barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Chongolo: CCM itaendelea kuweka msukumo kuboresha miundombinu ya barabara na vivuko Kigamboni

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa. Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
  2. Tulia Ackson: Barabara ya Mbeya- Chunya ni zaidi ya majanga

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya matengenezo ya barabara zinazojengwa ili ziweze kuwa imara wakati wote. Akizungumza leo Jumanne Aprili 19, 2022 Bungeni jijini Dodoma ameitaja barabara ya kutoka Dodoma kwenda Iringa kuwa ni janga huku akieleza barabara...
  3. Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  4. Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

    Kwa aina ya Ukaguzi Huu Huyu Kiongozi Wakimbiza Mwenge Anaonekana ni Mkuda SAna. . Ni Kwamba Hajui Kuna Aina Ngapi Za Lami?
  5. W

    Teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara.

    Bw. Joseph Katallah amekutana na uongozi wa Wakala wa Barabara Nchini (Tanroads) na kujadiliana nao kuhusu matumizi ya teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara. Bw. Katallah anashirikiana na Kampuni ya Geopolymer Solutions LLC ya Marekani inayomilikiwa na Bw. Rodney Zubrod ambayo imebuni...
  6. Profesa Kitila Mkumbo: Serikali ipanue barabara ya Dar-Moro-Dodoma ili kupunguza ajali, magari ni mengi kwa sasa

    Serikali imeshauriwa kuboresha na kuipanua barabara ya Dar es Salaam-Morogoro hadi Dodoma ili kupunguza uwezekano wa ajali kutokea kutokana na wingi wa magari yanayotumia njia hiyo kwa sasa. Ushauri huo umetolewa kutokana na wimbi la ajali mfululizo katika barabara hiyo, ikionekana kuwa...
  7. Mamlaka tazameni barabara ya Banana - Kitunda ili iweze kuwa msaada na si kero kwa wananchi

    Wakuu Salaam, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. Barabara tajwa hapo juu amekuwa mwiba mkubwa sana kwa usafiri kwa wakazi wa Ukonga maeneo yanayozunguka Kitunda. Barabara ina hali mbaya sana na inachangia kwa kiasi kikubwa sana kuharibu vyombo vya usafiri vya wakazi wa maeneo hayo...
  8. Kuhusu matukio mengi ya ajali za barabarani, ukiachana na uzembe wa madereva barabara zetu ni changamoto

    Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa. -...
  9. Serikali ijenge barabara za kulipia Dar es salaam ili watu wafike kazini mapema

    Habari! Dar es salaam ina kanda kuu kama nne hivi, KANDA YA GONGOLAMBOTO na viunga vyake, KANDA YA MBAGARA na viunga vyake, KANDA YA MBEZI BEACH na viunga vyake na KANDA YA MBEZI LOUIS/KIMARA na viunga vyake. Serikali ijenge barabara katika kanda hizi. Barabara ziwe za kulipia angalau...
  10. Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022. === Rais...
  11. Usagara mwanza: eneo sqm 4248 linauzwa. Linatazamana na barabara kuu ya Lami, Buhongwa-usagara

    Hello Jf Hili ni eneo lenye mita za mraba 4,248 limepimwa tayari beacon zipo Hati ipo, inasoma Biashara na Makazi Halina tatizo lolote. Unaweza Weka Biashara yoyote unayoona inafaa (KAMA KITUO CHA MAFUTA), YARD YA MAGARI ama ukajenga makazi BEI ELEKEZI NI 160 million Tshs. mpigie mwenye...
  12. U

    Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

    Ni eneo la Mitanga Hakika ni kivutio tosha cha Utalii nchini Hongera Mama Samia Kazi Iendelee
  13. Barabara ya Buhongwa - Sahwa - Kishiri - Igoma imetelekezwa

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Kiukweli inaskikitisha kuonana barabara muhimu kama hii ya kuķtoka buhongwa mpk igoma ikiwa imetelekezwa. Mbunge wetu wa nyamagana nae yupo kimya tu. Barabara ina mahandaki hatari sehemu ya kwenda kwa dakika 5 unatumia nusa saa wanateseka wa mama...
  14. Morogoro: Hujuma Mchana Kweupe Ujenzi wa Mitaro ya Barabara

    Wadau mada inajieleza; nimeshitushwa sana nimepita Morogoro eneo la Mkundi ambako mwaka jana tu miezi ya mwishoni ulifanyika ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua kandokando ya Highway ya Morogoro - Dodoma. Mvua iliyonyesha siku chache zilizopita imesomba mawe yote yaliyojengwa kwa cement na mchanga...
  15. L

    Barabara ya milimani huko Yichang mkoani Hubei yawasaidia wanavijiji kupata utajiri

    Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Yiling huko Yichang mkoani Hubei limeendelea kuhimiza ujenzi wa miundombinu, kwa kujenga barabara zinazounganisha vijiji vya milimani, na kuunda mtandao wa usafiri kati ya miji na vijiji, na kuwasaidia wakulima wa milimani kusafiri na kuuza bidhaa za...
  16. F

    TARURA, hii biashara mliyoanzisha ya maegesho ya kulipia kwanini msingetenga na kuandaa maeneo maalum badala ya kutumia barabara zetu?

    Kwanza nawapa kongole mamlaka ya usimamizi wa barabara za mjini na vijijini (TARURA) kwa kuanzisha na kurahisisha huduma za parking kwa njia ya kulipia hususani maeneo ya miji na majiji makubwa hapa nchini. Mapungufu makubwa niliyoyaona hapa ni Parking space nyingi ziko katika barabara ambazo...
  17. Wito kwa Serikali, TANROADS: Tunahitaji mkakati wa kupanua kipande cha barabara Mlima Kitonga, Iringa

    Kwa miaka mingi sasa eneo hili limekuwa eneo korofi kwa kusababisha ajali nyingi sana kila uchao. Kwa wanaotumia barabara ya TANZAM ni nadra sana upite KITONGA usikutane na ajali hasa ya magari makubwa.. Ajali nyingi kwenye kipanda-njia hiki ni za Malori na Mabasi kwa sababu zifuatazo:- 1...
  18. Iringa: Wananchi wafunga barabara kushinikiza matuta barababarani

    Wananchi wa eneo la Kitwiru mkoani Iringa wamelazimika kufunga barabara kwa muda, wakishinikiza kuwekwa kwa alama ya wavuka kwa miguu au matuta, kutokana na matukio ya ajali za mara kwa mara za watu kugongwa katika barabara hiyo. Wakazi hao wamesema wanawaomba Wakala wa Barabara. Tanzania...
  19. Kwa Bajeti ya Mwaka Mmoja tunaweza kuziunganisha Tanganyika na Unguja kwa barabara

    Iko hivi, umbali mfupi kati ya Tanganyika na Unguja ni karibia Kilomita 40 ambazo ni sawa na kutoka pale Makutano ya Mataa ya Magomeni Hospitali mpaka Kibaha kwa Mathias. Uchimbaji na Ukwanguaji wa kisasa wa miamba chini ya bahari kwa kutumia TUNNEL BORING MACHINE inayoweza kukwangua karibia...
  20. Wahusika mko wapi hadi hali imekuwa hivi hapa Mbezi?

    Habari JamiiForums. Update 25/02/2022 Hali inazidi kuwa mbaya watu wanakoswa koswa na magari kisa Machinga. Serikali iko wapi watu wanajiamulia mambo bila kufuata Sheria. ============ Hapa Mbezi Louis machinga wamerudi na kuwa kero tena kwa watembea kwa miguu. Sina maelezo mengi ila kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…