Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian Minister of Industry and Trade and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015. He was appointed Deputy Minister of Agriculture by President John Magufuli on 10 November 2018. On November 13, 2018, he was sworn in as Deputy Minister.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano...
SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIKOSI VYA JESHI: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi na kuboresha miundombinu mbalimbali kwenye vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amekabidhi magari matatu ya Zimamoto (Mitambo) kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000 na Foam Lita 500 kwa kila gari.
Waziri Bashungwa amekabidhi magari hayo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amezindua Bodi ya Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro, Shughuli hiyo iliyofanyika Magadu Mess Mkoani Morogoro, ilihudhuriwa pia na viongozi mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Wizara, Makao Makuu ya Jeshi pamoja na...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) ametembelea Ofisi za Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Dodoma, kwa lengo la kujionea utekelezaji mzima wa zoezi la usafirishaji wa msaada wa chakula kwenda nchini Malawi. Zoezi hili linatekelezwa na Jeshi la...
Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais Samia Suhulu Hassan kwenye misa ya kumuombea Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli leo Machi 17 2023 nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato mkoa wa Geita.
Nanukuu
"Nimepata heshima ya kumuwakilisha mhe. Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!
Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Waziri wa Ulinzi na JKT, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amesema anajivunia kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la msingi katika Shirika la Mzinga.
Ameyasema hayo Disemba 13, 2022, alipofanya ziara ya kutembelea Shirika hilo.
Hiyo ni ziara ya kwanza kufanywa na Waziri Bashungwa katika Shirika la...
Huyu kijana mwenye uhusiano mzuri na watumishi wa nyumba za ibada na na anyeng'aa kila wizara anayopelekwa je ndio afuataye?
Moja ya vipimo vya mtu kujua kama anakubalika ama laa huwa ni kugombea NEC kisha aone kukubalika kwake na wapiga kura.
Kwa kiasi hatua ya kwanza amefanikiwa hivyo...
WAZIRI BASHUNGWA ALIPONGEZA JESHI KWA ZOEZI LA DRAGON FLY
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa Mb) amepongeza mafanikio Zoezi la Kamandi ya Jeshi la Anga lijulikanalo kama ‘Dragonfly’ linalofanyika eneo la Mitwero mkoani Lindi.
Ameyasema hayo wakati...
WAZIRI BASHUNGWA AHIMIZA UTUNZAJI WA UOTO WA ASILI NA MISITU.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Watanzania kutunza uoto wa asili na misitu iliyopo nchini na kujenga tabia na msukumo binafsi wa kupanda miti.
Ametoa wito huo Oktoba 22, 2022...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa ameripoti rasmi Wizarani na kulakiwa na Watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe.
Mapokezi hayo yamefanyika tarehe 04 Oktoba, 2022, mbele ya Jengo Kuu eneo la Mtumba. Mara baada ya...
Na Charles William
Innocent Bashungwa amekua waziri katika wizara nyingi sana ndani ya muda mfupi, kutoka 2018 - 2022 amekua waziri katika wizara 6 tofauti.
2018 Rais Magufuli alianza kwa kumteua kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, mwaka 2019 akamteua kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, kisha 2020...
SERIKALI IMETATUA CHANGAMOTO ZA UBIA NA TAASISI ZA DINI- BASHUNGWA
Eliud Rwechungura - OR TAMISEMI
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeimarisha Ushirikiano na Taasisi na Mashirika ya kidini zinazotoa huduma ya Afya msingi kwa wananchi kwa kutatua changamoto zilizokuwepo baina ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maofisa watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, mkoani Manyara kwa kusababishia hasara na matumizi mabaya ya madaraka.
Waliosimamishwa kazi ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha...
Mbulu wamfurahisha Bashungwa utekelezaji wa miradi
Na Angela Msimbira
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mji wa Mbulu kwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo inayotekelezwa na halmashauri hiyo...
BASHUNGWA AMVAA MKANDARASI WA STENDI YA KATESH - HANANG
OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Kituo kipya cha Mabasi Katesh katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara...
MICHEZO MASHULENI INA NAFASI KUBWA YA KUDUMISHA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - BASHUNGWA
Na OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwekeza kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amepiga marufuku walimu kupita kila Ofisi ya Halmashauri kutafuta huduma na ameagiza wapelekewe huduma hizo shuleni badala ya watoa huduma kufatwa Ofisini.
Ametoa agizo hilo leo tarehe 8 Septemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.