Tofauti na waziri wake wa ulinzi,Hegeseth,Trump yeye hajivungi tena kuhusu kushindwa vita alivyovianzisha na Iran.
Wakati wa mahojiano hapo jana na mashirika ya habari.Trump amerudia kwa mara nyengine kusema kuwa nchi zinazounda umoja wa NATO ni kama chui wa karatasi tu.Akawapa mipasho kama ile...
Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu
Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.
Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia...
Wezi kila siku wanabuni mbinu pya ili kutimiza nia zao ovu, huyo kwenye video alijidai mfanyakazi wa basi la Abood na kudai tiketi kisha iliyokuwa kwenye simu akajifanya anaenda kukagua akaondoka na simu
Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa.
Kuna hawa watu wanafunga na wakiona watu wanakula wanakasirika au wanawapiga na kuwauwa basi hao wanahinda na njaa wamebadilisha mda wa kula.
Yule anaye funga kwasababu ya kuwaombea...
Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai.
Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12.
Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo?
Nchi kubwa namna hiyo...
Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu.
Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
Jambo nalowahakikishia kama Mh Polepole , Balozi, alifika Nchini hawakujua, Kakaa miezi yote hiyo hawakujua, Utasema wana INTELIJENSIA??.
Bisho Gwajima Kakaa Dar , muda wake wotee huo mpaka Leo hii, hata hawajui anapolala ,licha ya wao KUMFATILIA sana usiku na mchana , Utasema wana...
Hio sio list ya nchi zenye vita ambazo watu wake huombea siku iishe salama hata wakikimbilia milimani.
Hizi ni nchi ambazo hata kama hakuna vita ni ngumu kuishi, kujitegemea inabidi uumize sana ubongo , hawa ndio watu ambao wakitoka hata nje ya nchi kwenda nchi zisizo na mikiki wanasifika kwa...
Hii ni argument ambayo itakubidi upate experience kubwa ya kuitazama sana siasa kwa jicho la tatu, ndiyo utagundua kwamba ni argument ambayo ni ukweli kwa asilimia 99%.
Mwaka 2010 nilipoenda pale UDSM, siasa za serikali ya wanafunzi na wanaharakati zilikuwa zinatawaliwa sana na vijana wa...
Wakuu,
Kaeni karibu na uzi huu ili mpate updates ya kinachoendelea leo kwenye kesi ya leo
Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani lakini Majaji na Mshitakiwa bado hawajaingia.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amefikishwa tena kizimbani tayari kwa kuvaana na mashahidi wa upande wa...
Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua...
Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao.
Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
Porsche Cayenne ya 2020+ ni kali kimuonekano sana.
Mchawi ni bei, ya moto hatari. Pamoja na kwamba ni used bila $36,000 ngumu kupata.
Hapo bado ushuru TRA, na running cost zake ni zamoto.
Sasa kama umependa “muonekano” (sio brand) unaweza ukaicheki Honda CR-Z kwa nusu bei.
Latest kabisa...
Kila nikifikiria hili swala la Maduro kunyakuliwa usiku wa maanane ikulu ,basi bila shaka alikuwa hawaamini "My fellow county men" mpaka akaamua kuwakodisha wa Cuba kama Walinzi wake.
Sasa wa Venezuela wenzake wakaamua "kumuuza" kwa bei ya jioni kabisa kwa Baba Baron 😂😂😂.
Nyota wa soka wa Senegal, Sadio Mané, aliwahi kufichua ukweli wa safari yake yenye maumivu, upinzani na ndoto kubwa kabla ya kufanikiwa katika soka la dunia.Mané anasema kuwa akiwa mdogo, mama yake alimwambia wazi kuwa kucheza mpira ni kupoteza muda, akiamini kuwa hakuna njia ya mtoto wa...
Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana.
Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao.
Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa kwa vile kwao ni mkoa mwengine.
Baada ya kuanzishwa facebook mpaka ilivyoanza kuingia kwenye simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.