Gereza hili linamfaa Bashite!

Notorious thug

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
2,817
10,594
Wahenga walisema "hakuna marefu yasiyo na ncha" hatimaye mfalme amekua mtumwa mwenye hofu na wasiwasi. Toka asubuhi nimekua nawaza ngome/gereza lipi litamfaa huyu bwana Paul Bashite jibu ni gereza la Maweni Tanga akienda Ukonga pia sawa atakutana na kina Nsembo na wahanga wake wengi watalipa kisasi. Ni hayo tu wana jukwaa "malaika wataishi kama mashetani tumekwisha" N:B Sabaya msalimie Mwakihaba na Tundu masterz!
 
Juzi tu umetoka jela ,umeanza kujisahau .angalia utarudi Tena kwa Mara nyingine!! halafu unashangaa mala analamba uteuzi !!!
 
Wahenga walisema "hakuna marefu yasiyo na ncha" hatimaye mfalme amekua mtumwa mwenye hofu na wasiwasi. Toka asubuhi nimekua nawaza ngome/gereza lipi litamfaa huyu bwana Paul Bashite jibu ni gereza la Maweni Tanga akienda Ukonga pia sawa atakutana na kina Nsembo na wahanga wake wengi watalipa kisasi. Ni hayo tu wana jukwaa "malaika wataishi kama mashetani tumekwisha" N:B Sabaya msalimie Mwakihaba na Tundu masterz!
Sasa unataka watetea wauza unga kama nsebo
 
Hapana Bashite hawezi kufungwa kirahisi hivyo, kipindi cha utawala wake Nchini Darisalama Mateja walipungua sana! kuna haja apewe kitengo kingine anafaa sana. kumpeleka jela ni kupoteza watu muhimu katika jamii.
 
Lipo kule Sana'a, Yemen au sio hilo?! Lile nililomuona correctional officer mnoko Bradley Berrick anachechemea na boxer yake na kufuraia kula nyama ya panya? Kuna Rochero na Scofield, Tbag ndani ila mwamba poa sana Ferdinando Sucre ana assist breakout from outside
Yaaap kama lile walilo igiza ndo linamfaa ale panya, na maji kisoda
 
Back
Top Bottom