leo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Wale wenzangu na Mimi wa kutafuta green card ndo bas tena baada ya Trump kushinda
  6. L

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Baada ya trump kuingia madarakani wale wenzangu na Mimi wa green ndo basi tena
  7. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Ikibainika Wanao hujumu miundo mbinu ya SGR wahusika katika kijiji husika basi Kifutwe!!

    Kama kichwa cha habari, Naiomba serikali na Wizara husika ikibainika miundombinu imehujumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe. Hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  9. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Uliye kuwa unatoka na Ex- wangu please mjali kuwa nae busy basi

    Master ulie mdanganya uyo mdada mbona penzi lenu limefifia mapema ivyo nyodo zote alizokuwa nazo mbona hana kisa nini nilivyo amua kumpuuza au? Inasikitisha Sana mpenzi wa mtu unampigia ex wako unamwambia "moyo wangu Leo unaniuma Sana uko salama uko ulipo". Hivi hana watu wengine wa kumufanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania AZAM TUNAWAPONGEZA KWA USHINDI, GSM AWEZI KULAUMIWA LEO KUWA ANAHARIBU LIGI KWA KUWA YANGA KAPOTEZA, BASI TUISHI HUMO!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Azam tunawapongeza kwa ushindi, GSM awezi kulaumiwa leo kuwa anaharibu ligi kwa kuwa yanga kapoteza, basi tuishi humo!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  13. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Basi la abiria akutwa na leseni ya Pikipiki

    Jeshi la polisi linamshikiria dereva wa basi lenye namba za usajili T622 EFG linalofanya safari zake kutoka jijini Mwanza kwenda Morogoro kwa kosa la kukutwa na leseni ya pikipiki ili hali akiwa ni dereva wa gari la abiria. Hayo yamebainishwa na kamanda wa kikosi cha usalama barabarani DCP...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Basi la Klabu ya JKT Tanzania lapata ajali, Wachezaji 12 wapo chini ya Uangalizi

    Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine. Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
  17. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hivi ndani ya basi kuna wafanyakazi wa aina ngapi?

    Wadau hebu nielimisheni maana kibongo bongo huwa sielewi magari yetu na utaendaji kazi wao Ukiacha dereva hawa wengine nasikiaga tu kuna tingo, kondakta, tandiboi, mara meneja nk
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya "Drone" na zana nyingine za kiupelelezi pamoja na ndege zenye teknolojia za hali ya juu sana, zinafanya mfumo kupigana vita ubadilike

    Vita ya Ukraine na Urusi na sasa mashambulizi ya Israel huko Gaza na Lebanon, imethibitishwa pasipo shaka kuwa aina za kizamani za zana za kivita, hazina msaada mkubwa kwa sasa. Matumizi ya "Drone" na zana nyingine za kiupelelezi pamoja na ndege zenye teknolojia za hali ya juu sana, zinafanya...
  19. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Dancing ingelipa kiasi hiki basi Moze Iyobo na Angel Nyigu wangekuwa mabilionea

    Tuache masikhara na maisha, watu wamecheza sana kiasi kwamba huyu anayejiita Chino kid hafiki hata nusu, hata akisema anaimba, watu wameimba sana, kina Jay melody, Ray vanny mwenyewe mpaka kufikia hapo ameshasota sana na hajapata mafanikio ya ghafla na haraka, amefanya mziki tukiwa tunamuona...
  20. Nanamucho

    JamiiForums Tanzania Nyie Kuna wazee wanaswaga,Vijana mkasome

    Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹 Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza...
Back
Top Bottom