basi

  1. Nanamucho

    JamiiForums Tanzania Nyie Kuna wazee wanaswaga,Vijana mkasome

    Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹 Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza...
  2. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Giza linapoingia basi nyota huonekana

    Msemo huu upo hapa kukutia moyo katika maisha yako na jitahidi kuukumbuka mara kwa mara unapokuwa katika nyakati ngumu za maisha (when it gets dark the stars come out) Msemo mwengine ambao unashahabiana na huo ni "ukiona kiza kinazidi ujue kunapambazuka" huu ni ukweli ulio wazi kabisa pale...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakiona hii picha basi roho zinawauma sana. Na bado sana.

    Endeleeni kujitoa mhanga na itikadi zenu za kitapeli.
  4. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Basi lenye ushawishi na uhakika wa kusafirisha mizigo midogo

    Nina muda kidogo nimekuwa mteja wa mabasi kwa kusafirisha vifurushi na mizigo midogo kutokea Arusha kwenda Dar na Morogoro, nimebaini mapungufu mengi na ubora wa huduma kati yao, the best nime baini ni kampuni ya BM ni seme kwanini: 1.Wao hawalazi mizigo na vifurushi endapo kuna basi la...
  5. Sodoku

    JamiiForums Tanzania Abd Al Kareem Qassim ataka yeshe, Israel muwe na ubinadamu basi. Deputy Commander wa Quads auawa

    Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani itawale. Viongozi wa Hezzbollha,Hamas and the likes hawataki kupandishwa vyeo kwa sasa. Hawataki...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama ni wapenzi na mnafichiana simu basi hampendani

    Achana na hizi kauli kwamba usishike simu ya mumeo/mkeo ikiwa unataka kulinda penzi..hizo ni kauli za watu malaya au wasio waaminifu kwenye mapenzi yao.kimsimgi kama mnapendana na mwenzako inatakiwa hata akusaidie kuchart kwenye ma group funny kama ya classmate..yaani kama umechoka na unaona...
  7. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania ERIK TEN HAG kama ataondoka Man United basi itakuwa wameamua kumuondoa tu!

    Bado mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama shida ni kocha, TEN HAG anaweza kuwa kuwa sehemu ndogo sana ya tatizo lililopo Old Trafford kwa sasa! David Moyes kapita hapo na alitoka Everton akiwa bora sana, Louis Van Gaal amepita hapo akiwa na Uholanzi tishio Duniani, Jose Mourinho ndio hakuna...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kama hatukumuelewa Hayati Mkapa basi tumuelewe Dkt. Dotto Biteko, tuache wanaoijua siasa waicheze na tujitume kufanya kazi

    Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi . Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo . Kama kuna watu...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sawa mnapoamua kukataa ndoa na ku-embrace u-bachelor basi msianze tena kusumbua wake za watu bakieni na mishenitauni wenzenu

    Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie. Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini. Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Binti kusafirishwa akiwa amefungwa Kamba kwenye basi Katavi – Moro, Polisi yatoa ufafanuzi

    Jeshi la Polisi mkoa Morogoro limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Binti anayesafirishwa akiwa amefungwa kamba kwenye basi la Happy Nation 519 DXH inayotokea Katavi Mpanda kwenda Morogoro ambalo limeondoka Dodoma asubuhi ya leo Oktoba 2...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hawakuona "vimondo" vya Iran vikikung'uta Israel basi ushahidi mzuri uko katika video hizi.

    https://www.youtube.com/watch?v=O1isnJKJtVQ&ab_channel=Bobby%27sPerspective
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni lipi Basi zuri la VIP la kwenza Mwanza kutoka Dodoma

    Naomba kujuzwa basi zuri la VIP la kutoka Dodoma hadi Mwanza lisilo na mwendo mkali. Ni mara ya kwanza kuelekea jiji la Mwanza.
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni lini Mchungaji Msigwa atafikishwa mahakamani na Mbowe ?

    Naona bado anaendelea , au sio post yake ? Au wanajuana madhaifu yao ? Au anazo bilioni 5 ?
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kila mtoto anayekupa hela anakuwa ni Malaika kutoka Mbinguni?

    Kwahiyo kumbe hata Mimi GENTAMYCINE nikienda Kuwatembelea Marafiki zangu wakubwa hapa JamiiForums akina Mtani wangu Arovera, mrangi, Bila bila, SAGAI GALGANO. rodrick alexander na Mjeda wangu wa 521 Lugalo King Kong III na Watoto wao wakija kunipa Hela basi moja kwa moja natakiwa Kujisifu na...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi ni aidha amechanganyikiwa au ni kazi ya mizimu na miungu wa watu aliowaumiza

    Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao) Pia inaweza kuwa kazi ya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mwanzo nilijua ukiwa tajiri basi umejiepusha na kero ndogo za serikali kumbe tabu iko palepale

    Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini unakutana na kero ya barabara mbovu, mashimo na foleni Unakimbia kero ya kupanga unaamua kujenga nyumba...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

    Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine. Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naogopa sana kuna Mtu akijifanya tu anakupenda au anakusifia basi jua muda wowote tu anaenda Kukutumbua

    Nakumbuka mno Waziri Mmoja aliposifiwa kuwa anajua Kuzungumza na Kupambania Jambo na Kesho akatumbuliwa. Na mpaka sasa haamini kwani alikuwa ameshaota Mapembe tayari huku akijiamini kwakuwa ana Waganga wazuri wa Kwao na alikuwa akimsaidia katika Umafia fulani ila akaliwa nae Kichwa mazima.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Mabalozi wa Kigeni walioko Nchini hatuwaamini kwa lolote ila tunawaamini Marais wao basi nasi tuwaondoe Wetu Makwao na tujiwakilishe Kibinafsi

    Yaani kama Mtu mzima hadi sasa hujajua na hujui kuwa Balozi ni Mwakilishi namba Moja wa Rais wa Taifa husika nchi fulani na kwamba kila Siku au mara kwa mara huwa wanafanya Mawasiliano ya moja kwa moja basi utakuwa si tu labda huna Akili lakini pia upo hapo ulipo kwa bahati mbaya au Watu...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

    Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike. Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!! Haya pokea. Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Back
Top Bottom