bashungwa

Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian Minister of Industry and Trade and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015. He was appointed Deputy Minister of Agriculture by President John Magufuli on 10 November 2018. On November 13, 2018, he was sworn in as Deputy Minister.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

    Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bashungwa, John Paul Wanga hafai kuendelea na ukurugenzi, ukiacha Jimbo la Musukuma, mradi wa viwanja Buwelu East alitapeli,Waziri wa ardhi fuatilia

    John Paul Wanga, ni sehemu ya ukoo wa magufuli, amelalamikiwa sana na Mbunge Musukuma kwa ufisadi katika halmashauri yake, lakini alipokuwa Ilemela, kilikuwa na mradi wa Buswelu East wa viwanja, walitapeli kwamba watapeleka barabara,maji, umeme, vyote havipo, na tunaambiwa Hela nyingi...
  4. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Tamisemi ndani ya Bashungwa

    Aisee kama ni kipele kimempata mkunaji, Bachungwa najua kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utaimudu, uko serious sana mzee hasa pale unapokabidhiwa jukumu na mkuu wako, ni mtu unayeongozeka mzee baba! Watanzania tumepata dume .....Ila wejamaa sijawahi kukuona unacheka! Mwenye kapicha Bashungwa akicheka...
  5. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

    Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo. Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040. Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

    Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho. Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi. Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akamatwe kwa kuchezea Fedha za walipa kodi

    Hii nchi tunashindwa tuiweke kundi gani, kundi la masikini au tajiri? hivi huu ufujaji wa hela mnauelewa kweli yaaani stars kushinda mechi moja tu hata bado haijafudhu waziri anatoa hela anagawa kwanini usitoe zako mfukoni, haya mambo ndio yanafanya tuendelee kukwepa kodi na tozo
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali (Waziri Bashungwa) tafadhali toeni tamko lenu la kimamlaka kuhusu ''Uhuni'' unaendelea kufanywa na klabu ya Yanga

    Sasa ni Mwezi unakatika kila ukiamka tu ni lazima ukumbane na Makundi mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga wakisema kuwa hawatocheza Mechi yao na Simba SC iliyopangwa Kufanyika tarehe 3 July, 2021. Kila hawa Wapuuzi na Wahuni (Yanga SC) kupitia Makundi yao Kuanzia Msemaji wao Mshamba ( Mbwiga )...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

    Ukweli ndio huo. Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa. Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA. Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa. Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
  11. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa hutoshi!

    Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana. Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pambano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzee Ruksa. Tatizo langu liko hapo! Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wizara ya habari kuchunguza tukio la DED wa Temeke kuwaweka chini ya ulinzi waandishi kwa kufika kwenye kikao chake bila mwaliko

    Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya wanahabari hao kufika kwenye kikao cha wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi Tatu na Mkurugenzi huyo...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea afika Wizara ya Habari Kuonana na Waziri Bashungwa kuitikia wito wa Rais wa kufungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa kibabe

    Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe . Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungua milango ya majadiliano kwa magazeti yaliyofungiwa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa, linahusu televisheni za mtandaoni pekee. Hata hivyo, Bashungwa ameeleza leo Jumatano, Aprili 7 2021 kuwa Serikali inafungua milango...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa jiuzulu kuepuka laana inayomnyemelea Dkt. Hassan Abbas

    Tahadhima kwenu wanabodi Naomba kutumia sikukuu hii ya Mapinduzi kumpa ushauri usiolipiwa kwa kijana Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Innocent Lugha Bashungwa kama anataka kuendelea kubaki kwenye ulingo wa siasa za Tanzania. Wizara uliyopewa ni nyeti na "ngumu kumeza". Ni wizara...
  16. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa unakwama wapi? Wafanyabiashara wa mafuta hawawezi kuichezea Serikali hivi

    Sana JF. Wafanyabiashara ya mafuta ni dhahili kwamba Serikali kuoitia waziri wake pamoja na taasisi yake EWURA wameshindwa kutimiza wajibu wake, Dar sasa haina mafuta, ikitokea la kutokea mji mzima hakuna mafuta. Bagamoyo road yote karibu Sheri nyingi zimegoma kuleta mafuta. Watanzania wengi...
  17. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Tanzania kuingia Uchumi wa Kati itavuta wawekezaji wengi

    Serikali imewataka Wananchi kuendelea kupenda bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya hapa nchini kwani chanzo cha nchi kufikia uchumi wa kati ni pamoja na wananchi wake kupendelea bidhaa ambazo wanazizalisha wao kama wao, na mafanikio yametokana na juhudi za watanzania wote wakiongozwa na Rais wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Tatizo la sukari limekwisha tumepokea tani 20,000 kutoka Uganda wafanyabiashara wazingatie bei elekezi

    Waziri wa viwanda na biashara mh Bashungwa amesema tatizo la sukari sasa limekwisha baada ya shehena ya tani 20,000 kupokelewa jijini Mwanza kutokea Uganda. Bashungwa amewataka wafanyabiashara kuzingatia bei elekezi na atakayekiuka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake. Source: Star...
  19. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage: Mimi ni 'propagandist' niliyesomea China. Aagiza tani 20,000 ya sukari bandarini itolewe

    Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema nchi ina sukari ya kutosha na kilichojitokeza ni propaganda ya watu wasioitakia mema. Akihitimisha hoja ya bajeti ya wizara yake ya mwaka 2018/19 leo Mei 11, 2018 bungeni, Mwijage amesema tayari ameagiza Shirika la Viwango...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nawahurumia sana waziri wa afya Ummy Mwalimu na waziri wa Sukari Innocent Bashungwa kwa sababu huu ni mwaka wa uchaguzi!

    Unaweza usielewe sasa lakini huko mbele ya safari utaelewa tu, hawa mawaziri wawili wamekalia kuti kavu. Katikati ya Corona sukari imeadimika madukani watu wanalazimika kusongamana bila kupenda wakiitafuta sukari. Sisi tulioishi wakati wa vita vya Kagera tunaamini Corona ni vita na hali ya...
Back
Top Bottom